Ndio maana nasemaga nyie simp hamnaga akili wala maarifa yoyote, mnatafsiri histilahi nyingi kulingana na modern feminists walivyowaaminisha.
Nani amekwambia kuwa tradtional wafe ni lazima awe mama wa nyumbani? Haujui hata maana halisi ya traditional woman mpuuzi wewe, traditional woman ni mwanamke yeyote anayeamini katika traditional family values ambapo ndani yake ndio kuna vitu kama;
1).Familia inatengenezwa na mama na baba, ambapo baba ndio kiongozi mkuu wa familia na mama ni kiongozi msaidizi watoto.
2).Mtoto wa kike ni lazima awe chini ya wazazi mpaka pale atakapofikia hatua ya kuolewa na haruhusiwi kuondoka nyumbani eti aende akapange hata kama ameshaanza kujiingizia kipato chake mwenyewe.
3).Kila mtu anaheshimu na kuzifuata gender based roles, yaani baba anatimiza his masculine duties na mama anatimiza her feminine duties.
Na sio lazima uwe mama wa nyumbani eti ndio uhesabike kuwa wewe ni tradtional wive, wapo wanawake kibao tu wenye nyadhifa za juu duniani na wanaheshimika sana ila majumbani mwao ni traditional wives, mfano mzuri ni mnaijeria anaitwa Ngozi Okwor huyu amewahi katibu wa IMF ila kwa kinywa chake mwenyewe aliwahi kusema anaamini katika gender roles na pia ni mtu wa dini sana.
Hakuna kitu kama hicho huu nao ni ujinga mwingine ambao umelishwa na feminists, inakuwaje kiumbe ambacho kina risky maisha yake kuleta uhai wa mwanadamu na kukilea mpaka kufikia hatua ya utu uzima tuseme eti mchango wake hauna thamani? Na pia nikujuze tu kwa maelfu ya miaka wanawake wamekuwa wakihusika kwa kiasi kikubwa kwenye shughuli za kilimo wakati huo wanaume kazi yao kubwa ikiwa ni uwindaji na kulinda familia dhidi ya maadui. Sasa kivip utwambie eti tradtional woman amekuwa hauthaminiki kihistoria? Huu ni uongo na exaggeration ambazo mnazifanya nyie feminists hili kufanya kila kitu cha zamani hakifai hata kidogo.
Inatakiwa uelezee hapa kinaga ubaga alikuwa ananyang'anywa vipi na sio uelezee kwa juu juu tu kulingana na hisia zako za kifeminist eti mchango wake haukuwa na thamani uongo mtupu.
wewe jamaa bora ungeishia tu hapa ukaficha ujinga wako kuliko kuendelea kujianika na kuisha kudharauliwa tu na watu wenye akili timamu. Kiufupi wewe hujui hata tafsiri halisi ya traditional wife. Una mdefine traditional wife kulingana na narratives zenu za kipuuzi ambazo zinamdunisha mwanamke.
Kwanini unapendekeza binti yake awe hivyo? Halafu mbona nyie feminists msipokubaliana na version fulani ya mwanamke mnaanza kufanya projections za kipumbavu kuwa yule anayeipenda hiyo version binti yake awe hivyo?
Halafu kwani binti yake yeye hana uhuru wa kuchagua awe mwanamke wa aina gani pale atakapokuwa mtu mzima? Mbona una akili za kipuuzi hivyo wewe jamaa?
Ni hivi hakuna ubaya wowote kwa mwanamke yeyote akiamua kuwa traditional woman na ana stahili kuheshimiwa kwa uamuzi wake kama ambavyo hao feminists na nyie watetezi wao ambao wengi ni mashoga mnapenda kuheshimiwa kwa maamuzi yenu japo yamejaa ushetani.
Hii paragraph yako imejaa kejeli za kipumbavu sana, yaani umeandika kana kwamba hizo kazi sio za kufanywa na mtoto wa kike na hakizifanya ni kudunisha uanamke wake.
ila mwanaume akizifanya hizo kazi hauwezi ukaona tatizo lolote sio? Maana nyie modern feminists na simps huwa mnataka mwanaume afanye majukumu ya kike na pia vile vile aendelee kutimiza majukumu yake ya kiume kuwa ndio civilization hiyo? Wajinga sana nyie mnajifanya mnapigania haki za wanawake na wakati in real sense mnafight for gender roles reversal tena katika namna inayomnufaisha mwanamke pekee tu.
Kwanini unafanya presumptions za kipuuzi namna hii? Mbona huwa mnalazimisha mwanamke yeyote asipokubaliana na nyie aonekana ana akili za ovyo kulingana na imaginations zenu za kipumbavu?
Hapa unachojaribu kutwambia ni kwamba traditional woman ni mwanamke duni kwanzia kifikra ambaye hawezi kutimiza lolote la maana si ndio?
Ila angesema yeye ni modern wife ambaye haamini katika tradtional family values, wala hata usingemuuliza maswali ya kejeli hivi.
kwako wewe unaamini kuwa "modern wife" automatically ni mwanamke smart, na "traditional wife" ni mwanamke mjinga asiyeweza kuarchieve lolote sio?
wewe jamaa ni matako sana na huna akili hata kidogo nakwambia.
Hakuna cha curiosity wala nini hapa, wewe hiii comment yako umeiandika kwa kumdharau na kumkejeli sana
MamaZion kwa sababu tu yeye ni aina ya mwanamke ambaye nyie mafeminists hamumpendi, ni jambo ambalo liko wazi nyie simps na modern feminists mnawachukia sana tradtional women huwa mnasema eti traditional women wanawarudisha nyuma kwenye harakati zenu za kishetani.
Wanafiki wakubwa nyie mnajifanya mnapigania haki za wanawake eti wawe na uhuru wa kuchagua kuishi maisha wanayoyataka, halafu wakichagua kuwa traditional wives mnaanza kuwachukia na kuwadharau wapuuzi nyie.
Naamini kabisa huyu
MamaZion angesema yeye ni single mother wa watoto watato, kila mtoto ana baba yake na pia yeye ni hardcore feminist wewe ungempongeza na kumuona ni mwanamke shupavu na wala usingemzonga zonga na maswali yako ya kipuuzi yaliyojaa kejeli na dharau.
Nyie simps huwa nawachukia sana maana nyie ndio tatizo kubwa kuliko hata feminists wenyewe.