Sasa mimi ndio nimesema kwamba wanawake wanataka kujitawala wenyewe ila wewe unanilazimisha kwamba nimesema wanawake wanataka kuwatawala wanaume,
halafu unasema hayo ni maneno yangu na kwamba nayakana i wonder how comes you do not see the dumbfuckery in your writings mimi siku zote hoja yangu ni kwamba, kama wanaume wanataka kuwatawala wanawake basi waoe wanawake ambao watakuwa tayari kuwa wamama wa nyumbani wafanye majukumu ya nyumbani tu na hao wanaume wawe wanawahudumia kwa kila kitu
Wanawake kujitawala wenyewe = Wanawake kutawala wanaume. Mimi sijazaliwa jana. Na this is not a new trick kwenye mahusiano. Tulia utulizane. Ukitaka kutawala kamtawale baba yako na kaka zako na wajomba zako waliokufudisha kuwa mwanaume anatawalika, huku nje ni mwendo wa vipigo na makofi ukileta maviburi yako unaadabishwa kwa mkong'oto.
Kama wewe kutawaliwa ni lazima na hizi harakati zako uchwara wote utaishia kwa mwanaume na utakalishwa chini hapa unafanya mazoezi ya kuleta jeuri tu ila unajua hauwezi kutoboa hata iweje.
Yani mwanaume achukue full responsibility ya kuhudumia mke na watoto bila kuhitaji msaada siyo unakuja na mentality yako ya maisha ni kusaidiana, unataka mwanamke akusaidie majukumu yako ya kutafuta pesa na kulipa bili na kuhudumia familia ikiwemo kujihudumia yeye mwenyewe halafu unataka akutii kwa misingi ipi hasa au umemkuta mtoto wa watu na elimu yake na ndoto zake, unaanza kumlazimisha acompromise malengo yake ili afuate ya kwako na akutii wewe ili tu wewe ujisikie fahari huku yeye akisacrifice furaha yake and what she gets from you in return ni kushare muda na pesa za mumewe na michepuko ambayo haina mchango wowote zaidi ya k kwa visingizio vya kipumbavu vya huyo so called mume
Shida yako ni kuchanganya habari au scenario 100 kwenye sentence moja, kwenye hili ndipo reply zako nyingi zinaanza kuwa na uvundo wa ufeminist. Kuna mwanaume alishawahi kukwambia wewe kuwa anashida ya kusaidiwa na mwanamke kifedha kutunza familia?
Vitoto vya 2000 mnashida sana tokea mzaliwe na kuona wazazi wenu wanatoka wote asubuhi kwenda mihangaikoni. Sasa hapo umeklemisha na komwe lako kuwa ni aidha mwanaume atoke na mwanamke awe mvivu asijikune hata kama pesa anayo ndani. Huku ni kukosa akili ya maisha na wewe unadhani maisha ni kushindana na kutafutana ubaya au kugawana fito na mtu ambaye unatakiwa kujenga nae nyumba moja.
Miaka ya kuzanzia 1990 kurudi nyuma,ilikuwa ni jambo la ajabu sana kuona mama anatoka asubuhi labda awe mjane. Maisha yamebadilika kwa sasa tu ila hali haikuwa hivi.
Mwanamke anatoka kutafuta kazi pale tu inapobidi ila sio lazima. Sasa wewe na ubishi wako unafosi kuwa mwanamke kutoka ni lazima hata kama hakuna ulazima kwasababu kasoma.
Mimi nitakuruhusu utoke ila jua nitakuchukulia kama mwanaume yaani kwanza nataka nione bank statement nijue unapokea kiasi gani, pili nataka ujue hiyo pesa sio yako ni yetu sito entertain matumizi ya kipuuzi kama kwenye kupaka kucha rangi za 100,000/= au kuendea saloon kuset nywele za laki,au nisikie umeenda kusaidia ujenzi kwenu bila ridhaa. Aiseee ntakukung'uta kipigo ambacho haujawahi pewa na wazazi wako na kazi utaacha pumbavu zako.
