Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Feminism kirusi kipya katika jamii yetu

Hii thread isifungwe maana kuna haja ya kuelimishana kuhusu "feminism" na nafasi ya mwanamke katika jamii. Kwa muda mrefu mjadala umetawaliwa na misogynists na apologists wao. Wakiachiwa, sumu yao itaharibu jamii kuliko hata ya hao mnaowaita "feminists".

Amandla...
Hapana kwanini ifungwe wakati ni sehemu moja wapo ya watu kupata enlightenment?

Na unaitafsiri vipi misogyn ukihusishanisha na hii mada?

nyie mafeminists uchwara hasa wa kiume huwa mna akili za kipumbavuu sana, tena mimi naonaga nyie ndio watu hatari sana kwenye jamii yetu kuliko hata third wave feminists wenyewe, maana nyie ndio huwa mko mstari wa mbele kuendesha kampeni ya cancellation na censorship kwa wanaume pale mnapokutana na jambo msilokubaliano nalo kuhusiana na mambo ya kijinsia.

Katika wachangiaji wote hapa wakiwemo wanawake hakuna hata mmoja aliyesema hii thread ifutwe, ila wewe sasa dume zima na mboo yako isiyokuwa na madhara bila aibu kabisa unatamka eti hii thread ifutwe tena kwa sababu za kishenzi ambazo zinatokana ba hisia zako.

Eti misogynist mbona wewe unaonekana ni pure misandrist japo ni mwanaume? Halafu nikujuze wanaume wa aina yako yaani nyie simps huwa mnadharauliwa sana na wanawake mioyoni.

Ndio maana huwezi kukuta mwanamke hasa hao feminists wameolewa na simps, nyie simps huwa mnatumika tu kukamilisha ajenda zao kisha mnatupwa huko mpaka pale watakapowahitaji tena kama ambayo wanazitumia sanitary pads.

Wanaume wa dizaini yako ni cancer kwenye jamii yetu, maana nyie ndio mnapalilia mfumo jike mkiamini kwamb ndio civilization.
 
Unaona sasa, kumbe ndo akili yako imeshia hapo?
Jambazi na wauaji wanatoa uhai au kuharibu maisha ya wengine.

Wabakaji wa watoto au walawiti ni wanaingilia uhuru wa miili na hisia kwa wasio jiweza au wasio na nguvu ya utetezi juu yao.

Wezi wanachukua au kupora mali na vitu vya wengine pasipo ridhaa ya wahusika.

Mashoga wanatumia miili yao, hisia zao na kwa ridhaa yao wenyewe.

Umeona utofauti wake hapo? Hujambo lakini?
Labda useme haujui but Ushoga una madhara pia na nitakuwekea hapa.

1. Ushoga upo linked na magonjwa mwengi ya zinaa unayoyajua leo kama Herpes,HPV, AIDS, Monkey Pox, gonorrhea. Na ni matokeo ya kuingiliana kutoka njia ya haja kubwa na ndogo.

Kumbuka kuna wanaume anamuingilia kinyume na maumbile shoga kisha anarejea nyumbani au anakutana kimwili na mwanamke mwingine huku uume wake ukiwa contaminated na infections kutoka njia ya haja kubwa. Similarly mwanaume anaemuingilia mkewe kinyume na maumbile kisha akamrudia ukeni ana transfer infections tokea njia ya haja kubwa na kumuingizia kwenye uke na kutengeneza magonjwa ambayo hata hayakuwapo katika njia ya ukeni.

2. Ushoga ni ukomo wa uzazi. Mfano wewe una watoto wako 5 wa kiume na wote wakasema wanataka kuwa mashoga, it means uzao wako umekomea hapo. Imagine sasa huu ugonjwa wa akili usambae dunia nzima,ni impact gani itakuwapo kwenye population,hapo bado tuna feminism ambayo inawaambia watoto wakike wasizae hadi watizimize ndoto zao ambazo ndoto zenyewe hadi wanafika miaka 40+ bado hazijatimia.

So happ tunadeal na tatizo baya kuliko magonjwa na matatizo yanayouwa watu kwa kasi kama maralia,kipindupindu,ukimwi, ebola, vita,njaa, etc.

