FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kwa mwendo huu wa real madrid kama mdudu jongoo ningependa kumuona gwiji wa mpira lionel messi akichukua likizo ya muda mrefu kwenye laliga mpaka pale cristiano ronaldo atakapofikisha angalau magoli 10 na nafasi yake ya kucheza apewe coutinho.
Kwa hesabu zangu za vijiti kama mtoto wa darasa la tatu cristiano ronaldo atalazimika kupiga mashuti 300 ndipo afikishe idadi ya magoli aliyofunga messi kabla ya mechi ya leo.
Mashuti 100 kwa magoli 4
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…