Na ujinga mwingine mlionao ni huu wa kufikiri kwamba ukiwa mwanaume tu basi automatically uko sahihi kwa kila kitu na ukiwa mwanamke basi automatically hauko sahihi kwa chochote, yani hizo social constructs mnazoita ni nature zimewaingiza chaka kudhani kwamba men are always righteous na kwamba ndio wenye uwezo wa kuwaongoza wanawake katika njia sahihi siku zote za maisha yao kitu ambacho wanawake wenye akili wanakikataa, maana wanaona wanaume nao wana maovu yao na wamewalure wanawake kwenye maovu pia na ndio maana wanawake wanapigania kuwa na uhuru wa kiuchumi na kujitawala wenyewe sababu the only barrier between women and their freedom ni uchumi tu na si utashi cause other things being constant kuna wanawake wengi tu wana akili na uwezo kuliko wanaume wengi tu
Kuna ubaya nikiwa sahihi muda wote,wewe shida yako ipo wapi mimi kama mumeo nikiwa sahihi masaa yote? Umeshawahi kusikia wapi kiongozi anakosea? Wewe kama una ushauri ninong'oneze nione hoja yako nitaweza kuiingiza kwenye mipango yangu. Wewe unalipiwa kila kitu unapata wapi jeuri ya kunipangia utaratibu,nikipata hasara si utasema "lakini wewe ni baba ndie ulitakiwa ukubali ushauri wangu au la". Tena koma
Jadda
Hakuna social construct hapa hiyo ni asili. Kama ni social construct mbona wewe kutwa kucha unahangaika kufanana na wanaume kimamlaka kwann usitumie uanamke wako kufanya maamuzi ya msingi.
Wanawake wangapi wana pesa ila maamuzi ni hovyo. Wewe wa wapi wewe?
Wewe acha kujifanya unajua sana saikolojia za watu mimi nimeshajadiliana na watu wana hoja za maana zaidi yako na bado wakaniunga mkono na wengine tukakubaliana kutokubaliana, na wote hao hakuna ambaye nimewahi kumjibu hovyo halafu wewe ndio uje useme mimi nawahi kupanic kwanza so far sijaona mtu ambaye anawahi kupanic kama wewe, mimi nimekuchana ukweli tu kwamba acha utoto wa kuwalisha au kuwawekea watu maneno ambayo hawajayasema ilimradi tu upate cha kujibu uonekane una hoja
Jf nzima hapa wewe ndio icon ya ubishi kwa kila ambaye unajibizana nae. Shida sio kwamba watu hawataki kujenga mazungumzo na wewe shida ni namna hoja zako zipo biased. Yaani unaweza tetea jambo kwa akili ya upotofu ila ukasimamia upo sahihi. Hiyo sio sawa.
Yani wewe mbinu zako za kudumu kwenye majadiliano ni kumshambulia mtoa hoja badala ya kujadili hoja na kumlisha mtu maneno ambayo hajayasema kwa kisingizio kwamba ndicho alichomaanisha, sasa hayo unaweza ukafanya kwa watu wasiojiamini na hoja zao ila kwa sisi wengine ambao tunajiamini na hoja zetu na hatupindishi maneno huwa haturudi nyuma, tukisema tumesema and we are only responsible for what we say what you perceive is not our problem wewe kama una upeo mdogo wa kushindwa kuelewa hoja zangu na kunijibu kulingana na nilichosema basi hayo ni matatizo yako ila acha huu ujanja
Wanasema usipokuwa muelewa kila anayekuchallenge utamuona ana kushambulia personally. Shida hapa kwako ni kuwa less considerately. Unaweza kuta mada ni kuhusu kukemea wanawake wanaozaa hovyo kuwaachia watoto mikononi mwa mahousegirl. Na mleta mada akasema kabisa na sababu kwann baba za hawa watoto wameshindwa kuwa na mama za hawa watoto kuwajibika kimalezi mfano,jeuri za hawa wanawake, viburi na kutumia nguvu nyingi kumuweka baba na mtoto mbali. Wewe utakuja katika hii topic na utairukia na hoja za lawama tena kwa wanaume na kujifanya haujui maovu ya wanawake wenzako then ukipata backlash unaona kama unafanyiwa personal attack au unadharauliwa. Wewe huwa unatazama hoja zako kwanza zinalenga nini kwa mujibu wa topic husika?