3. Ushoga ni dosari ya kisaikolojia inayochangiwa kiasi kikubwa na mfumo wa malezi ya hovyo yanayotokana mivurugano ya maisha ya kisasa. Kuupiga vita ushoga ni hatua moja kuelekea kutokomeza malezi ya hovyo yanayotuharibia ustawi wa jamii yetu na kushindwa kutengeneza vizazi bora vya kujenga uchumi na taifa imara.

4. Ushoga ni kirusi au tatizo linaloshambulia zaidi watoto wa kiume na kuwapa depression pamoja na maumivu makali sana ya kiakili siku za baadae. Fuatilia mashoga wengi maarufu,umri ukienda wanaokoka na kumrejea MUNGU, kama ilikuwa ni kitu sahihi kwanini hawakuendelea nacho hadi kifo na why huwa ushoga huwa unahusishwa sana na ukatili dhidi ya watoto kwamba hawa mashoga majority utasikia alifanyiwa aina fulani ya unyanyasaji akiwa mtoto mdogo. Hii ni mbaya sana kwenye jamii sababu tutapoteza viongozi wengi sana.

5. Watu wanaojihusisha na ushoga wanapossibility kubwa sana ya kunajisi au kuharibu watoto wadogo sababu hawana muingiliano wa kawaida katika jamii na jinsia ya kike. Futilia hizi kesi utakuta mara nyingi watoto wa kiume wameharibiwa na watu wanaojihusisha na mashoga kingono.

Sasa wewe nipe faida za ushoga japo hata tatu kwenye jamii.
 
Zemanda toka uachwe kisa huna pesa naona hauko sawa 😹😹😹
Hela ninayo,kuachwa mimi ngumu. Mwenyewe yupo, Ma X wananisalimia ,so ngumu sana kuachwa.
 
Katika mambo ambayo mwanaume hautakiwi kabisa kuruhusu yaingie ndani ya familia yako ni hii itikadi ya feminism, ni hatari sana kwa mustakabali wa familia.

Mtu kama Jadda unaona kabisa huyu ni zao la binti ambaye amekosa malezi ya baba au amelelewa na baba legelege.
Nilijua tu kabla ya kuingia katika sebule ya huu uzi,lazima kwanza umtumie Jadda kama kifutio cha miguu a.k.a doormat. 😂😂😂😂
 
Faminism kama feminism yenyewe haikuwa na lengo baya hata kidogo, hapa naongelea first wave feminism ile ambayo ililenga kumnyanyua mwanamke kiuchumi,kisiasa,kijamii na kielimu tu basi.

Na aina aina hiyo ya feminism ilipata nguvu sana kwa sababu kila mtu aliisapoti maana ilionekana inaleta matokeo chanya kwenye jamii, kwanza itaongeza nguvu kazi na kuchochea ukuaji wa maendeleo kwa haraka, pili kuwapunguzia wanaume mzigo wa kuendesha familia na pia vile vile italeta mapinduzi kwenye siasa.

Na hakika vugu vugu hilo lilileta mafanikio makubwa sana, ndio tukaona nchi nyingi za ulaya wanawake wakianza kupiga kura,kumiliki aridhi na kupata wataalamu wa kada mbali mbali na kila mtu alifurahi sana hapa tunaongelea habari za miaka 1920s mpaka 1970s hapo.

Mambo yalikuja kuvurugika miaka 1990s pale ambapo extremists walipoigeuza movement kuwa men-hating agenda ambapo walifanikiwa kumshawishi mwanamke aone mwanaume ndio kikwazo cha maendeleo yake na ndiye adui yake namba moja, na hivyo basi hili mwanamke asonge mbele ni lazima mwanaume ashuke chini.. hapa ndio ikazaliwa ile kitu inaitwa "third wave feminism" ambayo kimsingi ndio hii modern feminism ambayo ndio imevuruga jamii yetu mpaka leo kiasi cha kuotesha uadui wa kijinsia.

