Fikra kuhusu watu wakimya

Fikra kuhusu watu wakimya

Kujiwekea mipaka katika kuchangia aina tofauti ya mazungumzo na mahusiano baina ya mtu na watu wengine ndo tofauti iliyopo kati ya mtu mkimya na mropokaji.kujiwekea mipaka inasaidia sana kupunguza ugomvi usio wa lazima na inamjengea mtu kujiheshimu na kuheshimika na watu wengine pia.
 
lakini hii ni serious issue ,,,watz ni waongeaji sana lkn wamepungukiwa sana sasa kwa wa kimya ndo atazidi kuwa calm
 
I
Mi ni mkimya ila ukinizingua lazima nikupige ngumi na usipoanguka au kuzimia basi ujue we kweli mwanamke.

Wewe sio mkimya una kisirani kinakutembea mwilini ndo kinachokufanya ujione au udhaniwe ni mkimya.! Tena wala si mpole.....!
 
Mtu mkimya wakati wewe unaongea kwa mdomo yeye anaongea kwa ubongo.

Ndio maana ukiona unaongea na mtu lakini yeye amekaa kimya achana nae.

Wakati wewe unaongea moja mdomoni yeye anawaza na kujibu mara nyingi zaidi kimoyo moyo.

Hivyo usishangea unavyoongea nae ukajua anakusikiliza kumbe yeye anatafuta namana ya kukujibu iwe kwa maneno au vitendo.

Na mbaya zaidi kila unachokiongea hasahau.!

Exactly.........!
 
Huwa mimi wakati mwingine naulizaga kwa ndugu wa karibu, hivi mimi wananichuliaje? Mkimya au mpole? Au nipo seriasi sana? Manake kazini mimi ni mkali sana lakini pia nina huruma sana. Napendaga sana kuwapa ushauri wenye matatizo. Ila mwisho wa siku nashindwa kujielewa why naogopwa na watu wazima,watoto na vijana wenzangu? I don't understand!

Team buku7 bora ungekuja na id zako zngne yaani ulichoandika humu hakuna hata kimoja unachofanana nacho, nyie vijana wa lumumba ni micharuko na walopokaji wazuri tena hamna adabu mzaba vibao hadi wazee ili mpewe vyeo iv ww chamviga kwa utumbo unaomwagaga jukwaa la siasa unaweza kutoa ushauri wa maana kweli kwa vijana wenzako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom