teh teh teh. kwani ukimya ni sifa kubwa sana siku hizi?Hapa kila mtu atasema yeye ni mkimya!!
Kuna watu wanapenda sifa za kijinga zisizo kuwa zao!!
teh teh teh. kwani ukimya ni sifa kubwa sana siku hizi?Hapa kila mtu atasema yeye ni mkimya!!
Kuna watu wanapenda sifa za kijinga zisizo kuwa zao!!
Mimi sio mkimya na wala si muongeaji sana.
Halafu kuna watu wanachanganya kati ya ukimya na upole.....jua tofauti
Mtu mkimya wakati wewe unaongea kwa mdomo yeye anaongea kwa ubongo.
Ndio maana ukiona unaongea na mtu lakini yeye amekaa kimya achana nae.
Wakati wewe unaongea moja mdomoni yeye anawaza na kujibu mara nyingi zaidi kimoyo moyo.
Hivyo usishangea unavyoongea nae ukajua anakusikiliza kumbe yeye anatafuta namana ya kukujibu iwe kwa maneno au vitendo.
Na mbaya zaidi kila unachokiongea hasahau.!
wachangiaji wengi lakini wala hakuna mkimyA.wenyewe wakimya wamesoma posti na wametoka au kupita kimyakimya bila kuacha hata neno.
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Huwa mimi wakati mwingine naulizaga kwa ndugu wa karibu, hivi mimi wananichuliaje? Mkimya au mpole? Au nipo seriasi sana? Manake kazini mimi ni mkali sana lakini pia nina huruma sana. Napendaga sana kuwapa ushauri wenye matatizo. Ila mwisho wa siku nashindwa kujielewa why naogopwa na watu wazima,watoto na vijana wenzangu? I don't understand!

Baadhi ya tabia tunafanana sana,
mimi ile seriousness ndio watu hinoogopa, lkn huwa sipendi kumtania tania mtu, natanianaga, lkn kwa umakini, huwa nafikiria kabla sijatokwa na neno mdomoni.
Nadhani upole ma ukimya ni sawa tu.
Binafsi nikiwa sehem hata ofisn napnda kukaa karb na mkimya sipendi maneno mengi.
Nyumbn pia sipendi maneno mengi, napenda mtu asamarise maneno
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Mimi ninapenda sana kuwasikiliza watu wacheshi,si boreki na mtu kuzungumza unless akiwa anazungumza porojo. Nina tabia za kuhoji sana tena nikiwa seriasi na mara nyingi wakati nina zungumza ninakuwa makini sana hasahasa ninapokuwa nazungumza na mtu asie msomi. Nipo karibu na jamii sana na wakati huo jamii hiyohyo inanijua kuwa mimi nimesoma kwahyo mara nyingne utasikia jamaa analinga na huwa nachukia sana maneno haya kwakuwa sipo ivo.