Sijui umefafanua kitu gani hapa sasa. Maana unasema nina tabia ya generalization then unakiri kwamba nyuma ya migogoro niliyotaja kuna mkono wa mzungu.
Hakuna mtu kakulazimisha ni wewe unaforce mimi nionekane naongea kitu ambacho hakipo,so nimekaa chini nimetunga? Sasa unabisha ingia hapo mtandaoni tazama shughuli za mafeminist wa sasa ni zipi halafu unambie who is facilitating them?
Ungekuwa articulated kama unavyojinasibu ungelijibu. Sasa onagoma kujibu unataka tuongee nini zaidi na unakiri kuwa we are not on the same page.
Hivi vitu umeongea hapa vinapatikana hata kwenye madaftari ya wanafunzi kuzungumzia advantages za jambo na disadvantage zake. Mimi ninakwambia observation ya kinachoendelea sasa.
Wewe unaongelea wanawake kupata kazi,sijui michango yao baada ya kuwa mainjia,who gives tha
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala kwan hizo kazi mwanzoni wanawake walifanya na Dunia ilisimama walipokuwa hawapo maeneo ya kazi?
Usiniletee propaganda za mtu anayelipwa kuwa publicity wa brand hapa. Mimi sijali wewe na hao unaowasapoti kuwa wanachangia nini katika soko la ajira. I am more worried na watoto wa kiume ambao kwasasa wanaangamia huku naona halafu wewe na pumbu zako useless unakuja kuni patronize hapa ili niseme its okay,are f*cking with my intelligence u piece of wet wipe? 🤔
Wewe hawa watoto wa sasa wa kiume kubadilika haikustui unakuja hapa na hizi sifa utadhani tupo siku ya wanawake Duniani hapa. Mimi siko hapa kusheherekea decoration ya mafanikio ya engineers wa kike nipo hapa kutetea maslahi ya watoto wetu siku zijazo especially watoto wa kiume ambao now wanadidimizwa kwa makusudi.
Sasa kama unajua kuwa sio wajibu wa mwanamke kumsaidia mwanaume mbona unakuja kusema ni sawa kwa mwanamke kutetewa apate kazi katika maeneo ambayo wanaume ndio huwa kazini, mtu timamu wa akili unaweza kusema kitu kama hiki?
Yaani unakiri kwamba mwanamke hata kama atapewa kazi then hana wajibu wala majukumu ya kumsaidia mwanaume why then sasa apewe kazi na hana majukumu na mtaani tuna wanaume wanakosa kazi hadi wanashindwa majukumu yao?
Again sipo hapa kutukuza mafanikio ya feminism na wanawake na maendeleo yao, nipo hapa kuongelea madhara ya Feminists na feminism kwenye jamii yetu na namna inaathiri mahusiano ya wanaume na wanawake,kuharibu watoto wetu wa kiume na kuwawekea watoto wetu wa kike future mbaya baadae. Kama unatatizo na hilo you can take that feminism crap,mix it in your cup of coffee,drink it and have a good life. Because i don't give a zero f*ck about hizi mapambo unaleta hapa.
Again ningeendelea kukujibu kwa hoja kama ungekuwa mwanamke but katika kitu haujafahamu kuhusu mimi and naomba ukifahamu from here now on kuwa mimi huwa siwaki na SIMPS au mwanaume ambae katika mijadala ya kiume anajikuta yupo neutral au anatetea kambi ya kike. Kwangu hiyo ni usaliti and it brings some gay vibes.
Katika kitu nachukia ni kuona mwanaume yoyote anaongea mambo ya kike kwa sauti ya kiume. Watu kama wewe mna mchango mkubwa sana katika kuzorotesha taifa sababu ya kutetea u*s*ng* unaoendelea kwenye jamii kwa kukingia wanawake vifua wakati nyuma ya pazia kuna mengi wanafanya kwa maamuzi yao binafsi ila wakiharibu wanasema ni kosa la mwanaume.
Unasema ni wanawake wachache wanatoa mimba kwasababu ya kutaka,so wengi wao wanalazimishwa,una uhakika na hili unalosema au umechagua kuwa mjinga tu hapa?
