cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Nimecheka had Co poa, ntakupatia usijar.Nataka aliyechachuka wapole siwapendi...na liwe linatukana kabisa akiwa anapelekewa moto
Nimecheka had Co poa, ntakupatia usijar.Nataka aliyechachuka wapole siwapendi...na liwe linatukana kabisa akiwa anapelekewa moto
Anafoka Hadi kwenye uandishi .. Sasa ni nyuma ya keyboard live itakuwaje.
Ila nyote mna hoja..
Minority VS majority...
Threat perceived are they real big au Ni just a small threat with no ripple effect in how our society is governed
Na swala la justice linaingilia kati ...
Duniani Kuna maswala Qua trillion to deal with...
Nafikiri Kinyagi ni kidogo ila through media Kinakuwa casted as if it a big enormous Kinyago...
Kuna lots of issues to Discuss and reach a solid and profound conclusion
What the problem is?Unaona sasa?😂😂😂😂
😂😂😂😂 atapata kadri ya hitaji lake.Mtafutie ameomba
Faminism kama feminism yenyewe haikuwa na lengo baya hata kidogo, hapa naongelea first wave feminism ile ambayo ililenga kumnyanyua mwanamke kiuchumi,kisiasa,kijamii na kielimu tu basi.Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours typically associated with women or girls”. Katika hizi maana mbili utaona kwamba neno feminine (adjective) ambalo linatokana na jina (noun) Female limelenga kumtambulisha mwanamke kwa sifa zake za kike kinyume na shughuli za mafeminists wengi wa hovyo kama Jadda et al ambao humtambulisha mwanamke kwa sifa za kiume.
Ukiingia mtandaoni ukatazama maana ya neno “feminist’ na “Feminism” utakutana na maneno kama haya: “a feminist is someone who supports equal rights for women” au “a feminist is a socio-political movement advocating for the equality of the sexes, believing modern societies are patriarchal and unjustly treat women.
Kwa mtu mwenye utimamu wa akili akitazama tu hizi maana yaani maana ya neno jina na neno kitendo haviendani hata kidogo. Yaani kwa asili neno female lina maana ya “wa kike” au “ya kike” lakini iweje tena movement yake yaani feminism iseme ni harakati za kumfanya mwanamke alingane na mwanaume na kuacha asili yake kudai haki za kiume, sawa na mwanaume bila kutumikia au kuwa na wajibu sawa na mwanaume? Make this make sense ndugu zanguni. Ni kichaa tu ambaye ataona hili jambo limekaa sawa sawa na hallina dosari yoyote ya kimantiki.
Hivi kama wanajamii tumeshawahi kujiuliza maswali magumu kama ni haki zipi ni za mwanamke? Au tuhoji hivi, mwanaume ana haki zipi za kimsingi na mwanamke ana haki zipi za kimsingi?
Je, kama mwanaume anapendelewa kihaki je, anapendelewa katika maudhui yapi ambayo mwanamke anaminywa?
Hivi tumeshawasikiliza kwa umakini wanawake wanacholalamika na matakwa yao (sio mahitaji) then kuwatazama wanachokifanya katika uhalisia wakishapewa fursa wanazotaka?
Mimi siungani na hii movement na nina ipinga kama movent haramu kwenye jamii na yeyote anayeisapoti pia anakuwa ni haramu katika hii jamii kushinda hata dawa za kulevya maana dawa za kulevya hazijaleta madhara mabaya kushinda feminism ndani ya muda mfupi.
Unawezaje kuwa na harakati batili inayojinasibu kuwa ipo kulenga kumtetea na kumkomboa mwanamke ila kiuhalisia ime target kushape akili za wanawake kuwa negative katika jamii yao na kuwageuza kuwa kansa ya kuiharibu jamii hiyo hiyo huku kikiacha u’hovyo wa kila aina.
Hebu mtu aniambie faida za feminism na matokeo yake tokea imekuwa introduced miaka ya 1990s?
Ni muda sasa kutambua feminism kama harakati haramu kwa jamii na tuanze kuikemea kwa nguvu zote.
Nimeona pale chou kikuu UDSM wame introduce masomo ya femism ili kuwajaza ujinga mabinti na vijana wetu ambao wanakwenda kupewa elimu ya kuikomboa jamii yao na sio kuigawa katika makundi ya jinsia.
Kama tutaendelea kukaa kimya then tutarajie maasi zaidi kama yanayotokea huko mataifa ya magharibi kama USA, CANADA na United Kingdom ambayo kwasasa yanapitia mvurugiko mkubwa sana wakijamii kwasababu ya uzembe wa kuendekeza ideology za kipumbavu kama feminism katika jamii zao na matokeo yake zimeparanganyua kabisa ustawi na jamii sasa haieleweki ina uelekeo upi.
Nakumbuka miaka fulani ya nyuma taifa la Turkey lilijitoa kwenye ile mikataba ya women rights inayosimamiwa na UN, kama kawaida mafeminists a.k.a feminazis kutoka nchi za magharibi walipiga kelele sana.Katika mambo ambayo mwanaume hautakiwi kabisa kuruhusu yaingie ndani ya familia yako ni hii itikadi ya feminism, ni hatari sana kwa mustakabali wa familia.
