Fikra kuhusu watu wakimya

Fikra kuhusu watu wakimya

Uhaba wa kujiamini, pia watu wa jinsi hii huwa na hekima sana na kumsoma mtu kabla yakuongea namaranyingi hujihisi kuwa hawako sahihi katika jambo flani mpaka wajiridhishe, niwazuri sana watu wajinsi hii wakifanya kazi za kitabibu.
 
Ni watu ambao hawakurupuki na jambo na ni hatari sana pia kwa upande wa kupeana utamu pia ndio kazi yao kubwa na ukimya wao
 
Mengi yaliyoelezwa kuhusu watu wakimya ni kweli, huwa wanaumakini mkubwa ktk maamuzi, pia hawapendi kutangulizwa mbele ktk kuwasimamia watu, huwaheshimu hata wasiowajua bila kujali rika zao, na........
 
Kusema ukweli mimi katika ulimwengu halisi (sio jf) mimi pia ni mkimya. Kuwa kimya sio dharau ila ukimya ni dawa nzuri ya kuupoza moyo na kichwa. Na pia ukimya hukuepusha na mabalaa mengi sana. Tangu nijitambue nimeona faida za ukimya nyingi sana ikiwemo kujifunza mapya kutoka kwa wengine. Ukiwa muongeaji sana unarudia rudia tu yale unayoyajua. Ila ukiwa mkiya utapata mapya.
Ahsante kwa kusoma maoni yangu.
 
Mm nimepata majaribu sana ktk maisha yangu kwa tabia yangu ya ukimya, unaishi na watu kila m1 anakunyooshea kidole kuwa una dharau, kumbe hata kidogo???

Ilifikia hatua nikajifunza kunywa pombe nilewe ili walau nipate maneno ya kuropoka niwafurahishe walio karibu yangu!

Sio kila mtu mkimya anakuwa na dharau, big #NOO !
hahahaaaaaaaaaaa
 
you are wrong,wakimya wengi si waogaa kama unavyosema.kuna wengine ni mazingira tu.na wanabadirika kutokana na mazingira.so naona tusigeneraalize.pia sometimes wakimya ni kwa sababu unachokionga au taaka kuongea hana interest nacho.lakini ukiingia kwenye anga zake utashangaa.
hiyo ni kweli
 
Wengi hujichanganya na kutuita wapole ukimya na upole ni vitu viwili vinavyokwenda sambamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom