FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

4437adf45fe1677604d8b7b6892ee4c5.jpg
 


Siku sio nyingi utarudi kule ulikojificha hizi wiki mbili.

No hard feelings though!


Mi nipo JF kila siku, nimesema sikujificha kipindi Real Madrid ilitoka Trophyless, ntajificha leo wakati wamebeba silverware 5 ndani ya mwaka mmoja? May be you don't know what you're talking about.
 
Kwenye "Barcelona Live App" pia nimeona. Kuna Gazeti moja LA Spain ndiyo limevujisha taarifa hiyo. Club ya Barcelona imegoma kutoa ufafanuzi wowote juu ya taarifa hiyo sababu mkataba ni siri. Inasemekana ni moja ya kipengere kilichopo ktk mkataba huo
Ikitokea hata kwa quality ya Barcelona itacheza league kubwa like EPL au France worry about that
What i know msione serikali ya Spain ipo kimya ila politically wana influence kubwa sema catalonia nahisi wanataka recognition tu kama federation kwenye serikali kuu ya Spain(kama ilivyo Zanzibar hapa kwetu)
 
Coutinho asipotua Barcelona najinyonga

This time sio kama kipindi kile cha summer sergio 5 aliniambia nijiudhuru nfasi zote za ukada kwa sababu Coti hakufika Summer
Literally contract imefungwa game na levante kesho anaweza akawa jukwaa anaangalia
Source :my spies in catalonia
Daah Mkuu Umefika mbali sana. But Coutihno muda wowote tutasikia "official news" ya kutua kwake....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom