Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu, aliyekuambia nahitaji sympathy yako ni nani ewe nabii feki na mwanasaikolojia uchwara, kwamba wewe ndio unanijua vizuri kuliko mimi mwenyewe na wanaonizunguka
Lakini si ndicho ulichomuonyesha kuwa hauna sifa za kuwa mke wa mtu au?
 
nashangaa wanawake wakisema equal Rights Hivi Michael Jordan angecheza Women Basketball pasingekuwa na ushindani .... Iko hivi mwanaume anazo Kazi zake mwanamke hafanyi na Mwanamke anakazi zake mwanaume afanyi Period,
Ngoja tu nikwambie mzee😂😂😂 huko marekani wanawake walienda mahakamani kudai kwamba ligi yao imeingiliwa na athletes wa kiume. Sio tu kwenye mpira wa kikapu,mashindano ya kuogelea,riadha,na ndondi.

Wanaume wanaojifanya ni wanawake a.k.a transgenders wanajisajiri katika hizi ligi wanachukua ushindi kila siku wanawake hawawafikii hata kidogo. Wanachukua medali kirahisi na kulipwa hela nyingi wanawake wanakosa.

Wameanza kwenda mahakamani kudai kuwa transgender wasiruhusiwe kucheza ligi zao waandaliwe ligi ya pekee yao. 😂😂😂Sasa jamani si tulikubaliana kuwa mwanamke na mwanaume ni sawa. So mwanaume akisema yeye ni mwanamke ni sawa na kwann azuiliwe kucheza na wenzake. 😂😂😂
 
Ukitaka kumkamta huyo jadda usijaribu ku attack uanamke na kasoro unazoziona kwao isionekane Kama unachukia wanawake au nawewe radical Kama yeye,anavyoongea Kama anachukia wanaume,is it personal?? anyway shambulia ideology...
Huyu binti kwanza anaonekana ni mfupi chini ya futi tano in real life. Maana huwa anabishana kama hobby. Anaweza akasema kitu mwenyewe,ukimbana anabadilisha topic.

Mfano anaweza kusema wanaume ndio chanzo cha matatizo kwenye ndoa kwasababu sio waaminifu. Hapo automatically ana suggest kuwa wanawake ni waaminifu na hawana matukio ndani ya ndoa.

Ukimwambia kwahiyo wanawake wanawake ndio waadilifu anasema ndio. Mpindulie swali sasa,muulize, mbona kuna swala la wanawake wengi sana kubambikia mimba wanaume na kuzaa watoto wasio wao,na vipi kuhusu wanawake kutoka nje sababu ya maswala ya kausha damu, vipi hiyo 😂😂😂 utaskia anabadili gia angani. Kwani huwa wanatoka na akina nani kama sio wanaume? 😂😂😂😂 So ukishamjua ni kumuaibisha tu kama hivyo.

Mimi huwa namburuta makusudi ili aanike ujinga wake hadharani kwa mareply yake marefu kama movie ya kihindi.
 
ungependa Uwe Na Equal rights gani??? kama michezo mnayo mnashindana na wanawake wenzenu kama ajira mnaajiriwa tatizo likowapi? samia sio Female?? Mpaka sasa sielewi wanataka wachezee mpira ligi ya wanaume ama wanataka Kupewaa Vipande watembee navyoo
Sasa utaona majibu yake namna atakavyoanza kuhama hama. 😂😂😂😂😂 Ngoja tusubirie aje.
 
Nani kakwambia wana matatizo ya akili? Kwa sababu hata wewe unavyolalamika hapa kuna watu wanaweza kuona hivyo hivyo kwa upande wako.
So hadi umri huu haujui kitu kinachoitwa trauma? Yaani wewe ukimuona baba yako anampiga mama yako,lile jambo kiakili halita kuathiri?

Unanijaribu au nikueleweje?
 
Hata pa kuanzia sina. Haujui unachoandika. Ni upuuzi kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Bila shaka wewe ni incel na ni mtu wa kuonewa huruma.

Amandla...
utapataje pa kuanzia na hauna hoja za msingi kujibu au hata kukinzana na ulichokisoma hapo.
 
Iwe kubwa mara ngapi? Ndoa ngapi zimevunjikq kwa wanawake kujigeuza jike dume, mtaani watoto wakiume waliogeuka kuwa mashoga kwa kulelewa na mama zao TU, madhara yamekwisha kuwa makubwa sana.na bado serikali inaangalia watu kama Joyce kiria wanaubili kwenye mitandao kuwapotosha wengine.
Jamii yetu kama kawaida ita ignore this, wako busy na umbea na michezo.
Until damage itakapoanza kuwa kubwa kuliko ndipo wataanza kupiga kelele when it too late
Ku
 
Iwe kubwa mara ngapi? Ndoa ngapi zimevunjikq kwa wanawake kujigeuza jike dume, mtaani watoto wakiume waliogeuka kuwa mashoga kwa kulelewa na mama zao TU, madhara yamekwisha kuwa makubwa sana.na bado serikali inaangalia watu kama Joyce kiria wanaubili kwenye mitandao kuwapotosha wengine.

Ku
Yes nakubali damage imekuwa kubwa, watu akina joyce kiria & co wanaachiwa wazidi kusambaza sumu. Serikal iko busy na uchaguzi, it sad
 
utapataje pa kuanzia na hauna hoja za msingi kujibu au hata kukinzana na ulichokisoma hapo.
Ni kupoteza muda kujadiliana na mtu ambaye hajui hata maana ya maneno anayoyatumia. Maneno kama Feminism, Ģender Dystopia na at a basic level, Tomboy! Mtu ambae ignorance yake inazidiwa tu na arrogance yake. Mtu ambae ni mfano wa wale ambao Robert Nesta Marley aliwaita "educated fools".

Amandla...
 
utapataje pa kuanzia na hauna hoja za msingi kujibu au hata kukinzana na ulichokisoma hapo.
Ni kupoteza muda kujadiliana na mtu ambaye hajui hata maana ya maneno anayoyatumia. Maneno kama Feminism, Ģender Dystopia na at a basic level, Tomboy! Mtu ambae ignorance yake inazidiwa tu na arrogance yake. Mtu ambae ni mfano wa wale ambao Robert Nesta Marley aliwaita "educated fools".

Amandla...
 
Nakubaliana na wewe, walioibeba agenda hii hawakujua kilichomo ndani, leo wanaelezwa kilichomo ndani ya agenda hii wanakuja na utetezi usio na kichwa wala miguu, kuongezeka kwa talaka ni athari zilizoletwa na ufemanisim wanawake wamejazwa kiburi na jeuri juu wanaume, feminists ndio wanao sukuma agenda za ushoga lengo ni kumdhalilisha mwanaume, wamfeminist wengi ni wasimbe waliokubuhu waliojaa jeuri na kiburi wanapoongea na wanaume.
Uongoo
 
Ukiingia huko mitandaoni utaona mabinti wanapost wakilia na kulalamika kwamba kwann feminists walifosi wanawake kuwa na haki sawa na wanaume wakati wanaume hilo jambo hawakuwa wanataka matokeo yake sasa wanawake wanalazimika kuishi kama wanaume kwa kubeba majukumu wenyewe kwa aslimia 100.

Wanauliza nani aliwapa haki ya kuwazungumzia wa

Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours typically associated with women or girls”. Katika hizi maana mbili utaona kwamba neno feminine (adjective) ambalo linatokana na jina (noun) Female limelenga kumtambulisha mwanamke kwa sifa zake za kike kinyume na shughuli za mafeminists wengi wa hovyo kama Jadda et al ambao humtambulisha mwanamke kwa sifa za kiume.

Ukiingia mtandaoni ukatazama maana ya neno “feminist’ na “Feminism” utakutana na maneno kama haya: “a feminist is someone who supports equal rights for women” au “a feminist is a socio-political movement advocating for the equality of the sexes, believing modern societies are patriarchal and unjustly treat women.

Kwa mtu mwenye utimamu wa akili akitazama tu hizi maana yaani maana ya neno jina na neno kitendo haviendani hata kidogo. Yaani kwa asili neno female lina maana ya “wa kike” au “ya kike” lakini iweje tena movement yake yaani feminism iseme ni harakati za kumfanya mwanamke alingane na mwanaume na kuacha asili yake kudai haki za kiume, sawa na mwanaume bila kutumikia au kuwa na wajibu sawa na mwanaume? Make this make sense ndugu zanguni. Ni kichaa tu ambaye ataona hili jambo limekaa sawa sawa na hallina dosari yoyote ya kimantiki.

