Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

1 na 2 sizijibu, na siwezi poteza muda wangu.

3 had 5 nazijibu kwa kifupi tyuuh, hizi nadharia zinatokea kwa uchache au kiasi kdg sana kwa wahusika, it means sio wote wana kumbwa na hizo nadharia

Kuhusu Faida za ushoga, wanazijua wahusika na sio wee ikiwa sio, nweii wee ulisema niteteee na maovu mengine, nikakupa utofauti wake kati ya hayo mengine na huu ushoga, na nikakupa.

Em anzisha uzi unao husu ushoga, nikutiririkie vizuri.
Hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha ushoga.
 
Calling feminism a virus is a way to avoid the truth and justify patriarchy. Feminism is not poison but a cure for gender oppression. It is a movement that demands rights, not favoritism. Those who fear feminism are often the ones who benefit from the oppression of women. Any society that rejects equality cannot move forward with justice or development.
 
Ukitaka kuharibu msingi wa future ya mtu basi haribu misingi ya familia haswa kwenye upande wa malezi
Wengi wetu humu ni watu tulio kulia maisha ya zamani kidog walau tunaweza ona kipi ni tatzo ila hawa wenzetu wanao jiita wa kisasa ni hovyo kabisa yani kizazi ambacho kwenye swala la malezi ni wachache sana wanao pata malez mazuri yanayo endana na asili ya mtu mweusi
Saivi watoto wanapewa malez ya hovyo
Mfano mimi kunajiran yangu apa ni single mother anamtot wa miaka 8 kila nikimtazama huyu dogo naona baadae atakuja kupitia shida ambayo imeanza kutoka kwa mama yake mzazi kupitia malezi. mbaya zaid mlezi wake hayuko vizur kiuchumi aseh
Kama kunasababu ya kuepukia wanangu tusiache damu zetu kwa wanawake ukwel pekeyao malez hawawezi hasa kwenye ishu ya tabia.
 
Mwamba huwa upo consistent sana na kutetea haki za boychild. Kongole sana.
Shukurani mkuu. No body has got our little men back anymore and they need our support, they need brotherhood and fatherhood energy for survival in this toxic infested society environment.
 
Nimechekaa!! 😂😂😂😂😂
Wee hujanijua kumbe, kwenye mada ya ushoga, nilikua nabishana na watu zaidi ya 9 kwa mpigo na nawatoa knock out,
Kumbe unabishana me nikajua unajadili? It means haujui kujenga hoja ila unakuja na chochote kichwani ili tu kushinda na kuonekana upo sahihi na kumbe sivyo.
Hizi hoja ulizotoa wee, watu walikuja nazo na niliwajibu vyedii, walitumia hoja kwa kila mlengo, DINI, AFYA, UTAMADUNI, ASILI, SAYANSI.
na niliwafurusha, wapo walio kimbia ID zao kisa mie.
Mbona sahivi nimepoa?! Huna habari? Uliza uambiwe..
Huku sasa bi kujitetea,jambo limekushinda kujibu unaanza kunambia vitu ambavyo ni irrelevant na hoja nilizokuuliza. Hakuna kitu unaweza kusema kujustfy ushoga sababu deep inside unajua ni abomination, negative, na ni immorality.

So kwenye hilo kubali tu kuwa kuna kushindwa na kutofahamu.

Mimi nakuruhusu twende wino kwa wino,neno kwa neno na mimi halafu nione namna utanifurusha.
Nimekuambia anzisha mada ya ushoga, afu nitag ili ufurahi na nafsi yako.
😂😂😂😂😂😂
Sawa leo nafungua uzi baadae kuhusu ushoga nategemea kukuona pua yako kuja kunifurusha.
 
Calling feminism a virus is a way to avoid the truth and justify patriarchy.
What Truth and that truth was intended for who? Don't be confused,there is "Truth" and "Fact". They are similar but not the same.

In the other news, Patriarchy is a complete and legitimate social system compatible with traditional and modern family. Your lack of knowledge about it doesn't dispute or challenge the reality.

Comparing Patriarchy with Feminism is an insult to wisdom. Anyways,in case u don't know, Patriarchy correlates with Matriarchy not Feminism, Patriarchy and feminism are two different departments in life. Feminism opposite is Masculinity.
Feminism is not poison but a cure for gender oppression. It is a movement that demands rights, not favoritism. Those who fear feminism are often the ones who benefit from the oppression of women. Any society that rejects equality cannot move forward with justice or development.
Anything that doesn't breath life in a society is definitely a poison to society. If feminism is good like you claim it to be, list for me some 5 concrete proof of evidence that feminism is of benefits to our society in the long run. I'll be here waiting for your list.

Yes it is a movement that demands right for women,but you have to tell me something, with every right you believe you are entitled to follows a corresponding responsibility. Now tell me, with all the rights feminism has demanded women are entitled to such as Voting, equal pay, ownership of assets and property, right to body choices,etc, what responsibility have they carried with those acclaimed rights by the feminists and their movement?

You really need to learn how to be specific on how men or patriarchal clan benefits from women at large and how are women exploited by patriarchy?

Say equality exist, if i can eat 5 kilos of meat 🍖 and you can only eat not more than ½ a kilo, meaning if you were to be given a 1 kilo of meat 🍖 everyday u will never be able to consume more than that half of that kilo.
So does this mean i am being favoured and you are being exploited because we are given some different portions of meat per day based on our bodily nutritional requirements? Does that mean that equality is being rejected in this scenario?🤔
 
Ukitaka kuharibu msingi wa future ya mtu basi haribu misingi ya familia haswa kwenye upande wa malezi
Wengi wetu humu ni watu tulio kulia maisha ya zamani kidog walau tunaweza ona kipi ni tatzo ila hawa wenzetu wanao jiita wa kisasa ni hovyo kabisa yani kizazi ambacho kwenye swala la malezi ni wachache sana wanao pata malez mazuri yanayo endana na asili ya mtu mweusi
Saivi watoto wanapewa malez ya hovyo
Mfano mimi kunajiran yangu apa ni single mother anamtot wa miaka 8 kila nikimtazama huyu dogo naona baadae atakuja kupitia shida ambayo imeanza kutoka kwa mama yake mzazi kupitia malezi. mbaya zaid mlezi wake hayuko vizur kiuchumi aseh
Kama kunasababu ya kuepukia wanangu tusiache damu zetu kwa wanawake ukwel pekeyao malez hawawezi hasa kwenye ishu ya tabia.
Na hili swala la wanaume kuachia watoto wanawake kwa kisingizio cha kuwa Wanaume hawawezi kulea watoto ni ukosefu tu wa ufahamu na elimu sahihi ya malezi.

Wanaume wana majukumu yao katika kulea watoto na wanaweza kulea vema na mtoto akawa vema kwa msaada wa Bibi mzaa baba, Mashangazi, na dada wa kazi.

Kwann mnawachia wanawake watoto zenu na mwisho wake watoto wanaharibikiwa vibaya sana.
 
Asante nashukuru. Nimetoka mbali. Nimejifunza mengi katika maisha nikaja kugundua kuwa this is not how we're meant to live. Sijui hii imekaaje lakini siamini kama katika hali ya kawaida mwanamke anaweza ku thrive akiwa mbali na familia, watoto na jamii. Na hapa siongelei pesa tu but as a whole.
Kwa ufupi tu dada yangu maisha ya kiumbe chochote kilichoumbwa na Mungu hayawezi kwenda kwa usahihi hila kuwepo kwa interdipendence baina ya kiumbe cha kike na cha kiume, sasa dunia ya kifeminist imemdanganya mwanamke kuwa eti akiishi bila mwanaume ndio atakuwa na furaha na familia sio kitu cha muhimu kihivyo maishani mwake, matokeo yake sasa tumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wako so bitter kutokana na kuembrace hizo imani za kipumbavu na huwa wanatafuta ahueni kwa kuwaingiza wanawake wenzao kwenye huo mkenge.
Hii Zion nimetoa kule kwenye kitabu kitakatifu. Zion, the dwelling place of God 😊
Zionists yaani wazayuni tangu kuumbwa kwa huu ulimwengu wamekuwa wakipush ajenda mbali mbali zenye lengo la kuidestabilize society hili tuwe jamii dhaifu ambapo itakuwa ni rahisi wao kuexercise NWO na feminism ndio ajenda kuu ya kuidhoofisha jqmii na walioshikilia sqna ni hqo zionists. Ndio maana nimeshangaa kumuita mtoto wako zion.
 
Mara nyingi inabidi traditional wife awe mama wa nyumbani wakati mume ndio mtafutaji.
Ndio maana nasemaga nyie simp hamnaga akili wala maarifa yoyote, mnatafsiri histilahi nyingi kulingana na modern feminists walivyowaaminisha.

Nani amekwambia kuwa tradtional wafe ni lazima awe mama wa nyumbani? Haujui hata maana halisi ya traditional woman mpuuzi wewe, traditional woman ni mwanamke yeyote anayeamini katika traditional family values ambapo ndani yake ndio kuna vitu kama;

1).Familia inatengenezwa na mama na baba, ambapo baba ndio kiongozi mkuu wa familia na mama ni kiongozi msaidizi watoto.
2).Mtoto wa kike ni lazima awe chini ya wazazi mpaka pale atakapofikia hatua ya kuolewa na haruhusiwi kuondoka nyumbani eti aende akapange hata kama ameshaanza kujiingizia kipato chake mwenyewe.
3).Kila mtu anaheshimu na kuzifuata gender based roles, yaani baba anatimiza his masculine duties na mama anatimiza her feminine duties.

Na sio lazima uwe mama wa nyumbani eti ndio uhesabike kuwa wewe ni tradtional wive, wapo wanawake kibao tu wenye nyadhifa za juu duniani na wanaheshimika sana ila majumbani mwao ni traditional wives, mfano mzuri ni mnaijeria anaitwa Ngozi Okwor huyu amewahi katibu wa IMF ila kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema anaamini katika gender roles na pia ni mtu wa dini sana.
Na historically mchango wa traditional wife ulikuwa hauna thamani kama mchango wa traditional husband.
Hakuna kitu kama hicho huu nao ni ujinga mwingine ambao umelishwa na feminists, inakuwaje kiumbe ambacho kina risky maisha yake kuleta uhai wa mwanadamu na kukilea mpaka kufikia hatua ya utu uzima tuseme eti mchango wake hauna thamani? Na pia nikujuze tu kwa maelfu ya miaka wanawake wamekuwa wakihusika kwa kiasi kikubwa kwenye shughuli za kilimo wakati huo wanaume kazi yao kubwa ikiwa ni uwindaji na kulinda familia dhidi ya maadui. Sasa kivip utwambie eti tradtional woman amekuwa hauthaminiki kihistoria? Huu ni uongo na exaggeration ambazo mnazifanya nyie feminists hili kufanya kila kitu cha zamani hakifai hata kidogo.
Ndio maana mume akifa, traditional wife alikuwa ananyang'anywa kila siku kwa sababu mchango wake wa kulea na kutunza familia haukuwa na thamani.
Inatakiwa uelezee hapa kinaga ubaga alikuwa ananyang'anywa vipi na sio uelezee kwa juu juu tu kulingana na hisia zako za kifeminist eti mchango wake haukuwa na thamani uongo mtupu.
Sijui kama huyo ndio "traditional wife"
wewe jamaa bora ungeishia tu hapa ukaficha ujinga wako kuliko kuendelea kujianika na kuisha kudharauliwa tu na watu wenye akili timamu. Kiufupi wewe hujui hata tafsiri halisi ya traditional wife. Una mdefine traditional wife kulingana na narratives zenu za kipuuzi ambazo zinamdunisha mwanamke.
unaemzungumzia na bila shaka ungependa binti yako awe hivyo.
Kwanini unapendekeza binti yake awe hivyo? Halafu mbona nyie feminists msipokubaliana na version fulani ya mwanamke mnaanza kufanya projections za kipumbavu kuwa yule anayeipenda hiyo version binti yake awe hivyo?

