Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Tatizo tuna dada zetu na badae tutazaa watoto wa kike alafu waje kuwa waathirika wa hizi pumba za hawa watu wa hovyo.
Ukiingia huko mitandaoni utaona mabinti wanapost wakilia na kulalamika kwamba kwann feminists walifosi wanawake kuwa na haki sawa na wanaume wakati wanaume hilo jambo hawakuwa wanataka matokeo yake sasa wanawake wanalazimika kuishi kama wanaume kwa kubeba majukumu wenyewe kwa aslimia 100.

Wanauliza nani aliwapa haki ya kuwazungumzia wao.
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Nimesha staafu kuandika magazeti, kuhusu ushoga huna cha kunambia wala kunielekeza, naujua kuliko wewee. Hayo ya feminism na new world order agendas hayo utajuana na wahusika wake.

Hiyo para ya 2 nimecheka had mbavu zinauma, hiyo ya 3 makasiriko yako baki nayo mwenyewe hainihusu,

Nweii, umesema utanidhalilisha, nakupa ruksa sasa em nidhalilishe nione.
😂😂😂😂😂😂
Kwamba anabishana na wewe kuhusu ushoga wakati we ndo industry yako,been there done that...atakwambia nn? Daah umetisha
 
Uko sawa wee?
Wewe jibu swali, mambo ya yeye kuwa sawa au kutokuwa sawa muachie yeye atadeal na afya yake binafsi. Why unaanza kurukia mtu badala ya kurukia mjadala?

Wewe kijikite kwenye mjadala respond alichokuhoji.
 
Hayo wanakomaa nayo tu humu mitandaoni ila huku duniani wanaishi tofauti kabisa.

Feminist wengi hawaoleki na wanatumia hilo kama sababu ya kuikataa ndoa ila kiuhalisia hakuna mwanaume mwenye utimamu anaeoa mwanamke mwenye sifa hizo.
Hapo unakuta kanakesha kwa mwamposa kuomba ndoa ila huku mitandaoni ni kuleta kelele za wanaume na wanawake sawa ila kwenye maslahi anajishusha.
 
Wewe jibu swali, mambo ya yeye kuwa sawa au kutokuwa sawa muachie yeye atadeal na afya yake binafsi. Why unaanza kurukia mtu badala ya kurukia mjadala?

Wewe kijikite kwenye mjadala respond alichokuhoji.
Sasa pale nimjibu nn? Unajua wee sometimes unachekesha, anasema dada na watoto zake wa kike wata athirika, sasa yeye anatakaje? Watajua hao watoto na dada washike lipi na waache kipi. Lol
 
Kama nilivyosema kule kwamba ushoga na feminism vina mahusiano. Inabidi nianze na feminism kama chanzo then ushoga utafatia. Ushoga/usagaji na vinginevyo ni matokeo ya feminism.
Uongooo!!
 
Mzee don't be this heavy and lazy kuchakata maarifa,this is likely a cognitive dissonance case kwenye maisha yako.

Unaogopa kujifunza upya jambo uliloamini kuwa ni zuri na halina madhara.

Ndio nimeshakutaarifu sasa mzee. Wewe mwenyewe unakiri kuwa hiki kitu hakina uelekeo mzuri kwasasa tofauti na kilivyoanza halafu hapo hapo unapingana na mimi nikikwambia waliokianzisha ndio hao hao wanakiendeleza sasa mwanzoni walikitumia kama "good cause" kwenye jamii zetu hizi hata huko magharibi. Lakini sasa you should know that it was an ideological weapon of mass destruction from the start na programmers ndio wale wale na sasa wameanza kuonyesha dhamira yao kwann walikiweka.

Nikikuuliza hapa waasisi unanitajia akina fulani na fulani nikikuuliza nani anaekiendeleza sasa hautaweza nipa majibu. Sasa ndio nakuelekeza kuwa hata mimi nilikuwa kama wewe but nilifanya upembuzi wangu binafsi na kukutana na watu wakiyaongelea haya with evidence sio theories.

Why are we having a disagreement hapo mzee?
Nimekubaliana nawewe 100% kuhusu athari zake now hasa kuhusu masuala ya jinsia na inavyo influence vibaya mabinti wa kisasa..

Ninachopingana nawewe Ni kuhusu kuanzishwa kwake na lengo lake,ninachofahamu ni kua waliobadili upepo Ni watu ambao wameamua kuangamiza kizazi chetu,hata hao unao waita feminist wapo aina Tatu

Pia usi comment Kama unajua Sana tupeane elimu taratibu.kwani good cause haiwezi kua cooked to manipulate jamii??
 
