FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

5973488e3b375f453c413610a1a01eba.jpg


Tayari, presentation ndo kesho barca ni
 
Huyu pique n bek mbovu sana...tunaposhambuliwa ndo unaweza elewa udhaifu wake...n mbovu sana kwenye marking but n bora sana kwenye kuanzisha mashambuliz I mean kupga pass..mech iliyopta dhid ya Madrid aliotuokoa alikua n vermalain...tackling zote zilikua na hakr...
Pique ni back anayejua kuji position-aangaiki sana he can read an opponent movement well before-only umtiti comes close to this foresight-hawa ma back wengine ni too much huff and puff,wanatumia energy nyingi sana then neccesary
 
Playing the Barcelona way ni trademark ya miaka,its not a matter of winning,its how you win the game-hii principle of late imeweka kando cause last year we won less.Barcelona die hards wanamlaumu Velverde kwa kwenda kinyume but hana jinsi cause inabidi airudishe Barca to winning ways-hivyo kuna wachezaji wako Barca lakini in reality hawachezi ki barca mfano ni Paulino yupo cause ana uwezo in a split second kutokea ndani ya box-but when it comes to holding the ball,au ku spray passes he is found out.On playing the Barca way hapo sasa ndio unaona mtu kama Pique stand out
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom