mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Barcelona players wengi wanakuja kwa ajili ya loyalty thanks kwa Coutinho amelipa kiasi cha fedha za uhamisho this is extraordinary passion kwa Barcelona
Benfiddo....
You are welcome home
Since ulichezea espanyol jiji la barcelona hautakua mgeni kazi inaanza mara moja
Happy happy
Benfiddo....
You are welcome home
Since ulichezea espanyol jiji la barcelona hautakua mgeni kazi inaanza mara moja
Happy happy