Na hii modern feminism hata huko ilipoanzia inapigwa vita sana sio tu na wanaume mpaka wanake wenyewe, maana mbali tu na kuleta chuki za kijinsia lakin pia inashusha kasi ya maendeleo ya kijamii.. kuna report ilitoka mwaka juzi nafikiri kwenye chuo cha MIT huko marekani inasema siku hizi ushirikiano wa scholars wa kike na wa kiume umepungua sana na moja ya sababu ni hofu iliyopo baina ya jinsia zote mbili.

Ni bahati mbaya sana watu ambao ni pioneers wa hii modern feminism ni damaged women yaani wanawake wasiokuwa waliochanganyikiwa na wana misandristic elements ndio wamekuwa wasemaji na hakuna cha maana wanachokifanya chenye kujenga zaidi ya kutaka kumdidimiza mwanaume na kumpendelea mwanamke kwenye kila jambo na zaidi ya hapo wametengeneza mazingira ya mwanamke kuutumia uhuru wake vibaya halafu athari zozote zitakazomkuta lawama ashushuwe mwanaume.

Kwa ufupi tu hawa modern feminists wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kupalilia uadui kati ya mwanamke na mwanaume na kuivuruga kabisa jamii kiujumla.

Wamewapa sumu wanawake hasa mabinti sasa hivi wamekuwa wabishi,wakorofi na kujiamini kupita kiasi na wabinafsi kiasi kwamba hata kwenye mahusiano ya kawaida tu kwa mwanaume mstaarabu ni ngumu kuishi nao.

Wamemwaminisha kwamba mwanamke asipokuwa na pesa zake mwenyewe basi ajiandae kunyanyaswa na wanaume hata kama hatoingia kwenye mahusiano na pia vile vile akiwa na pesa zake mwenyewe ni guarantee kwamba hatanyanyasika na hahitaji kuishi na mwanaume, yaan mbali na kumpa mtoto mwanaume hana umuhimu mwingine maishani mwake.

Sasa hivi karibu kila binti nnayekutana nae hata wala ambao hawajaenda shule wanakwambia wanapambana washike pesa zao wenyewe hili waishi maisha yao bila uwepo wa mwanaume.... of course mimi nawasapoti kwenye hili acha watafute hela kisha waishi wenyewe maana kwanza hawaoleki sababu ya mindset zao za ajabu ajabu.

Sasa ni mwanaume gani timamu anataka kuwa na mwanake aliyeaminishwa kuwa adui wake wa kwanza ni mwanaume na akishika pesa ndoa kwake ni option? Mwanamke ambaye ameaminishwa kwenye uhuru jinga kwamba ana uhuru wa kufanya chochote muda wowote mathalani tu hakimdhuru mtu haijalishi hata kama ameolewa?

Binafsi yangu hawa modern women baada ya kudanganywa na hizi modern feminism propaganda acha tu watafute hela kisha waishi wenyewe bila wanaume, wakihisi upweke wafuge mapaka ndio yawe kampani yao.

Kuhusu sisi wanaume tutawaoa wanawake gani? Tukikosa wanawake humu nchini basi tutafanya hata kuimport kutoka nchi jirani kama Malawi ambao bado hawajawa corrupted na huu upumbavu wa modern feminism.
Dah mzee. Umewanyoa bila kutia maji kichwani,maumivu yake wiki nzima.😂😂😂
 
Nakumbuka miaka fulani ya nyuma taifa la Turkey lilijitoa kwenye ile mikataba ya women rights inayosimamiwa na UN, kama kawaida mafeminists a.k.a feminazis kutoka nchi za magharibi walipiga kelele sana.
Mataifa ambayo yamekataa upuuzi wa feminism wanaume na wanawake zao wana experience maisha ya tofauti sana eneo la mahusiano. Kesi za ubakaji,tafrani za kifamilia na shida za kimalezi huwa zinakuwa chache sana.
Mwaka juzi kuna mnigeria mmoja anasoma china alikutana na binti wa kituruki wakaanzishq mahusiano, jamaa alivyoomba mzigo binti akamchomolea akamwambia kwamba siku wazazi wake wakijua amepoteza bikra yake akiwa masomoni na hajaolewa itamletea kesi kubwa sana, baada ya jamaa kupewa hilo jibu akasitisha na mahusiano hapo hapo kama unavyojua tena sisi ngozi nyeusi mahusiano yasiokuwa na sex hayana maana, binti naye akampotezea mshikaji.

