Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,938
Asante kwa kunitoa tongotongoYah, ni sheria ya UEFA, kama mchezaji katoka club inayoshiriki UCL na akahamia club nyingine ambayo nayo inashiriki UCL hatoruhusiwa kucheza
... Nilishangaa debate ya kuamua tumchukue sasaivi au tungojee tu hadi msim ukiisha sikuelewa