Kuhusu kujadil kwenye platform tofauti na hii sidhani kama hiyo hoja yako inamake sense naona kama umepuyanga kwa sababu hata huku kwenye maisha halisi katika story za hapa na pale, huwa najadiliana sana na watu mbalimbali kuhusu hizi mada na ujengaji wangu wa hoja ni ule ule wala sibadiliki yani kwa kifupi ninayoyaandika humu ndio hayo hayo naweza kuyaongea hata mbele za watu, kwahiyo acha visingizio vya kitoto wewe kama unajiamini na hoja zako wasilisha tu wala usisingizie platform mimi mbona sijawahi kuleta kisingizio chochote hebu usitafute sababu hapa
Tayari unakiri kwamba haupo tayari. Ungekuwa kweli mjenga hoja unayejiamini tungekutana katika platforms za sauti kama Twitter space halafu wadau wakatusikilize. Nakwambia utajua namna ulivyomtupu.
Sasa kama wanaume mnaona hayo yawanakera si ndio muache kutembea na hao wanawake na muache kuwahonga unajua mimi nashindwa kuwaelewa ninyi mnasema wanawake ndio wenye maamuzi ya mwisho juu ya miili yao hivyo wanapotumiwa na wanaume wasiwalaumu wanaume, ila hapo hapo mkiambiwa wanaume muache kuwatongoza hao wanawake bila kuwa na malengo nao mnasema kuna wanawake hata wasipotongozwa wanajitongozesha wenyewe sasa kwani na ninyi wanaume mnashindwa nini kukataa kama ambavyo mnataka wanawake wanapotongozwa wakatae, kama na ninyi mnaanguka kwenye mitego ya hao wanawake kwanini mnawalaumu wanawake kwa kuanguka kwenye mitego ya wanaume sasa ninyi mnatofauti gani na hao wanawake kwani ninyi ndio mna akili za kushikiwa kusema kwamba hamjui mnayoyafanya na repercussions zake
Kwa sisi wanaume kutomba ni muhimu kuliko kula na hata kunywa dawa. Mimi naweza kuwa na drip ya maralia nipo hoi lakini wewe
Jadda ukija kunitembelea pamoja na kwamba huwa tunakinzana huku JF nita dinda na nitakutomba hata viwili nijiskie vizuri. Na haimaanishi tutaacha kurumbana huku JF.
So usichanganye mwanaume kutomba wanawake na mambo mengine kama kutaka waishi vipi kimaadili. Tatizo ninyi wanawake kama wewe
Jadda huwa mnadhani wanaume wanaoishi vizuri na wake zao hawatombi nje. Kutomba kwa mwanaume ni muhimu kuliko jambo lolote. Hata yule mwanaume anayekupenda na yupo tayari kufa kwaajiri yako kuna muda lazima atombe mwanamke mwingine ili wewe upumzike,wewe unaweza tombana wiki nzima bila kupumzika. Kila siku mna session 4 hadi 6 za kutombana,utaweza wewe? Sasa kwann usikubali ukweli kuwa mwanamke m'moja hatoshei kwa mwanaume?
Ofcourse athari zake ndio hizi tunazoziona za wanaume kulalamika kuwa wanakosa wanawake wa kuoa wenye sifa za kuwa wake matokeo yake wanaoa hao hao wanawake so called waliotumika na wengine wanaishia kujiita kataa ndoa japo tunajua hiyo ni "sizitaki mbichi hizi tu", hayo mambo ya kusema eti mwanaume hata akiwa mzee ana uwezo wa kuoa binti mbichi kwa wanaume wengi ni fantasies tu maana ni wanaume wachache ndio hupata bahati hiyo tena wengi ni wenye pesa na hizo ni exceptions chache kati ya wanaume wengi ambao wanateseka kupata wanawake bora wa kuoa, sababu ni mabinti wachache wako tayari kuolewa katika huo umri mnaoutaka wengi wao ndio hao hao wanaotaka kula kwanza ujana hadi wakifikia kwenye umri ambao ninyi mnaita ndio uzee kwao basi nao ndio wanakuwa tayari kuolewa napo ni kwa sababu ya economic security na peer pressure na si kwa mapenzi ya dhati, sasa ninaposhindwa kuwaelewa ni pale ambapo mnaambiwa kama mnataka mje mpate wake bora wa kuoa acheni kuchezea wanawake wakiwa mabinti mnadai eti kuchezewa ni maamuzi yao hivyo hawana wa kumlaumu, yani mnageuza kibao kana kwamba wanawake ndio wanaowalaumu wanaume kuhusu masuala ya kujitunza kumbe kiuhalisia wanaume ndio wanaowalaumu wanawake kwa kushindwa kujitunza sasa hapo mwenye shida na hivyo vigezo vya kujitunza ni nani
Wanaume ukikuta hajaoa binti mdogo ni kwasababu anaona uvivu kukaa na binti mdogo na kumtrain. Ila nje ya hapo si ngumu kwa mwanaume kupata binti wa kuoa KAMA AKITAKA. Mimi hapa nipo na mahusiano yangu ila naona na kukutana na mabinti wengi wa miaka kati ya 24 hadi 15 ambao wanaonyesha kuvutiwa na mimi kimahusiano. Ningekuwa mzee wa kubatua ningebatua wengi sana ila huwa natazama hesabu zangu zaidi.
Wewe mwenyewe tukikutana hautatoboa na utaufyata na ntakutomba vizuri tu. Ila ni vile nataka tuendelee kuwa professionals 😂 ukinimwagia uno ntakuwa nashindwa kugombana na wewe huku JF na nakuhitaji sana Hasimu wangu kipenzi @Jadda😂.
Mnadai kwamba ninyi ni viongozi na mnataka kuwatawala wanawake halafu mnashindwa kuwaongoza kwenye masuala mepesi tu kama haya ya kutunza miili yao yani ninyi wenyewe tu mnashindwa kutawala tamaa zenu za ngono mnaleta visingizio vya kipumbavu halafu ndio mnataka muwatawale wanawake ambao angalau wao hisia zao za ngono hazijawashinda, yani kwanza kitendo tu cha kusema kwamba wanawake ndio wana maamuzi ya mwisho juu ya miili yao tayari mmeshawapa mamlaka ya kujitawala wenyewe hivyo msitegemee kuwatawala na kwenye mambo mengine, mngekuwa mko serious kwenye huko kutawala kwenu basi mngeanza kuonesha mfano kwa kuambiana ninyi wenyewe wanaume kwamba muache kuchezea wanawake hata wanawake wajilengeshe vipi ninyi wakataeni ili watunze miili yao wasitumike hadi ndoa after all ninyi si ndio viongozi bana, sasa viongozi gani ikija kwenye suala la ngono mnajitoa na kusema wanawake ndio wana maamuzi ya mwisho ila kwenye mambo mengine hata yale yanayowahusu wao ndio mnajifanya mko mstari wa mbele kutaka kuwatawala na kusema hawana maamuzi ya mwisho, yani mnafanya nao starehe kwa raha zenu huko halafu mambo yakiharibika mnataka kuwatupia lawama peke yao huku ninyi mkijitoa na kujifanya mko innocent halafu mnakuja tena kuhitaji bikira zao na kuwatukana humu wale ambao hawajajitunza what kind of cockamamie logic is that
Kuwala wanawake haina uhusiano na kutunza miili yao kwasababu lazima waliwe. So wanaume kutowala wanawake hainaanishi ndio wanawaongoza sahihi, kuwala ni sehemu ya kuwaongoza.
Ndio wanawake wanayosauti ya mwisho. Mfano yupo period utafanya nae sasa na mwili wake haupo tayari,au unataka abebe ujauzito ila bado hajawa comfortable na mahusiano utamlazimisha?