So unaweza kuona jinsi gani jamii ambazo zimeukataa upuuzi wa feminism wanawake wao walivyokuwa morally upright.
Wanawake zetu atamkazia mwanaume mwenye dhamira nzuri ila atampa gemu muda huo huo mwanaume ambaye anataka kumchezea kwa offer na vitu vya mpito kama Iphone.
Same to ngazi ya familia, ukimaintain traditional values tegemea kuwa na familia bora yenye uadilifu wa hali ya juu, ila ukisharuhusu tu feminism basi tegemea binti yako kuanza kurudi saa nane usiku huku akijitetea ana exercise uhuru wake.
Kwa jamii yetu ya sasa majority ya wanawake especially hawa college and university graduates hakuna anaefahamu kuhusu traditional values na standards.
Watu kama huyo Jadda(kwanza nikionaga hii id navuta picha huyu atakuwa na spirits kama za jadda Pinket wa will smith) huwa ni hatari sana wakiwa kwenye nafasi za maamuzi, vuta picha aina ya mwanamke kama huyo ndio anakuwa kwenye nafasi ya Dorothy Gwajima wanaume na jamii kwa ujumla watakuwaje? Maana huyo anaonekana tu kwa comments zake humu ni pure misandrist.
Jadda ana mawenge tu ila deep down anataka sana kuwa bwana wa kumheshimisha. Shida amekulia sana maisha ya mtoto wa wazazi so hajajipa ufahamu kuwa kuishi na wanaume inataka a different form of discipline. But time will tell her everything .
 
Hapana kwanini ifungwe wakati ni sehemu moja wapo ya watu kupata enlightenment?

Na unaitafsiri vipi misogyn ukihusishanisha na hii mada?

nyie mafeminists uchwara hasa wa kiume huwa mna akili za kipumbavuu sana, tena mimi naonaga nyie ndio watu hatari sana kwenye jamii yetu kuliko hata third wave feminists wenyewe, maana nyie ndio huwa mko mstari wa mbele kuendesha kampeni ya cancellation na censorship kwa wanaume pale mnapokutana na jambo msilokubaliano nalo kuhusiana na mambo ya kijinsia.

Katika wachangiaji wote hapa wakiwemo wanawake hakuna hata mmoja aliyesema hii thread ifutwe, ila wewe sasa dume zima na mboo yako isiyokuwa na madhara bila aibu kabisa unatamka eti hii thread ifutwe tena kwa sababu za kishenzi ambazo zinatokana ba hisia zako.

Eti misogynist mbona wewe unaonekana ni pure misandrist japo ni mwanaume? Halafu nikujuze wanaume wa aina yako yaani nyie simps huwa mnadharauliwa sana na wanawake mioyoni.

Ndio maana huwezi kukuta mwanamke hasa hao feminists wameolewa na simps, nyie simps huwa mnatumika tu kukamilisha ajenda zao kisha mnatupwa huko mpaka pale watakapowahitaji tena kama ambayo wanazitumia sanitary pads.

Wanaume wa dizaini yako ni cancer kwenye jamii yetu, maana nyie ndio mnapalilia mfumo jike mkiamini kwamb ndio civilization.
Jamaa amelainishwa na kurogeka amekuwa na skeleton ya kike kabisa. Mimi nimeshindwa kumuelewa hata kidogo sijui anajiskiaje kutetea jambo ambalo hata kwake ni hatari.
 
Labda useme haujui but Ushoga una madhara pia na nitakuwekea hapa.

1. Ushoga upo linked na magonjwa mwengi ya zinaa unayoyajua leo kama Herpes,HPV, AIDS, Monkey Pox, gonorrhea. Na ni matokeo ya kuingiliana kutoka njia ya haja kubwa na ndogo.

Kumbuka kuna wanaume anamuingilia kinyume na maumbile shoga kisha anarejea nyumbani au anakutana kimwili na mwanamke mwingine huku uume wake ukiwa contaminated na infections kutoka njia ya haja kubwa. Similarly mwanaume anaemuingilia mkewe kinyume na maumbile kisha akamrudia ukeni ana transfer infections tokea njia ya haja kubwa na kumuingizia kwenye uke na kutengeneza magonjwa ambayo hata hayakuwapo katika njia ya ukeni.

2. Ushoga ni ukomo wa uzazi. Mfano wewe una watoto wako 5 wa kiume na wote wakasema wanataka kuwa mashoga, it means uzao wako umekomea hapo. Imagine sasa huu ugonjwa wa akili usambae dunia nzima,ni impact gani itakuwapo kwenye population,hapo bado tuna feminism ambayo inawaambia watoto wakike wasizae hadi watizimize ndoto zao ambazo ndoto zenyewe hadi wanafika miaka 40+ bado hazijatimia.

So happ tunadeal na tatizo baya kuliko magonjwa na matatizo yanayouwa watu kwa kasi kama maralia,kipindupindu,ukimwi, ebola, vita,njaa, etc.

3. Ushoga ni dosari ya kisaikolojia inayochangiwa kiasi kikubwa na mfumo wa malezi ya hovyo yanayotokana mivurugano ya maisha ya kisasa. Kuupiga vita ushoga ni hatua moja kuelekea kutokomeza malezi ya hovyo yanayotuharibia ustawi wa jamii yetu na kushindwa kutengeneza vizazi bora vya kujenga uchumi na taifa imara.

4. Ushoga ni kirusi au tatizo linaloshambulia zaidi watoto wa kiume na kuwapa depression pamoja na maumivu makali sana ya kiakili siku za baadae. Fuatilia mashoga wengi maarufu,umri ukienda wanaokoka na kumrejea MUNGU, kama ilikuwa ni kitu sahihi kwanini hawakuendelea nacho hadi kifo na why huwa ushoga huwa unahusishwa sana na ukatili dhidi ya watoto kwamba hawa mashoga majority utasikia alifanyiwa aina fulani ya unyanyasaji akiwa mtoto mdogo. Hii ni mbaya sana kwenye jamii sababu tutapoteza viongozi wengi sana.

5. Watu wanaojihusisha na ushoga wanapossibility kubwa sana ya kunajisi au kuharibu watoto wadogo sababu hawana muingiliano wa kawaida katika jamii na jinsia ya kike. Futilia hizi kesi utakuta mara nyingi watoto wa kiume wameharibiwa na watu wanaojihusisha na mashoga kingono.

Sasa wewe nipe faida za ushoga japo hata tatu kwenye jamii.
1 na 2 sizijibu, na siwezi poteza muda wangu.

3 had 5 nazijibu kwa kifupi tyuuh, hizi nadharia zinatokea kwa uchache au kiasi kdg sana kwa wahusika, it means sio wote wana kumbwa na hizo nadharia

Kuhusu Faida za ushoga, wanazijua wahusika na sio wee ikiwa sio, nweii wee ulisema niteteee na maovu mengine, nikakupa utofauti wake kati ya hayo mengine na huu ushoga, na nikakupa.

Em anzisha uzi unao husu ushoga, nikutiririkie vizuri.
 
Umeona sasa namna ukitumia hekima unauona ukweli kirahisi na ukweli unakuzidi nguvu na kutibu ukosefu wa elimu au ufahamu?

Sasa hapo hakuna swali umejibu zaidi ya kukwepa cha zaidi umeomba poh kiaina maana umeona wazi kuwa hiki kitu hakifai hata kidogo.

😂😂😂😂
 
Katika mambo ambayo mwanaume hautakiwi kabisa kuruhusu yaingie ndani ya familia yako ni hii itikadi ya feminism, ni hatari sana kwa mustakabali wa familia.

Mtu kama Jadda unaona kabisa huyu ni zao la binti ambaye amekosa malezi ya baba au amelelewa na baba legelege.
Oohh kwahiyo wewe ambaye uliishia kuishi kwa kutegemea kubet na kudanga mijimama ndio ulilelewa vizuri siyo, huyo baba yangu unayemuona ni legelege nashukuru ndiye huyo aliyepambana kuhakikisha wanaye hatukosi maisha mazuri kiasi cha kutufanya tudange eti sababu ya tamaa na umasikini, leo hii mimi nina ujasiri wa kusimama mahali popote na nikaongea chochote kuhusu wanaume sababu hakuna mwanaume yeyote wa kutoka na kusema amewahi kutembea na mimi hivyo ananijua vizuri.. yani mimi siku nikiamua kulala na mwanaume basi ni kwa mapenzi yangu tu na siyo sababu ya shida au chochote hivyo sitakuwa na maumivu wala majuto mahusiano yakiisha!!
Nilijua tu kabla ya kuingia katika sebule ya huu uzi,lazima kwanza umtumie Jadda kama kifutio cha miguu a.k.a doormat. 😂😂😂😂
Kwamba unahisi huyo akiongea kauli kama hizo ndio naumia yani kuna watu humu jf wakiongea ndio naweza nikawatilia maanani ila siyo ninyi, yani katika watu ninaoona mkiongea ni kama mnateseka tu basi ninyi wawili ndio mnaongoza siyo siri hadi nawasikitikia masikini, maana shida siyo kuongea shida ni nani anaongea na je anachokiongea ni ukweli au la nimegundua ninyi mnadhani mnayoyaongea kuhusu mimi yana ukweli ndio maana mnahisi naumia au mnatamani sana niumie ili mfarijike tu

Hebu waulizeni wanaonifahamu mimi toka 2019 najiunga jf mada zangu ni hizi hizi sijawahi acha kukosoa maovu ya wanaume na sitaacha tena siku hizi nimepunguza enzi hizo nilikuwa nabishana na wanaume saba peke yangu uzi mzima, hadi wote wanaishiwa hoja na kuamua kuniunga mkono na wengine wanabaki kunitukana na kukimbia mada sasa ninyi sijui mnahisi mtakuwa mna hoja gani za kunishitua maana mengi ni kama marudio tu tena bora hao wa kipindi hicho walau walikuwa na hoja nzito, siyo ninyi wa siku hizi na maneno yenu ya mipasho yani laiti kama hayo maneno yangekuwa yana ukweli basi ningekuwa nishaacha kitambo kuwakosoa kama ambavyo wanawake wengi wakisemwa tu kidogo na maneno yakawauma basi wanaacha

Lakini mimi mwaka wa sita huu bado nadunda tu nishaitwa majina mengi mabaya zaidi ya hayo nishatabiriwa mabaya mengi sana humu na by then nilikuwa binti mdogo tu wa chuo, ila hadi leo hakuna hata baya moja lililonipata ndio kwanza maisha yanazidi kuninyookea na wengi waliokuwa wananitabiria mabaya siku hizi hata siwaoni humu sijui wamebadili id au wameamua kuachana na jf, kwahiyo ninyi hizo kauli zenu wala hazina jipya kutokana na experience yangu ya kubishana na wanaume kwenye mada kama hizi humu jf nilishagundua hiyo huwa ni njia yenu ya kujifariji tu mkishaishiwa hoja ila laiti mngenijua uhalisia wangu nje ya jf mngeumbuka vibaya na ndio mngekosa kabisa cha kunisema
 
Ifikie pahala wanaume mkubali tu kwamba yote mnayoyapigania ni kwa maslahi yenu na si ya wanawake wala ya jamii acheni hizi propaganda zenu za mwaka 47 siku hizi wanawake wana akili, maana kila ukiuliza madhara ya feminism kwa wanawake wenyewe hakuna mwenye majibu yaliyonyooka utaletewa kiswahili kirefu halafu mwisho wa siku utagundua hayo madhara ni kwa wanaume, ila wanaume wanatumia self serving reverse psychology trick ili ionekane kama vile wanapigania maslahi ya wanawake na ya jamii kwa ujumla ili mradi tu wanawake wafanye yale wanaume wanayoyataka
Typical nonsense
 