Hivi kama wanajamii tumeshawahi kujiuliza maswali magumu kama ni haki zipi ni za mwanamke? Au tuhoji hivi, mwanaume ana haki zipi za kimsingi na mwanamke ana haki zipi za kimsingi?

Je, kama mwanaume anapendelewa kihaki je, anapendelewa katika maudhui yapi ambayo mwanamke anaminywa?
Hivi tumeshawasikiliza kwa umakini wanawake wanacholalamika na matakwa yao (sio mahitaji) then kuwatazama wanachokifanya katika uhalisia wakishapewa fursa wanazotaka?

Mimi siungani na hii movement na nina ipinga kama movent haramu kwenye jamii na yeyote anayeisapoti pia anakuwa ni haramu katika hii jamii kushinda hata dawa za kulevya maana dawa za kulevya hazijaleta madhara mabaya kushinda feminism ndani ya muda mfupi.
Unawezaje kuwa na harakati batili inayojinasibu kuwa ipo kulenga kumtetea na kumkomboa mwanamke ila kiuhalisia ime target kushape akili za wanawake kuwa negative katika jamii yao na kuwageuza kuwa kansa ya kuiharibu jamii hiyo hiyo huku kikiacha u’hovyo wa kila aina.
Hebu mtu aniambie faida za feminism na matokeo yake tokea imekuwa introduced miaka ya 1990s?

Ni muda sasa kutambua feminism kama harakati haramu kwa jamii na tuanze kuikemea kwa nguvu zote.

Nimeona pale chou kikuu UDSM wame introduce masomo ya femism ili kuwajaza ujinga mabinti na vijana wetu ambao wanakwenda kupewa elimu ya kuikomboa jamii yao na sio kuigawa katika makundi ya jinsia.

Kama tutaendelea kukaa kimya then tutarajie maasi zaidi kama yanayotokea huko mataifa ya magharibi kama USA, CANADA na United Kingdom ambayo kwasasa yanapitia mvurugiko mkubwa sana wakijamii kwasababu ya uzembe wa kuendekeza ideology za kipumbavu kama feminism katika jamii zao na matokeo yake zimeparanganyua kabisa ustawi na jamii sasa haieleweki ina uelekeo upi.
Naona ungekuwa una uwezo ungepiga marufuku watoto wa kike kuingia darasani. 🤣🤣🤣
 
Ngoja tu nikwambie mzee😂😂😂 huko marekani wanawake walienda mahakamani kudai kwamba ligi yao imeingiliwa na athletes wa kiume. Sio tu kwenye mpira wa kikapu,mashindano ya kuogelea,riadha,na ndondi.

Wanaume wanaojifanya ni wanawake a.k.a transgenders wanajisajiri katika hizi ligi wanachukua ushindi kila siku wanawake hawawafikii hata kidogo. Wanachukua medali kirahisi na kulipwa hela nyingi wanawake wanakosa.

Wameanza kwenda mahakamani kudai kuwa transgender wasiruhusiwe kucheza ligi zao waandaliwe ligi ya pekee yao. 😂😂😂Sasa jamani si tulikubaliana kuwa mwanamke na mwanaume ni sawa. So mwanaume akisema yeye ni mwanamke ni sawa na kwann azuiliwe kucheza na wenzake. 😂😂😂
Ina maana huoni tofauti kati ya mwanamke aliyezaliwa naturally mtoto wa kike na mwanaume aliyejibadili jinsia na kuwa mwanamke???!!!!
 