Watu kama huyo Jadda(kwanza nikionaga hii id navuta picha huyu atakuwa na spirits kama za jadda Pinket wa will smith) huwa ni hatari sana wakiwa kwenye nafasi za maamuzi, vuta picha aina ya mwanamke kama huyo ndio anakuwa kwenye nafasi ya Dorothy Gwajima wanaume na jamii kwa ujumla watakuwaje? Maana huyo anaonekana tu kwa comments zake humu ni pure misandrist.Mtu kama Jadda unaona kabisa huyu ni zao la binti ambaye amekosa malezi ya baba au amelelewa na baba legelege.
Bila shaka hata iyo user name yake ameitumia baada ya kuwa inspired na uyo Jadda Smith. Mwanamke mwenye maadili na anaijua nafasi yake kama mwanamke kwenye familia na jamii hawezi kutumia user name ya wakala wa shetaniWatu kama huyo Jadda(kwanza nikionaga hii id navuta picha huyu atakuwa na spirits kama za jadda Pinket wa will smith) huwa ni hatari sana wakiwa kwenye nafasi za maamuzi, vuta picha aina ya mwanamke kama huyo ndio anakuwa kwenye nafasi ya Dorothy Gwajima wanaume na jamii kwa ujumla watakuwaje? Maana huyo anaonekana tu kwa comments zake humu ni pure misandrist.
This is rarest thought i have ever seen in any intersexual dynamics related discussion, sahihi kabisa the whole issue of the so called women empowerment doesn't realistically intend to uplift women to catch up with men in all sphere of life, rather it is here to give women preferential treatments and freedom from accountability of all sorts of their typical shenanigans.Uzi best sana huu mkuu. Ukichunguza Kwa upana ideology nyingi za wanawake Huwa hazielemei kutafuta ukombozi Wala maendeleo yoyote ya kijamii Bali hutaka kuonekana wanaonewa, hii inawasaidia ku play victims Kwa lengo Moja maalum ambalo ni kuiharibu jamii without feeling guilty, kabla ya uharibifu wowote ambao mwanamke hupanga kufanya Kwa matakwa yake hutafuta kuti kavu la kujifichia aonekane hakuwa na options zaidi ya upuuzi atakaoufanya.
Such a golden piece of writtings, mkuu una fikiria sana kwa mapana natamani na hao watetezi wao wangekuwa hata na robo ya fikra ulizonazo.Pili, wanawake wa kisasa wanatafuta Kila agenda ili kuurasimisha umalaya na njia zote ili kuvuruga mwenendo wa jamii zetu, women don't seek for solutions they'll only find ways for destruction. Fuatilia wanawake wote wanaoshinikiza hizo sera Huwa hawaegemei upande wa kujenga, huwezi kuskia feminist akisema "Mume wangu anaugua ninapambana kulisha familia ili tubaki kuwa strong" never.
hahahaha... wao wanaamini kuwa mwanaume ndio adui namba moja wa mwanamke tangu dunia inaanzishwa, na ikitokea wewe ukawa unaishi vizuri na mke wako basi wanatafsiri kwamba mke wako lazima atakuwa oppressed bila ya yeye kujua kama anakandamizwa, hivyo basi watatafuta kadosari kokote kale kaliopo kwenye ndoa yenu na kukatumia kama breaking point hili kumfanya mke wako aone ndoa yenu ni gereza hivyo anapaswa atoke, mashetani sana hawa wamevunja ndoa za watu kibao zilizokuwa na afya.Hoja pendwa za feminist, ni namna Gani ya wanawake wataishi vizuri Kwa kushusha thamani za waumezao na kulea watoto bila wazazi🤣🤣
Huwa wanapongezana sana baada ya ndoa kuvunjika, huku wakitafuta justifications za kipuuzi sijui bora ndoa iliyovunjika kuliko ndoa mbovu.It kills my smile. Dear ladies hivi kuachika ni achievement!?
wow!! hii kitu nimewahi kuisema humu kuna nyuzi moja hivi, wanawake wa kisasa wanatamani kuwa wanaume wanaowachukia.Nowadays Feminist wanahisi kama mwanamke kuwa rude, arrogant, careless, lack of social responsibility and accountability will make them be seen as the strongest ladies 🤣🤣.
Wanawake wa kisasa ukitenda haki wanaone wamependelewa na ukiwapendelea wanaona ndio umetenda haki.It doesn't make any sense kuhisi ata wanaume tunapendelewa hapana, They are just creating the environment Kwa kuweka wanaume kwenye kizuizi Cha kifikra na hisia ili watumie nguvu zetu na jitihada kuyuvuruga wakati wao wanaendeleza dhambi zao zilizovikwa utukufu.