Ungependekeza nini kifanyike kurekebisha, kuzuia au kuondoa tatizo hili kwenye jamii?
1. Serikali iache mara moja kujikita kwenye shughuli za uhamasishaji wa usawa na ijikite katika kutatua changamoto zinaowaface wanawake ambazo nyingi ili kuzitatua wanabindi kudeal na wanaume kwanza Kwasababu serikali kama taasisi inamhitaji mwanaume na mwanamke katika ujenzi wa taifa sasa kujikita kumnyanyua m'moja ambaye ndie anatakiwa kusaidiwa kila siku na kumdidimiza ambaye ndie mtoa msaada ni kujitoa ufahamu na kujaza maji kikapu.

Tafakari jambo m'moja serikali wanapambana wanawake wapate elimu ya juu,wapewe nyadhifa,na mishahara mizuri ili iweje? Maana kwa kufanya hivyo tumetoa wanawake wengi sana majumbani na kuwasambaza mitaani ambapo bado tija yao haijaonekana zaidi ya kusifia tu mwanamke wa shoka ila ndoa zinavunjika,watoto wanawekwa rehani na kukosa matunzo mazuri, uchumi wa familia unashuka kutokana na gharama za maisha kupanda,etc sasa how was this important in solving anything?🤔

2. Tujikite katika zile elimu za awali za kujenga wanawake wenye haiba ya kike maana mwisho wa siku jamii inamhitaji mwanamke mwenye haiba ya kike anayetambua wajibu wake,anajituma kama mwanamke kwenye familia na ndoa yake, ambaye hana changamoto za kiakili na anayeweza kuwa msaada mkubwa kwa mume wake. Zile elimu zinaweza kuwekwa kitaalamu na zikawa rasmi watoto wakike wakawa na mafunzo yao rasmi ambayo wanaume hatuingii ili kuwajenga kuja kuwa impactful members wa jamii ambao wanaume tunawahitaji. Hawa wasasa hakuna anae wahitaji maana they are "misfits".

3. Jamii inafahamu kuwa Feminism ni mpango wa kikundi fulani cha binadamu na si asili ambacho kimelenga kufanya uharibifu kwenye jamii kwa malengo yao binafsi.
Kimsingi jamii inawajibika kukataa feminism ideology na kuendelea kushikamana na imani za dini zetu ili kuokoa kizazi cha sasa na kijacho cha watoto wa kike.

Hawa wa sasa ukiwatazama hawana faida yoyote ukitolea kufanya nao ngono tu ila maeneo ya msingi ni rejct product.
Hawafai kuwa wake kwasababu ya kukosa utii na kujawa ujuaji na maviburi.

Hawafai kuwa marafiki sababu wanaomba hela kushinda hata mke halali wa ndoa.

Hawafai kuwa mama sababu ukizaa nae anaanza mtesa mtoto kupitia wewe atalazimisha mambo yaende anavyotaka ukikataa anamtenganisha mtoto mbali na wewe baba kisha anaanza mjaza maneno ambayo mtoto yatakuja kumtesa sana na kumpa maumivu yasiyopona milele. Yote ni kuprove kwamba feminism ndio jambo sawa kwenye komwe lake.

Kiufupi feminism imetengeneza ombwe la mwanamke kwenye jamii ya sasa. Soon watoto wetu wa kiume wakitengeneza mfumo nje ya maisha ya ndoa wataona ndoa ni mtihani na sio jambo la lazima sasa hawa wanawake wanaozaliwa wengi kuliko wanaume nani atawabeba na kuwapa matunzo? Kwasababu tusijidanganye kuwa mwanamke anaweza kujisimamia bila mwanaume mzee ni uongo wa karne. Hawa wote unaoona wanafanya kazi wanafanya mabiashara wengi wanaishi kwa majuto bila mwanaume wanafosi mahusiano hata na watoto wadogo. Si mnamuona shilole, Auntie Ezekiel na Irene Wolper kwa mifano, wale pesa wanazopata wangekuwa ni wanaume saa hii wameoa na wana utulivu wa familia. Ila tazama sasa kwa mwanamke hali inavyokuwa,amefanikiwa ila mahusiano bado kwake ni kitendawili kila siku ni migogoro na matamko mitandaoni.

4. Wanaume mnaojitambua acheni kusapoti upuuzi wa uwezeshaji wa wanaume kiuchumi sijui kisiasa hakuna faida itakayokuja kupatikana mbele zaidi ya kutengeneza jeshi la vichaa litakalokuja kutesa watoto wetu baadae. Narudia tena tazama marekani ya sasa na ile ya miaka ya nyuma kama zinafanana. Ndio maana hata China inawapita kimaendeleo sasa.