Oohh kwahiyo wewe ambaye uliishia kuishi kwa kutegemea kubet na kudanga mijimama ndio ulilelewa vizuri siyo, huyo baba yangu unayemuona ni legelege nashukuru ndiye huyo aliyepambana kuhakikisha wanaye hatukosi maisha mazuri kiasi cha kutufanya tudange eti sababu ya tamaa na umasikini, leo hii mimi nina ujasiri wa kusimama mahali popote na nikaongea chochote kuhusu wanaume sababu hakuna mwanaume yeyote wa kutoka na kusema amewahi kutembea na mimi hivyo ananijua vizuri.. yani mimi siku nikiamua kulala na mwanaume basi ni kwa mapenzi yangu tu na siyo sababu ya shida au chochote hivyo sitakuwa na maumivu wala majuto mahusiano yakiisha!!

Kwamba unahisi huyo akiongea kauli kama hizo ndio naumia yani kuna watu humu jf wakiongea ndio naweza nikawatilia maanani ila siyo ninyi, yani katika watu ninaoona mkiongea ni kama mnateseka tu basi ninyi wawili ndio mnaongoza siyo siri hadi nawasikitikia masikini, maana shida siyo kuongea shida ni nani anaongea na je anachokiongea ni ukweli au la nimegundua ninyi mnadhani mnayoyaongea kuhusu mimi yana ukweli ndio maana mnahisi naumia au mnatamani sana niumie ili mfarijike tu

Hebu waulizeni wanaonifahamu mimi toka 2019 najiunga jf mada zangu ni hizi hizi sijawahi acha kukosoa maovu ya wanaume na sitaacha tena siku hizi nimepunguza enzi hizo nilikuwa nabishana na wanaume saba peke yangu uzi mzima, hadi wote wanaishiwa hoja na kuamua kuniunga mkono na wengine wanabaki kunitukana na kukimbia mada sasa ninyi sijui mnahisi mtakuwa mna hoja gani za kunishitua maana mengi ni kama marudio tu tena bora hao wa kipindi hicho walau walikuwa na hoja nzito, siyo ninyi wa siku hizi na maneno yenu ya mipasho yani laiti kama hayo maneno yangekuwa yana ukweli basi ningekuwa nishaacha kitambo kuwakosoa kama ambavyo wanawake wengi wakisemwa tu kidogo na maneno yakawauma basi wanaacha

Lakini mimi mwaka wa sita huu bado nadunda tu nishaitwa majina mengi mabaya zaidi ya hayo nishatabiriwa mabaya mengi sana humu na by then nilikuwa binti mdogo tu wa chuo, ila hadi leo hakuna hata baya moja lililonipata ndio kwanza maisha yanazidi kuninyookea na wengi waliokuwa wananitabiria mabaya siku hizi hata siwaoni humu sijui wamebadili id au wameamua kuachana na jf, kwahiyo ninyi hizo kauli zenu wala hazina jipya kutokana na experience yangu ya kubishana na wanaume kwenye mada kama hizi humu jf nilishagundua hiyo huwa ni njia yenu ya kujifariji tu mkishaishiwa hoja ila laiti mngenijua uhalisia wangu nje ya jf mngeumbuka vibaya na ndio mngekosa kabisa cha kunisema
Jadda kwenye moja na mbili. Mwenye feminism yake.
 
1 na 2 sizijibu, na siwezi poteza muda wangu.

3 had 5 nazijibu kwa kifupi tyuuh, hizi nadharia zinatokea kwa uchache au kiasi kdg sana kwa wahusika, it means sio wote wana kumbwa na hizo nadharia

Kuhusu Faida za ushoga, wanazijua wahusika na sio wee ikiwa sio, nweii wee ulisema niteteee na maovu mengine, nikakupa utofauti wake kati ya hayo mengine na huu ushoga, na nikakupa.

Em anzisha uzi unao husu ushoga, nikutiririkie vizuri.
Dada habari, kwema huko..?
Nakusalimu.
 
