Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Hata mimi sikulazimishi unilazimishe.
Hata ungenilazimisha nisingelazimika
Hata mimi sikulazimishi unilazimishe.
Mtu kuwa mkimya, kunasababishwa na mambo mengi sana. Wengi wao familia walizokulia ndizo zimewasababishia. Pia hawakulelewa kwenye mazingira ya kujichanganya na kuongea na watu wengi.Wana JF hivi ni kwanini watu wakimya (wasio waongeaji kitabia) jamii huwachukulia kama wanadharau....
Yaani sawa nakutofautisha maji ya chumvi na yakawaida yote maji kijana.
Hatimii mtu mkimya bila kuwa mpole na hatimii mtu kuwa mpole bila kuwa mkimya
Hata ungenilazimisha nisingelazimika
Hata mimi nisingelazimika kukulazimisha.
haya kwa heri
Kutangulia si kufika si unajua?
Najua nini?
Hapana sijui hilo!! Mimi najua kutangulia ndio kufika.kwamba kutangulia si kufika
9. Akimzoea mtu huwa utani ni mwingi mpaka wengine wanajiuliza huyo amemzoeaje
Hapana sijui hilo!! Mimi najua kutangulia ndio kufika.
Ndo ujue kuanzia leo kuwa kutangulia si kufika
Pia na wewe ujue hivyo kuwa kutangulia ndio kufika.
teh teh nimeipenda hiyo controveso
Pia na wewe ujue hivyo kuwa kutangulia ndio kufika.
Sawa...
Mi ni mkimya ila ukinizingua lazima nikupige ngumi na usipoanguka au kuzimia basi ujue we kweli mwanamke.
sababu za kutowapenda ni zipi?
Shem kwanini hutupendi??
Hata mimi.?
kwa sababu hujatulia
Si lazima wewe uwapende... Watapendwa na wengine
Kama Mimi mmoja WaPo hunipendi...???
mmmh kwanini bana
Nipende kama nilivyo....Mimi ni muongeaji mbebez
Kwa nini mkuu.?!