si utanifundisha...?Ndio so sihitaji watu wakimya kabisaaa.Kama unajijua ni mkimya kuanzia leo hautakuwa rafiki yangu.....😀
Asilimia kubwa ya wanopenda kuandika ni wakimya..... goes without saying wengi JF ni aina gani.....
kuwa nao makini hao kuna kitu wanataka
you are wrong,wakimya wengi si waogaa kama unavyosema.kuna wengine ni mazingira tu.na wanabadirika kutokana na mazingira.so naona tusigeneraalize.pia sometimes wakimya ni kwa sababu unachokionga au taaka kuongea hana interest nacho.lakini ukiingia kwenye anga zake utashangaa.Ni waoga wa challenge au hawajui kitu au hawajiamini
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Kwa hiyo kama wewe black, wataka uolewe na black ili mtoto awe mkaa...!!!Sababu ya msingi ni kuwa mie ni muongeaji so lazima niwapende waongeaji wenzangu.
12. Sio wagomvi
13. Nguvu nyingi wanaweka kwenye utendaji
14. Huwa hawakurupuki katika maamuzi
15. Hawapendelei sehemu za starehe na sehemu za mikusanyiko.
16. Hawapendi kubugudhi watu, hata kama ana shida anaweza akateseka nayo akihisi kuomba msaada ni kuwasumbua wengine.
17. ........nitaongeza nyingine.....................
Wana JF hivi ni kwanini watu wakimya (wasio waongeaji kitabia) jamii huwachukulia kama wanadharau....
hili swala nime kutana nalo mara nyingi sna na kuna mtu alishaga wahi kunitukana akijua namdharau,kumbe maskini mi ndivyo nilivyo sio muongeaji sna na kama hatuja zoean ndio kabisa naweza nisitoe hata neno,watu wengine wanachukulia for advantage ukimya wangu wanajua mi ni lo.fa but mwisho wa siku wana ambulia aibu!
Pole sana mkuu,lakini unaonaje ukimya ni bora kuliko kuwa.......?
Mimi nina aleji nao kabisa!Siwapendi watu wakimya kabisaa
Usiniambie! Yaani wale wote ninaowafahamu karibu wanakufa! Mbona balaa..wanakufaga mapema sana ukimya ni ugonjwa wa akili unaokutafuna taratibu
Mimi ni mkimya ila ukimya unaishia pale nikikuzoea na kukuamini ila kama hatujuani utanishangaa .