Oohh kwahiyo wewe ambaye uliishia kuishi kwa kutegemea kubet na kudanga mijimama ndio ulilelewa vizuri siyo, huyo baba yangu unayemuona ni legelege nashukuru ndiye huyo aliyepambana kuhakikisha wanaye hatukosi maisha mazuri kiasi cha kutufanya tudange eti sababu ya tamaa na umasikini, leo hii mimi nina ujasiri wa kusimama mahali popote na nikaongea chochote kuhusu wanaume sababu hakuna mwanaume yeyote wa kutoka na kusema amewahi kutembea na mimi hivyo ananijua vizuri.. yani mimi siku nikiamua kulala na mwanaume basi ni kwa mapenzi yangu tu na siyo sababu ya shida au chochote hivyo sitakuwa na maumivu wala majuto mahusiano yakiisha!!

Kwamba unahisi huyo akiongea kauli kama hizo ndio naumia yani kuna watu humu jf wakiongea ndio naweza nikawatilia maanani ila siyo ninyi, yani katika watu ninaoona mkiongea ni kama mnateseka tu basi ninyi wawili ndio mnaongoza siyo siri hadi nawasikitikia masikini, maana shida siyo kuongea shida ni nani anaongea na je anachokiongea ni ukweli au la nimegundua ninyi mnadhani mnayoyaongea kuhusu mimi yana ukweli ndio maana mnahisi naumia au mnatamani sana niumie ili mfarijike tu

Hebu waulizeni wanaonifahamu mimi toka 2019 najiunga jf mada zangu ni hizi hizi sijawahi acha kukosoa maovu ya wanaume na sitaacha tena siku hizi nimepunguza enzi hizo nilikuwa nabishana na wanaume saba peke yangu uzi mzima, hadi wote wanaishiwa hoja na kuamua kuniunga mkono na wengine wanabaki kunitukana na kukimbia mada sasa ninyi sijui mnahisi mtakuwa mna hoja gani za kunishitua maana mengi ni kama marudio tu tena bora hao wa kipindi hicho walau walikuwa na hoja nzito, siyo ninyi wa siku hizi na maneno yenu ya mipasho yani laiti kama hayo maneno yangekuwa yana ukweli basi ningekuwa nishaacha kitambo kuwakosoa kama ambavyo wanawake wengi wakisemwa tu kidogo na maneno yakawauma basi wanaacha

Lakini mimi mwaka wa sita huu bado nadunda tu nishaitwa majina mengi mabaya zaidi ya hayo nishatabiriwa mabaya mengi sana humu na by then nilikuwa binti mdogo tu wa chuo, ila hadi leo hakuna hata baya moja lililonipata ndio kwanza maisha yanazidi kuninyookea na wengi waliokuwa wananitabiria mabaya siku hizi hata siwaoni humu sijui wamebadili id au wameamua kuachana na jf, kwahiyo ninyi hizo kauli zenu wala hazina jipya kutokana na experience yangu ya kubishana na wanaume kwenye mada kama hizi humu jf nilishagundua hiyo huwa ni njia yenu ya kujifariji tu mkishaishiwa hoja ila laiti mngenijua uhalisia wangu nje ya jf mngeumbuka vibaya na ndio mngekosa kabisa cha kunisema
😂😂😂😂 umetishaa sanaa
 
Umeona sasa namna ukitumia hekima unauona ukweli kirahisi na ukweli unakuzidi nguvu na kutibu ukosefu wa elimu au ufahamu?

Sasa hapo hakuna swali umejibu zaidi ya kukwepa cha zaidi umeomba poh kiaina maana umeona wazi kuwa hiki kitu hakifai hata kidogo.

😂😂😂😂
Nimechekaa!! 😂😂😂😂😂
Wee hujanijua kumbe, kwenye mada ya ushoga, nilikua nabishana na watu zaidi ya 9 kwa mpigo na nawatoa knock out,

Hizi hoja ulizotoa wee, watu walikuja nazo na niliwajibu vyedii, walitumia hoja kwa kila mlengo, DINI, AFYA, UTAMADUNI, ASILI, SAYANSI.
na niliwafurusha, wapo walio kimbia ID zao kisa mie.
Mbona sahivi nimepoa?! Huna habari? Uliza uambiwe..

Nimekuambia anzisha mada ya ushoga, afu nitag ili ufurahi na nafsi yako.
😂😂😂😂😂😂
 
Nakumbuka, ulikuwa na moto sanaaa
 
Back
Top Bottom