Feminist ideology haikuanza jana au juzi. Imeanza kitambo tu. Lakini kwanza tuelimishane kuhusu misamiati inayotumiwa ovyo ovyo.
Nani aliyekwambia imeanza jana. Kama haujaelewa kitu usikurupuke.
1. Tomboy haihusiani na lesbianism ( wasagaji n.k.). Tomboy ni msichana anaependa kucheza na wavulana kuliko wasichana wenzake. Anakwea nao miti, anacheza nao mpira. Mara nyingi hata nguo anapenda za kiume kama kaptura ( utapandaje mti na gauni?). Lakini hawa ni wasichana na mara nyingi wakibalehe wawatamani wavulana ingawa unaweza kukuta bado marafiki zake wengi ni wavulana.
Halafu unahisi umekuja kunifunika. Na hata hauna unachojua kuhusu hata malesbian. Hiki ulichokiandika hapa ungefuta tu. Wewe unawajua vizuri matomboy au umeamua tu kuleta ligi. Yaani unakataa kwamba matomboy sio malesbians?😂😂😂 Dah
2. Gender Dystopia haihusuani na ushoga. Gender Dystopia ni pale mtu anapoona jinsia yake haiendani na ile aliyozaliwa nayo. Kama ni msichana anajiona kama mvulana ( sio tu kupenda kucheza nao kama Tomboy bali anajiona kabisa kuwa ni mvulana). Hawa huwa wanazichukua organ alizozaliwa nazo. Kama ni msichana, atafanya kila njia kuyaficha. Hawa ndio ikifika wakati muafaka wanabadilisha kabisa jinsia zao kuwa ile ambayo anaona inamfit zaidi.
Wewe una matatizo sio bure. Ni wapi nimetumia neno dystopia,hii ndio shida ya kukurupukia topic na haujasoma kwa utulivu ukaelewa vema mada inaongelea nini.
Ni gender dysphoria sio Gender dystopia. Unskurupuka hata maneno huyajui vizuri.

AIsee hadi unanipa uvivu kukujibu. So mashoga huwa wanajitambua kama nani ukiwatazama? Yaani unakataa kuku sio ndege halafu unamuelezea tena kama ndege.

Wewe unawajua mashoga vizuri kwanza,hebu nenda kasome tena definition ya neno "Gender dysphoria" kisha rudi hapa uje unambie vizuri mashoga wanachopitia ni kitu gani,mbona hauna akili hivi?🤔

Unajua kabisa kuwa mashoga ni wanaume ambao wanajikataa kuwa wao si wanaume bali wanajiona kuwa wamezaliwa na jinsia ya kiume kimakosa ndio maana unaona wanataka kuingiliwa na wanaume wenzao na kuvaa kama wanawake ili tu kuridhisha nafsi zao kuwa wao ni wanawake. Sasa how is that not related to gender dysphoria? Mxiem 😒 😐 😐 umeshaanza kunikera na ujuaji wako mwingi na hakuna unachojua.
3. Homosexual ni yule anavutiwa kimapenzi na kingono wale wenye jinsia yake. Homosexual hataki kubadili jinsia na anajitambua kwa jinsia aliyozaliwa nayo lakini anavutiwa na wale wa jinsia yake. Shoga anavutiwa na wanaume wenzake na wasagaji na wanawake wenzake. Elton John, George Michael ni mfano wa mashoga.
So kwa mfano mwanaume anazaliwa na gender dysphoria halafu akaenda kubadili jinsia yake awe mwanamke, akilala na mwanaume anakuwa amelala na jinsia opposite na yake au nikuelewe vipi?

So wale wanaume wanaojibadili jinsia huwa wanabadili genes zao kuwa wanawake?
Mfano wewe ni mwanaume ukilala na transgender,unakuwa umelala na biological female? How is that not homosexual relationship?🤔

Hebu kuwa makini na hoja zako.
4. Bi-sexuals ni wale ambao wanavutiwa na wanaume na wanawake. Hawa wanaweza hata kuoa au kuolewa lakini bado akawa na mahusiano na watu wa jinsia yao. Ni tofauti na wale ambao Marekani wanaitwa DL ambao wanaficha kuwa wanavutiwa na watu wa jinsia yao kwa kuhofia hukumu ya jamii. Utakuta wanaume wako kwenye ndoa lakini ana uhusiano wa siri na mashoga. Au mwanamke ameolewa lakini anasagana kwa siri. Hawa wako wengi katika jamii.
So how is this relevant to the topic bado sijaweza kuconnect why unatupa definition ya hizi terms as if tunazidiscuss zenyewe.
5. Transvestites ni wale wanaopenda kuvaa nguo za jinsia nyingine. Ingawa wengi wanakuwa homosexuals lakini sio wote. Majina yao mengine ni cross dressers au drag queens. Rupaul ni Drag Queen maarufu.

Amandla...
Again,why tunapeana hizi definition?
 
Una uliza? Una hoji? Au unasema?
James Delicious ndio nani?
Nimekuuliza wewe ni shoga?

Wewe usimjue james delicious wakati kule juu unejitambulisha kama Mayor wa Fagzville?🤔
 
Back
Top Bottom