Halafu kwani binti yake yeye hana uhuru wa kuchagua awe mwanamke wa aina gani pale atakapokuwa mtu mzima? Mbona una akili za kipuuzi hivyo wewe jamaa?

Ni hivi hakuna ubaya wowote kwa mwanamke yeyote akiamua kuwa traditional woman na ana stahili kuheshimiwa kwa uamuzi wake kama ambavyo hao feminists na nyie watetezi wao ambao wengi ni mashoga mnapenda kuheshimiwa kwa maamuzi yenu japo yamejaa ushetani.
Awe na wajibu wa kuwapikia na kuwapakulia baba na kaka zake, kuondoa na kuosha vyombo watakaposhiba. Kuwafulia nguo zao na kuhakikisha nyumba iko safi. Na unawaambia watoto wako wa kiume kuwa hizo sio kazi zao, ni za dada na wake zao.
Hii paragraph yako imejaa kejeli za kipumbavu sana, yaani umeandika kana kwamba hizo kazi sio za kufanywa na mtoto wa kike na hakizifanya ni kudunisha uanamke wake.

ila mwanaume akizifanya hizo kazi hauwezi ukaona tatizo lolote sio? Maana nyie modern feminists na simps huwa mnataka mwanaume afanye majukumu ya kike na pia vile vile aendelee kutimiza majukumu yake ya kiume kuwa ndio civilization hiyo? Wajinga sana nyie mnajifanya mnapigania haki za wanawake na wakati in real sense mnafight for gender roles reversal tena katika namna inayomnufaisha mwanamke pekee tu.
Na unafurahi, unaposikia mtu akisema " una akili za kike" hauwezi ku achieve lolote!
Kwanini unafanya presumptions za kipuuzi namna hii? Mbona huwa mnalazimisha mwanamke yeyote asipokubaliana na nyie aonekana ana akili za ovyo kulingana na imaginations zenu za kipumbavu?

Hapa unachojaribu kutwambia ni kwamba traditional woman ni mwanamke duni kwanzia kifikra ambaye hawezi kutimiza lolote la maana si ndio?

Ila angesema yeye ni modern wife ambaye haamini katika tradtional family values, wala hata usingemuuliza maswali ya kejeli hivi.

kwako wewe unaamini kuwa "modern wife" automatically ni mwanamke smart, na "traditional wife" ni mwanamke mjinga asiyeweza kuarchieve lolote sio?

wewe jamaa ni matako sana na huna akili hata kidogo nakwambia.
Just curious.

Amandla...
Hakuna cha curiosity wala nini hapa, wewe hiii comment yako umeiandika kwa kumdharau na kumkejeli sana MamaZion kwa sababu tu yeye ni aina ya mwanamke ambaye nyie mafeminists hamumpendi, ni jambo ambalo liko wazi nyie simps na modern feminists mnawachukia sana tradtional women huwa mnasema eti traditional women wanawarudisha nyuma kwenye harakati zenu za kishetani.

Wanafiki wakubwa nyie mnajifanya mnapigania haki za wanawake eti wawe na uhuru wa kuchagua kuishi maisha wanayoyataka, halafu wakichagua kuwa traditional wives mnaanza kuwachukia na kuwadharau wapuuzi nyie.

