FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tetesi
BARCA & LIVERPOOL ZAAFIKIANA KWA COUTINHO

Philippe Coutinho anaelekea kuwa mchezaji ghali zaidi kuuzwa Ligi Kuu Uingereza katika historia akitarajiwa kutua Barcelona kwa kitita cha £125 milioni, kwa mujibu wa Express .
Mbrazili huyo alikuwa shabaha ya Barca miezi mingi, lakini Blaugrana walishindwa kufikia makubaliano na Liverpool majira ya joto.
 
Tetesi
PALMEIRAS WAPANDISHA DAU KWA SHABAHA YA BARCA MINA

Yerry Mina ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitazamia kupata uhamisho kutoka Palmeiras kwenda Barcelona amepata hasira tena baada ya klabu hiyo ya Brazili kuipandishia dau Barca, kwa mujibu wa Sport .
Beki huyo wa Colombia alikuwa mada ya mazungumzo baina ya klabu hizo mbili na alitarajiwa kuhamia Camp Nou miezi mingi iliyopita.
 
Naona saga Coutinho limeanza tena.
eb2b31b3c4a8f274267e286245a4f33a.jpg

e708c7c9ab53e72abca3d4cd23e54b5e.jpg

efc79fe0a417c657bb00dc5eb4c17050.jpg
 
Tetesi
BARCA & LIVERPOOL ZAAFIKIANA KWA COUTINHO

Philippe Coutinho anaelekea kuwa mchezaji ghali zaidi kuuzwa Ligi Kuu Uingereza katika historia akitarajiwa kutua Barcelona kwa kitita cha £125 milioni, kwa mujibu wa Express .
Mbrazili huyo alikuwa shabaha ya Barca miezi mingi, lakini Blaugrana walishindwa kufikia makubaliano na Liverpool majira ya joto.
Siku hiyo ntaruka ruka...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom