Mtu mpole flegmatic huwa wanaendewa kwa upole na utaratibu km akili zao inavyotaka. Ukimkasirisha atageuka kuwa kichaa au atakufanya adui yake milele
we Globu hufai!!
wakati mwingine unyonge huletwa na harufu ya mdomo na hivyo mtu kutojiamini na kuwa mkimya kwa kuogopa aibu na sio kwamba ana dharau au wanajamvi mnalionaje hili
Hizi ndio sifa za watu wakimya:
1. Sio wacheshi
2. Wana kiburi
3. Sio rahisi kukubali kosa alilo fanya
4. Ni watu waku jitenga
5. Hawapendi uguse vitu vyao
6. Ni wazuri kwa u spy / upepelezi
7. Ni watu waku jiweka local sana hata kama fedha ipo
8. Hawana muda sana wanawake.
9.
Globu ndio nini? Honey Faith.
12. Sio wagomvi
13. Nguvu nyingi wanaweka kwenye utendaji
14. Huwa hawakurupuki katika maamuzi
15. Hawapendelei sehemu za starehe na sehemu za mikusanyiko.
16. Hawapendi kubugudhi watu, hata kama ana shida anaweza akateseka nayo akihisi kuomba msaada ni kuwasumbua wengine.
17. ........nitaongeza nyingine.....................
kweli...?Sababu ya msingi ni kuwa mie ni muongeaji so lazima niwapende waongeaji wenzangu.
Sababu ya msingi ni kuwa mie ni muongeaji so lazima niwapende waongeaji wenzangu.
kweli...?
Màsikini ukimya wangu unanikoseshà marafiki
Ndio so sihitaji watu wakimya kabisaaa.Kama unajijua ni mkimya kuanzia leo hautakuwa rafiki yangu.....😀