Naamini kabisa huyu MamaZion angesema yeye ni single mother wa watoto watato, kila mtoto ana baba yake na pia yeye ni hardcore feminist wewe ungempongeza na kumuona ni mwanamke shupavu na wala usingemzonga zonga na maswali yako ya kipuuzi yaliyojaa kejeli na dharau.

Nyie simps huwa nawachukia sana maana nyie ndio tatizo kubwa kuliko hata feminists wenyewe.
 
Jamaa amelainishwa na kurogeka amekuwa na skeleton ya kike kabisa. Mimi nimeshindwa kumuelewa hata kidogo sijui anajiskiaje kutetea jambo ambalo hata kwake ni hatari.
Huyo bwege kwenye lile sakata la Achraf Hakimi na mkewe kipindi kile ndio wametoka kuachana mjadala umepamba moto, nafikiri unakifahamu vizuri kisa kizima.

Sasa huyu bwege wa kujiita Fundi Mchundo yeye alisema eti mama yake na Hakimi inatakiwa anyang'anywe pesa zote alizonazo kisha pesa hizo apewe yule mtalaka wa Hakimi hili iwe fundisho kwa wanaume wenye akili kama za Hakimi, kwani eti Hakimi ana iharibu dunia kwa kuwapa wanaume mbinu chafu inayowanyima haki wanawake.

Imagine huyu ni mwanaume aliandika vitu kama hivyo yaani anaona yule mke wa Hakimi alionewa sana licha ya kila mtu kuona mwanamke yule alitaka kufanya utapeli wa karne ila akwa outsmarted na bwana mdogo Hakimi.

Ndio maana mimi nasemaga hawa simps ndio hatari sana kwenye jamii yetu kuliko hata feminists wenyewe, maana hawa ni extremists yaani wanamdesha haya ya kumuangamiza mwanaume mpaka wanawake wenyewe wanawashangaa...

..ona sasa hivi humu kuna feminists kibao tu akiwemo Jadda lakini hakuna hata mmoja aliyesema hii mada ifutwe ila yeye na mboo yake ambayo haina faida tayari kashaanza kuropoka eti hii mada ifutwe, huyo ni mtu wa kawaida kweli?

Haya, mama Zion hapo kaunga mkono hii mada na kaonesha msimamo wake kuwa yeye ni traditional woman, ila huyo bwege ndio ameonyeshwa kuchukizwa na msimamo wake kuliko hata wanawake mafeminists waliomo humu, mpaka kufikia hatua ya kumuuliza maswali ya kijinga na kejeli hili tu kumuudhi.

Kwanza ukishaona tu mwanaume anatumia neno "INCEL" dhidi ya mwanaume mwenzake, ujue hakuna mwanaume hapo, tafsiri yake anaaminisha kuwa wewe hauna access na ****, hivyo basi anataka uende ukamfire yeye. Sasa basi kuna uwezekano mkubwa sana huyu bwege wa kujiita Fundi Mchundo akawa ni bwabwa na ndio maana ameuvaa sana uanamke kuliko uanaume, yes he's a woman with penis.

Hatukatai wanaume kutetea haki za wanawake, of course kila mtu anayependa jamii bora lazima awe mstari wa mbele kupinga kila aina ya unyanyasaji wanaofanyiwa wanawake, mfano kama mimi nilikuwa mstari wa mbele kwenye lile suala la ubakaji aliofanyiwa yule binti wa Yombo nilipiga sana kelele yule askari Fatuma Kigonda aliyewatuma wale vijana akamatwe na achukuliwe hatua... kwa bahati mbaya mpaka leo hii yuko huru, ila naamini siku tukipata tena utawala imara kesi itasikilizwa upya na lazima atahukumiwa tu.