Sisi tunaongea vitu tunavyojua na tunaviona wewe unakuja hapa kutetea mambo kike kike halafu unajikuta mwanaume katika kundi la wanaume *****. Hebu nenda kwenye mijadala ya wanawake huko mkapongezane na shughuli za akina mama ,usiwe unajimix kwenye mada zetu za kiume tukiwa tunatoa sumu zetu,achana na sisi kabisa, this was man space unakuja na pigo za kike kwa sauti ya kiume umeshanikata stimu.
Ungekuwa mwanamke ningesema twende sawa maana ni mwanamke unatetea kambi yako but wewe ni mwanaume halafu unakuja hapa na mbaga za kike.
Unataka mimi nijibu hapa,hizi ni vitu gani umeandika hapa sasa. U are wasting my time.
Wewe usiwe mjinga,mimi nipo Twitter pale tokea ile video inapostiwa mara ya kwanza. Nenda kwenye page ya Martin kasome utaona comments hadi za wanawake wanalalamikia hilo kuwa wanawake wamewaachia wanaume lile tukio wao wapo kimya inamaana haliwaumi.
Huyo fatma karume alikuja kucomment kwa mara ya kwanza siku kadhaa mbele. Wengine walifuatia kidogo baadae. Nenda kasome comments za watu kule halafu ujiridhishe. Unajua hata nani alileta ule mjadala mtandaoni? Huyo tu aliyetuma wale wahuni ni mwanamke,wewe unakuja kutetea hapa,hebu niondolee bange mimi.
Nenda katazame time line ya tukio hadi kipindi wanazungumza. Mimi nilikuwepo kwenye space zaidi ya tatu hakuna mchangiaji wala mwanamke kujadili lile swala.
Wanaume ndio walishikia bango ile issue. Hao unaowataja walikuja baadae sana bada ya tukio kuvurumishwa sana hewani. Wewe unanibishiaje vitu vina ushahidi nenda kule Twitter katazame tokea mwanzo halafu kuwa unasoma comments kwenye posts utaona aibu unachotetea na utakachokikuta.
Mimi nitaacha ujinga wewe ukiacha upumbavu. Nimesema kuwa JWTZ hawakutoa tamko. Ikupe picha kuwa wale vijana hawajachukuliwa hatua yoyote. Ile kwenda mahakamani ni kiini macho kuwalaghai raia ili ule mjadala ufe.
Wewe umeona wapi watu wanahukumiwa bila aliyewatuma kutiwa mbaroni. Hiyo kesi umewai kuona wapi. Yaani utume watu wakabake na kumfanyia binti mdogo miaka 16 ukatili halafu wewe kwenye kesi usiwepo na ni prime suspect? Halafu kesi inakwenda fasta ndani ya mwezi watu wamefungwa. Jwtz, ni jeshi la wanainchi halijatoa taarifa yoyote kwa mabosi zake (wanainchi), unaongea nini wewe?🤔
So tunajadili ubakaji tena? Wewe sikiliza usiniletee hizi habari hapa. Again,kama umeshajijua wewe ni Simp usiwake na mimi kwasababu mimi na wanaume wanaojinasibu ni advocates wa mambo ya kike kwangu nawaona ni gays na mimi siwaki na hizo vibe so kama vipi potezea mada. Mimi huwa si deal na ma traitor wa jinsia, go back to sister's sorority mkacheze Barbie house or pillow fight. This is men space.
Incel by definition ni involuntary Celibate yaani kapera bila hiyari. Nigga, nina kwangu,nina mwanamke naishi nae. Kama haujui neno lina maana gani usilitumie. Usiniletee hizi mbaga za kike hapa. Sipo hapa kutafuta umaarufu au kutafuta mademu, am here to communicate my thoughts kwa jamii yangu ya kitanzania.
Nina tafuta jambo na topic ninaloweza lichambua ninalisema bila kuhofia litaumiza nani sababu ukweli unachoma unapoelekea.
Sasa sijui wewe unajikuta nani kuja kunambia kuwa sipo sahihi kusema kipi na kipi as if unalipwa kuja kutetea upuuzi.
This is Men space kama wewe unaona unakandamizwa nenda kwa wanaume wenzako huko mkajadili namna ya kudanga wakutafutie na mwanaume mwenzako akutawale huku ukisubiria siku ya mwanamke wa shoka uvae kanga ukasherehekee nao huko vilingine.
Untill then achana na mambo ya kiume,huku sisi hatutaki unafiki na tabia za kike.