Duuh kumbe kuna jambo limejificha nyuma ya pazia....!!!Ni vwembe balaa, weng wao n wazinz sana
HahahSiwapendi watu wakimya kabisaa
Hawa watu n hatari unaweza ukawa unacheka nae upo karbu nae ila ukgeuka tu mwenzio anakupgia dem wakoDuuh kumbe kuna jambo limejificha nyuma ya pazia....!!!
"kwanza kuna tofauti kubwa kati ya upole na ukimya.., pili usione watu wanakuwa kimya mioyo imekuwa migumu mithiri ya jiwe kutokana na mambo wanayoona ama kufanyiwa na watu wanaishi nao, pia mtu mkimya na mpole akibadilika(tabiambaya) huwa anazidi mara 3 zaidi ya tabia anayoiga"Wana JF hivi ni kwanini watu wakimya (wasio waongeaji kitabia) jamii huwachukulia kama wanadharau....
Sio kweli...!!!!Ni vwembe balaa, weng wao n wazinz sana
Kuna mtu aliniambiagaKwani mpole ni mtu wa namna gani kwa huelewa wako ?
Ukweli ni kwamba wapole wachache saana bali wakimya wapo wengi, ukimya sio upoleKuna mtu aliniambiaga
"Ukitaka kujua upole wa mtu mchokoze"
Hebu niambie tofauti ya mpole na mkimya nione nipo wapi namie lolUkweli ni kwamba wapole wachache saana bali wakimya wapo wengi, ukimya sio upole
Dah we ndo kama mimi copyright kabisaMm ni mkimya hasa kwa watu wagen kwangu ila mkimya kias kidogo nyumbani. Ila megundua ukimya umenifanya baadhi ya watu siwez kuongea nao kabisa wala kuwa nao karibu. Sifa mojawapo ya watu wakimya hupenda kusikiliza kwa makin na kuzisoma tabia na hisia za wengine hivyo hujikuta wale ambao umewaona huendan nao ni vigumu sana kuwa nao karibu na huwa wakimya wengi wanajua mengi juu ya mawazo ya wengine
Hatari!!! Ipi?Sio dharau,kaa nao mbali ni hatari
Mwenzako anaongelea MKIMYA, sio MPOLE, wewe unataka badili mada.Mtu mpole flegmatic huwa wanaendewa kwa upole na utaratibu km akili zao inavyotaka. Ukimkasirisha atageuka kuwa kichaa au atakufanya adui yake milele
Ni kweli mkuu hata Mimi ndio Niko hivyo.Hatudharau sema huwa wanapenda kuwasoma wengine zaidi na zaidi
Yaani hii umenigusa Mimi kabisa.Mm ni mkimya hasa kwa watu wagen kwangu ila mkimya kias kidogo nyumbani. Ila megundua ukimya umenifanya baadhi ya watu siwez kuongea nao kabisa wala kuwa nao karibu. Sifa mojawapo ya watu wakimya hupenda kusikiliza kwa makin na kuzisoma tabia na hisia za wengine hivyo hujikuta wale ambao umewaona huendan nao ni vigumu sana kuwa nao karibu na huwa wakimya wengi wanajua mengi juu ya mawazo ya wengine
Same to meHuwa mimi wakati mwingine naulizaga kwa ndugu wa karibu, hivi mimi wananichuliaje? Mkimya au mpole? Au nipo seriasi sana? Manake kazini mimi ni mkali sana lakini pia nina huruma sana. Napendaga sana kuwapa ushauri wenye matatizo. Ila mwisho wa siku nashindwa kujielewa why naogopwa na watu wazima,watoto na vijana wenzangu? I don't understand!
Wewe upo Kama Mimi kabla ya kuongea kitu lazima nitafakari sana na kukichambua kabla ya kuongea.Baadhi ya tabia tunafanana sana,
mimi ile seriousness ndio watu hinoogopa, lkn huwa sipendi kumtania tania mtu, natanianaga, lkn kwa umakini, huwa nafikiria kabla sijatokwa na neno mdomoni.
Nadhani upole ma ukimya ni sawa tu