Sasa wajinga kama huyu fundi mchundo wala hata hawatetei haki za wanawake, hao wanawasaidia wanawake wa ovyo kuibomoa jamii kwa kumdidimiza mwanaume na kumuinua mwanamke kwa gharama za mwanaume, na hawafikirii kizazi chao cha kiume kitaishije huko mbeleni.

watu kama hao ndio wakuteka na kuwapoteza maana negative impacts waliyonayo ni kubwa sana kwenye jamii yetu.. nashangaa serikali ya ccm inaangaika na kuwateka akina Mdude na wakati watu wenye nadhara makubwa ambayo yatadumu kizazi na kizazi ndio hawa wanawaacha waacha tu.
 
Calling feminism a virus is a way to avoid the truth and justify patriarchy. Feminism is not poison but a cure for gender oppression. It is a movement that demands rights, not favoritism. Those who fear feminism are often the ones who benefit from the oppression of women. Any society that rejects equality cannot move forward with justice or development.
Actually no sane man can have a problem with feminism as per what its original idea entails, equal rights, equal opportunies,equal participation in all socio-economic spheres, just like how you have elucidated....

Your comment reminds us about first wave feminism that gained tremendous support from almost everyone wished for better society.

What we denounce and discard here is third wave/modern feminism the toxic version of feminism doesn't advocate equal rights rather it compel society to give women preferential treaments,freedom of accountability for their mischievous manners and upgrading them at the cost of margnalizing them.

The third wave feminism campaigners do not merely fight patriarchy but they strive to replace patriarchy with gynocentrism something majority of you feminist supporters are not aware of, but very soon you will be.

Any society that reject equality can't move foward indeed, but any society that embrace modern feminism will leave a room that welcomes too many social crises that will eventually destabilize it.
 
Ukitaka kuharibu msingi wa future ya mtu basi haribu misingi ya familia haswa kwenye upande wa malezi
Wengi wetu humu ni watu tulio kulia maisha ya zamani kidog walau tunaweza ona kipi ni tatzo ila hawa wenzetu wanao jiita wa kisasa ni hovyo kabisa yani kizazi ambacho kwenye swala la malezi ni wachache sana wanao pata malez mazuri yanayo endana na asili ya mtu mweusi
Saivi watoto wanapewa malez ya hovyo
Mfano mimi kunajiran yangu apa ni single mother anamtot wa miaka 8 kila nikimtazama huyu dogo naona baadae atakuja kupitia shida ambayo imeanza kutoka kwa mama yake mzazi kupitia malezi. mbaya zaid mlezi wake hayuko vizur kiuchumi aseh
Kama kunasababu ya kuepukia wanangu tusiache damu zetu kwa wanawake ukwel pekeyao malez hawawezi hasa kwenye ishu ya tabia.
Hawa wazazi wa kisasa wana malezi ya ovyo sana kwa watoto kwao licha ya usomi wao.

Wengi wanalea watoto wao kulingana na kile wanachokiona kwenye TV kwanzia majina wanayowaita watoto wao mpaka lifestyle

Huko mbele tutakuwa na jamii ya ovyo sana.
 
Hakuna sababu yoyote ya kuhalalisha ushoga.
Ndio maana wamarekani wanasema "Never negotiate with a terrorist". Hawa freemason huwa ni illogical na kujenga nao hoja ni kupoteza muda sababu hata wao wanajua kuwa hawapo sahihi.
 
Hebu muambie huyo, anahisi ktk Ushoga, atanieleza kitu, wakati mie naona hana kabisaa.
😂😂😂😂😂
Tulia wewe nimekukalisha kwenye comment moja tu hapo umekimbia subiri nifungue uzi hapa halafu tukutane ulingoni. Hoja za msingi hauna mikwala mingi.
 
Ndio maana nasemaga nyie simp hamnaga akili wala maarifa yoyote, mnatafsiri histilahi nyingi kulingana na modern feminists walivyowaaminisha.