Hivi kwanini mnaona mataifa ya magharibi pekee ndio model ya jamii ya kuiga mbona hamtazami Urusi, India,China muone namna hawana time na maswala ya jinsia.

Tazama serikali ya urusi na china, wanawake wakuhesabu kwenye vyeo mnaona yanatetereka hayo mataifa? Ninyi huku tanzania kazi kushabikia jambo ambalo hata hamjui limetokea kwenye akili au kikundi cha nani na kilikuwa na malengo yapi.

Wanawake taasisi inayomhusu ni familia,huko ndipo uwanja wake ulipo. Biashara inayomhusu ni ya familia chini ya mumewe. Maswala ya unyanyasaji wa kijinsia sisi kama jamii tunayamudu. Mwanamke yoyote akisumbuliwa alete malalamiko kwenye jamii tutadeal na huyo mwanaume moja kwa moja bila kumfumbia macho.

Mara ngapi wanawake wamedai haki mitandaoni na watu tukapaza sauti na shida ikatatuliwa wakapata haki zao?

Feminism ifutwe.

Kwa kifupi feminism ifutwe.
 
Saizi kuna hiyo na watoto wa kiume kusahaulika..........
Ndio mojawapo ya target ya feminism mzee,kumzima mwanaume inabidi wawadhoofu watoto wa kiume na kuwainua kwa nguvu watoto wa kike hata sehemu ambapo hakuna ulazima.

Kukitokea nafasi za masomo 100 wakasema tugawe 50 wanawake 50 wanaume. Mafeminist watajaza haraka sana hii 50 ya wanawake na wataomba tena 50 wapewe hata 30 sababu wanawake ni wengi sana wanaotaka.

Wanajisahaulisha tena kwamba feminism ililenga kutengeneza usawa kwa Wanawake na wanaume wanaalanza kumkandamiza tena mtoto wa kiume yaani hawataki muona ana stawi.

Program ya feminism ni kirusi kwenye jamii. Inalenga kutengeneza sumu ya kumuua mwanaume halafu kumpa hatamu mwanamke, yaulize sasa kwa faida ipi majinga makubwa hayo,utaona yanajipiga piga kichwani marasta yao na mimacho myekundu kama yamevuta bangi yanakosa hata majibu. Ubishi mwingi akili zero.
 
Nimekubaliana nawewe 100% kuhusu athari zake now hasa kuhusu masuala ya jinsia na inavyo influence vibaya mabinti wa kisasa..

Ninachopingana nawewe Ni kuhusu kuanzishwa kwake na lengo lake,ninachofahamu ni kua waliobadili upepo Ni watu ambao wameamua kuangamiza kizazi chetu,hata hao unao waita feminist wapo aina Tatu

Pia usi comment Kama unajua Sana tupeane elimu taratibu.kwani good cause haiwezi kua cooked to manipulate jamii??
Mzee unawafahamu Jews au umeshawahi kusikia habari zao?

Kule juu umesema wewe umesoma Talmud na unaifahamu vema. Sasa kama unaifahamu utakuwa tayari unajua kuwa Feminism ni ajenda yao tokea kitambo wakati inaanza.

Nikikuuliza kuhusu namna feminism imeanza unanitajia faces of early feminists yaani wana harakati wa kwanza wa feminism the likes of Mary Wollstonecraft, Christine de Pizan. Hawa walitumika kama face of ideology miaka hiyo. These people's plans go far way back its a generational agenda kwao wanarithisha hadi vitoto vyao kuwa lazima vicomplete mission ya kuteketeza other races ukiacha jews pekee yao.

Wewe unaona wengi wao si wanaoana wao kwa wao tu. Mzee ngoja nitenge muda nitafute zile post za Twitter za jamaa uone vitu alivyopost usome mwenyewe ujionee. Utaacha kuongea hizi story zako unaleta hapa za sijui ilikuwa program nzuri.

Mfano wake ni mataifa ya ulaya walipoanza uchokozi si walikuja kama wamishionari wasambaza dini ya upendo? Then maspy /explorers then likaja jeshi kamili kushambulia. Sasa kwenye hilo ni sawa na wewe useme hapana hawakuwa na nia mbaya mwanzo walikuja kubadilika tu baadae siku zilivyoenda. 😂😂😂

Mzee jamaa wanakuwekea mileage ndefu kabla hajakupa kichapo chenyewe.
 
Back
Top Bottom