mkuu sijakupinga nilikua nataka tukubaliane kua 1st wave feminism was about haki za msingi Kama kupiga kura,Elimu, Uraia,
Ya pili miaka ya 60 ilikua kudai haki za kutoa mimba,Sexual freedom,Kataa Ndoa na kampeni za single motherhood,.
Nakubaliana na wewe kwasababu that was the face value walikuwa wanauza in the first place. But as muda ulivyokwenda na walengwa waka buy in the chips for game sasa wakaanza ajenda rasmi.
Ila hao Jews nao hawakua nyuma ku push ajenda zao,Niliwahi kushare kitabu humu Cha Groria Steinem Feminist maarufu duniani akiongelea alivyokua anafadhiliwa na mashirika makubwa ya marekani ku push Agenda za femenism..Swali la kujiuliza kwanini matajiri na elites wanapenda harakati hizi na kutoa mabilion??Mkuu me nishafanya kazi na shirika Fulani kubwa Sana division ya East Africa masuala ya Wanawake na watoto,nilitaka tujue mzizi wa tatizo hili tusadie Jamii yetu na ujinga huu,tho sio yote Hasi ushaidi ninao,it's you to Jugde..
Kwa kifupi ni kwamba. Marekani ile unayoiona matajiri wakubwa wengi wana asili ya Israel. Na ndio wenye maamuzi ya mwisho. One of their mission ni kuondoa influence ya race zingine zote katika global agenda wabakie wao. Again Jews na culture yao ya Jews ni ya kale kushinda zote ,ukristo,uislam,uhindu zote hizo zimewakuta na zimeanza wao wapo tayari.
Sasa ni kama wana mission ya kuclaim back dominance yao ya ulimwengu ambao sasa upo scattered.
Wewe ukisikia story za new world order unaelewa nini tazama hiyo new world order namna inatengenezwa.
Kuna story utasikia sijui taifa kubwa litakuwa china, wengine sijui wanasema ni marekani but behind the scene ni jews wanacontrol hii show.
Tazama pale Palestine, kwann vita haviishi. Watu husema ni vita vya history za kidini but mimi nasema si kweli. Wapalestina wapo wakristo kule ingawa watu hudhani wapalestina ni 100% moslems. Rudi kwa wa Israel huku ambapo wakristo husimama nao wakidhani ni taifa teule,wa Israel hawatambui ukristo na wanaukashifu kila uchao, how can that be even be a religious war?
Kingine,umeshawahi sikia Netanyahu amefunguliwa mashitaka ya makosa ya kukiuka haki za binadamu kwa mauwaji anayofanya kule Palestine? Tazama namna US ipo kimya, why? Kwasababu top elites ni Jews na ndio wanakimbiza mifumo ya US.
Kuna vingi nilisoma siku ile kwenye ile thread ya Twitter jamaa alishare alot of classified information ambazo i think zimekuwa zikivujishwa kidogo kidogo tokea vita vya pili kuisha. Hitler alichoma mavitabu mlima hivi wenye mipango ambayo hawa Jews walipanga kufanya, feminism ni miongoni mwa mikakati waliyokuwa nayo tokea wakati huo na walishaanza utekelezaji. Imagine miaka kabla ya vita vya pili jamaa tayari walishaanza kusambaza ushoga na transgenderism ideas kwenye jamii ya watu huko Ujerumani.
Mzee kuna mengi sana ya kuongea ila tusimamie topic tu hapa kwamba western feminism ideology must go.
Kwa wenzetu ndoa hakuna tena, familia nyingi za mzazi mmoja, divorce rate ipo so high,Nini kifanyike kwetu zaidi ya ku post JF tu??maana naweza kutaja Hadi NGO ya kwanza Tanzania kupewa hela ku push Agenda..after 10yrs tutakua pabaya,now wanaume sio wanaume tena wanawake wanaofanya kazi na degree ya UDSM hawaambiliki wakasikia wala kutulia...
Nambie kama hizi ishara hauzioni hapa Tanzania kwasasa, especially miji mikubwa kama Dar ambapo mahusiano yamekuwa biashara kwa wanawake kuwekeza miili yao kama mitaji.
Familia za sasa kwa wastani 10 nane ni masingle mother wenye wanaume wanaozuga nao kama waume wa ndoa ila sio rasmi.
Kupost kwenye mitandao ni hatua ya awali na muhimu sana katika kutoa elimu ya kutambua nini kinaendelea kwenye jamii. Humu ndani tupo na watu muhimu,viongozi,wasanii, wanaharakati na wanajamii wakereketwa wa maswala ya maendeleo, hao wote wanasoma na inaanza kuwapa amsha ya nini kinaendelea.
In time utaona mijadala inaanza bungeni, kwenye nyumba za ibada na hata mitaani. Ni swala la muda sababu kila mtu anajionea.
Hao wanawake ambao wamejikita kwenye ufeminism hatuna haja ya kudeal nao. Hao hao ni wa kuwatafuna na kuwaacha solemba. Sisi tudeal na kizazi cha hawa mabinti wadogo na jamii. Hawa ndio wanaohitaji ukombozi. Feminism inamtarget binti mdogo kati ya umri wa miaka 8 hadi 30 hapo. Hao ndio target age group yao. Mwanamke akishavuka 30 anavurugwa na maisha anapata wapi muda wa kufukuzana na ideology za maneno matupu na kumjaza jazba lakini hazimsaidii kulipa bills zake. Atajinyenyekesha hadi apate mwanaume akae kimya aufyate.
Je femenism jambo zuri au Kuna agenda ya Siri?are we colonized through compassion???Dini, Elimu,Gender equality zipo ku controll system (kwa wajinga wenye elimu)
Feminism sio jambo zuri na ni silaha ya kifikra ya kututoa kwenye reli. Adui wa miaka hii haji na jeshi mpakani. Anakuja na programs mbali mbali za kiafya kama chanjo, elimu ambayo anajua baada ya miaka 10 haitakuwa na tija kwako. Na kuwapa ideology za kuwagawa.
Hoja yangu ipo palepale,katika history wanawake walinyanyaswa kwa namna yeyote lazima wangepaza Sauti na kusimama,ila now imefika Mbali Kuna wanawake wanapambana kuhusu woman rights lakini hawajafika huku kutoa mimba na ushoga..Hata hao Jews (Orthodox) wanapinga feminisn Hadi kesho na zamani wanawake wa hivyo Walikua wanatengwa,Hiyo Talmud Ina work Sana for Ashkenazi and sitaki kwenda deep habari zao humu zipo..
Ipo deep sana hii connection kati ya jews na feminism mzee. Usikatae. Unatumia surface info, there's something deep hauja observe.
Kwa maoni yangu Feminism ideology sio mbaya,Ila inavyotumika Kama Tool ya kuuza uafrika wetu kwa Donors kupitia NGOS ndio mbaya isiwe Kama agenda ya kimataifa,. wanawake wetu waseme matatizo yao,changamoto zao..
Fvck UN,Fvck NGOs,fvck IMF
Mzee ukisema feminism sio mbaya then what is our discussion about?
Okay,tufanye sasa feminism ipo in our society mambo yapo hivi, isipokuwapo nini kibaya kitatokea mzee?