mmmh umeanza kwa kujiweka kwenye kundi alafu uajitoa tena mkuuHatudharau sema huwa wanapenda kuwasoma wengine zaidi na zaidi
I think am in the same group.Mm ni mkimya hasa kwa watu wagen kwangu ila mkimya kias kidogo nyumbani. Ila megundua ukimya umenifanya baadhi ya watu siwez kuongea nao kabisa wala kuwa nao karibu. Sifa mojawapo ya watu wakimya hupenda kusikiliza kwa makin na kuzisoma tabia na hisia za wengine hivyo hujikuta wale ambao umewaona huendan nao ni vigumu sana kuwa nao karibu na huwa wakimya wengi wanajua mengi juu ya mawazo ya wengine
Hapa kila mtu atasema yeye ni mkimya!!
Kuna watu wanapenda sifa za kijinga zisizo kuwa zao!!
I think am in the same group.
Mtu mkimya wakati wewe unaongea kwa mdomo yeye anaongea kwa ubongo.
Ndio maana ukiona unaongea na mtu lakini yeye amekaa kimya achana nae.
Wakati wewe unaongea moja mdomoni yeye anawaza na kujibu mara nyingi zaidi kimoyo moyo.
Hivyo usishangea unavyoongea nae ukajua anakusikiliza kumbe yeye anatafuta namana ya kukujibu iwe kwa maneno au vitendo.
Na mbaya zaidi kila unachokiongea hasahau.!
Siwapendi watu wakimya kabisaa
Kweli kaka!Mtu mpole flegmatic huwa wanaendewa kwa upole na utaratibu km akili zao inavyotaka. Ukimkasirisha atageuka kuwa kichaa au atakufanya adui yake milele