Nani amekwambia kuwa tradtional wafe ni lazima awe mama wa nyumbani? Haujui hata maana halisi ya traditional woman mpuuzi wewe, traditional woman ni mwanamke yeyote anayeamini katika traditional family values ambapo ndani yake ndio kuna vitu kama;

1).Familia inatengenezwa na mama na baba, ambapo baba ndio kiongozi mkuu wa familia na mama ni kiongozi msaidizi watoto.
2).Mtoto wa kike ni lazima awe chini ya wazazi mpaka pale atakapofikia hatua ya kuolewa na haruhusiwi kuondoka nyumbani eti aende akapange hata kama ameshaanza kujiingizia kipato chake mwenyewe.
3).Kila mtu anaheshimu na kuzifuata gender based roles, yaani baba anatimiza his masculine duties na mama anatimiza her feminine duties.

Na sio lazima uwe mama wa nyumbani eti ndio uhesabike kuwa wewe ni tradtional wive, wapo wanawake kibao tu wenye nyadhifa za juu duniani na wanaheshimika sana ila majumbani mwao ni traditional wives, mfano mzuri ni mnaijeria anaitwa Ngozi Okwor huyu amewahi katibu wa IMF ila kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema anaamini katika gender roles na pia ni mtu wa dini sana.
Dah mzee unapiga za shingo nyingi sana. Sijui kama atapumua tena huyu,maana hapo sijui kama cha kujibu atapata tena.
Hakuna kitu kama hicho huu nao ni ujinga mwingine ambao umelishwa na feminists, inakuwaje kiumbe ambacho kina risky maisha yake kuleta uhai wa mwanadamu na kukilea mpaka kufikia hatua ya utu uzima tuseme eti mchango wake hauna thamani? Na pia nikujuze tu kwa maelfu ya miaka wanawake wamekuwa wakihusika kwa kiasi kikubwa kwenye shughuli za kilimo wakati huo wanaume kazi yao kubwa ikiwa ni uwindaji na kulinda familia dhidi ya maadui. Sasa kivip utwambie eti tradtional woman amekuwa hauthaminiki kihistoria? Huu ni uongo na exaggeration ambazo mnazifanya nyie feminists hili kufanya kila kitu cha zamani hakifai hata kidogo.
kajamaa yaani kanajua ku exaggerate hadi nimeshangaa wakati nasoma.
Inatakiwa uelezee hapa kinaga ubaga alikuwa ananyang'anywa vipi na sio uelezee kwa juu juu tu kulingana na hisia zako za kifeminist eti mchango wake haukuwa na thamani uongo mtupu.
Na shida anaongea point zake kama form 1.
wewe jamaa bora ungeishia tu hapa ukaficha ujinga wako kuliko kuendelea kujianika na kuisha kudharauliwa tu na watu wenye akili timamu. Kiufupi wewe hujui hata tafsiri halisi ya traditional wife. Una mdefine traditional wife kulingana na narratives zenu za kipuuzi ambazo zinamdunisha mwanamke.
Na ndipo shida ya feminism kumdumaza mwanamke kwa kumdanganya kuwa traditional values zake ni weakness halafu weaknesses wanaziita ndio strength.
 
Huyo bwege kwenye lile sakata la Achraf Hakimi na mkewe kipindi kile ndio wametoka kuachana mjadala umepamba moto, nafikiri unakifahamu vizuri kisa kizima.

Sasa huyu bwege wa kujiita Fundi Mchundo yeye alisema eti mama yake na Hakimi inatakiwa anyang'anywe pesa zote alizonazo kisha pesa hizo apewe yule mtalaka wa Hakimi hili iwe fundisho kwa wanaume wenye akili kama za Hakimi, kwani eti Hakimi ana iharibu dunia kwa kuwapa wanaume mbinu chafu inayowanyima haki wanawake.

Imagine huyu ni mwanaume aliandika vitu kama hivyo yaani anaona yule mke wa Hakimi alionewa sana licha ya kila mtu kuona mwanamke yule alitaka kufanya utapeli wa karne ila akwa outsmarted na bwana mdogo Hakimi.