Kinachofanyika ni gender reversal kwenye maeneo ambayo yana manufaa kwao na sio kuleta usawa kama wanavyodai.Hivi ata hizo haki za binafamu or jinsia Huwa wanafanya women empowerment or gender substitute? What I know is, usawa ni kumpush aliye chini ku catch pace ya aliyejuu ili kuweka uwiano rafiki kutengeneza usawa. Lakini in reality haipo hivyo, what's Happening ni kumuangusha mtoto wa kiume na kumuinua mtoto wa kike Kwa lazima. Sasa hapa nani anapendelewa? Ni yule anayepambana kuweka utofauti au yule anayepewa viwango rahisi kuonekana analeta ushindani? Inasikitisha sana.
Huko magharibi huu upumbavu ulipoanzia wao wenyewe wameshalionja joto la jiwe kwa mfumo jike waliouanzisha, sasa hivi huko wanaume wamekuwa binadamu wa daraja la pili, na ndio maana hata MGTOW group zimeanzia huko.Huwa nakaa nawaza kuwa kama tu huko nchi za magharibi ambako ata literacy rate ni kubwa na tumeaminishwa wanaelimu na uelewa mpana haya mambo yanaeahukumu je vipi ikikaririwa na dada zetu wagumu wa kujifunza na kukwapua Kila hoja za mitandaoni? Wadogo zetu wakike, dada zetu, wake zetu je watasalimika na Hilo?.
Hawawezi kufanya hivi, wanajiona na wao wamekuwa wacanada kwamba mwanamke anatakiwa kutetewa kwa expense ya mwanaume mpaka dunia inafika mwisho.Wahusika wa haya mambo wakati mnagawa mataulo ka kike (which is a good thing) muunganishe na hizi elimu za kuwarudisha dada zetu na wadogo zetu kurudi katika tamaduni na uelewa wetu wa kiafrika Kwa kuzingatia Mila,desturi na maadili ya mwafrika.
Wow!! Ubarikiwe sana jamani mama Zion( japo hao zionists ndio wametufikisha hapa kwenye huu mvurugano) kwa mtazamo huu ulionao.Uzi ufungwe 👏👏👏 mimi ni mwanamke msomi, mpenda maendeleo ila naungana nawe kusema kuwa feminism ni mpango wa magharibi kudhoofisha jamii kutoka nchi zinazoendelea specifically za watu weusi. Hadi hapa nilipofikia, naelewa kuwa I have nothing to prove, I'd rather be a traditional wife. Sijaumbwa mimi kufanya kazi mpaka jasho la mwisho. Siwezi kubeba zege wala nini... Nitaendelea na kazi ila baba mjengo ataendelea kuwa breadwinner
Kama ni hivyo basi huyu dada atakuwa na matatizo makubwa sana ya kiroho, maana yule jadda pinkett anaonekana dhairi sio mwanamke wa kawaida ni wakala halisi wa shetani mpaka feminists wenyewe wanashangazwa na maisha yake ya kimahusiano, sasa kama yuko inspired na mwanamke wa dizaini hiyo basi ni wa kumuogopa huyu hasa mbele ya mabinti wadogo.Bila shaka hata iyo user name yake ameitumia baada ya kuwa inspired na uyo Jadda Smith. Mwanamke mwenye maadili na anaijua nafasi yake kama mwanamke kwenye familia na jamii hawezi kutumia user name ya wakala wa shetani
Asante nashukuru. Nimetoka mbali. Nimejifunza mengi katika maisha nikaja kugundua kuwa this is not how we're meant to live. Sijui hii imekaaje lakini siamini kama katika hali ya kawaida mwanamke anaweza ku thrive akiwa mbali na familia, watoto na jamii. Na hapa siongelei pesa tu but as a whole.Wow!! Ubarikiwe sana jamani mama Zion( japo hao zionists ndio wametufikisha hapa kwenye huu mvurugano) kwa mtazamo huu ulionao.
Binafsi huwa nafarijika sana nikikutana na mwanamke ambaye bado anathamini traditional values ambazo ndio msingi mkuu wa ndoa na familia imara.
Na siku zote katika dunia hii mwanamke ambaye anakubali kuishi kwenye nafasi yake kama mwanamke ndani ya ndoa ndio anayeishi kwa furaha sana, maana ni rahisi sana mtu kuishi kwa kufuata traditional roles maana zina eleweka tu tangu kuumbwa kwa hii dunia.
Tofauti kabisa na hawa modern wives ambao kwanza wengi wao wana double standards, kuna mahali wanaikubali 50/50 na kuna muda wanaiona haifai, kiufupi ni wanawake ambao wanaishi kwa kuchanganyikiwa sababu wameupokea mfumo sawa/jike bila kutambua kuna privilages za kike watazikosa, ila wao wanataka kubaki nazo, hapo ndio kuchanganyikiwa kunapokuja.
Na pia hata ukichunguza wanawake wanaoishi na uchungu sana moyoni na kuparuana na wanaume mara kwa mara ni wale wapenda haki sawa ambao minds zao ziko corrupted na feminism, na huwa wanachukia sana wakiona nyie traditional women mnaishi kwa furaha kwenye ndoa zenu.
Ubarikiwe sana kwakweli.