Ndio maana mimi nasemaga hawa simps ndio hatari sana kwenye jamii yetu kuliko hata feminists wenyewe, maana hawa ni extremists yaani wanamdesha haya ya kumuangamiza mwanaume mpaka wanawake wenyewe wanawashangaa...

..ona sasa hivi humu kuna feminists kibao tu akiwemo Jadda lakini hakuna hata mmoja aliyesema hii mada ifutwe ila yeye na mboo yake ambayo haina faida tayari kashaanza kuropoka eti hii mada ifutwe, huyo ni mtu wa kawaida kweli?

Haya, mama Zion hapo kaunga mkono hii mada na kaonesha msimamo wake kuwa yeye ni traditional woman, ila huyo bwege ndio ameonyeshwa kuchukizwa na msimamo wake kuliko hata wanawake mafeminists waliomo humu, mpaka kufikia hatua ya kumuuliza maswali ya kijinga na kejeli hili tu kumuudhi.

Kwanza ukishaona tu mwanaume anatumia neno "INCEL" dhidi ya mwanaume mwenzake, ujue hakuna mwanaume hapo, tafsiri yake anaaminisha kuwa wewe hauna access na ****, hivyo basi anataka uende ukamfire yeye. Sasa basi kuna uwezekano mkubwa sana huyu bwege wa kujiita Fundi Mchundo akawa ni bwabwa na ndio maana ameuvaa sana uanamke kuliko uanaume, yes he's a woman with penis.

Hatukatai wanaume kutetea haki za wanawake, of course kila mtu anayependa jamii bora lazima awe mstari wa mbele kupinga kila aina ya unyanyasaji wanaofanyiwa wanawake, mfano kama mimi nilikuwa mstari wa mbele kwenye lile suala la ubakaji aliofanyiwa yule binti wa Yombo nilipiga sana kelele yule askari Fatuma Kigonda aliyewatuma wale vijana akamatwe na achukuliwe hatua... kwa bahati mbaya mpaka leo hii yuko huru, ila naamini siku tukipata tena utawala imara kesi itasikilizwa upya na lazima atahukumiwa tu.

Sasa wajinga kama huyu fundi mchundo wala hata hawatetei haki za wanawake, hao wanawasaidia wanawake wa ovyo kuibomoa jamii kwa kumdidimiza mwanaume na kumuinua mwanamke kwa gharama za mwanaume, na hawafikirii kizazi chao cha kiume kitaishije huko mbeleni.

watu kama hao ndio wakuteka na kuwapoteza maana negative impacts waliyonayo ni kubwa sana kwenye jamii yetu.. nashangaa serikali ya ccm inaangaika na kuwateka akina Mdude na wakati watu wenye nadhara makubwa ambayo yatadumu kizazi na kizazi ndio hawa wanawaacha waacha tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah mzee hii ni zaidi ya K.O🤣🤣🤣. Unampasua za kichwa tu mfululizo.
 
Actually no sane man can have a problem with feminism as per what its original idea entails, equal rights, equal opportunies,equal participation in all socio-economic spheres, just like how you have elucidated....

Your comment reminds us about first wave feminism that gained tremendous support from almost everyone wished for better society.

What we denounce and discard here is third wave/modern feminism the toxic version of feminism doesn't advocate equal rights rather it compel society to give women preferential treaments,freedom of accountability for their mischievous manners and upgrading them at the cost of margnalizing them.

The third wave feminism campaigners do not merely fight patriarchy but they strive to replace patriarchy with gynocentrism something majority of you feminist supporters are not aware of, but very soon you will be.

Any society that reject equality can't move foward indeed, but any society that embrace modern feminism will leave a room that welcomes too many social crises that will eventually destabilize it.
Dah 🤣🤣🤣🤣🤣👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🤝🏿🤝🏿🤝🏿🤝🏿mzee unajua. Upo vema.
 
Back
Top Bottom