FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

IMG_6864.JPG

King Leo
 
Mkuu kocha kipindi cha kwanza alizingua sana, Barcelona hatuwezi kucheza defensive game
Kocha anazingua Madrid ni team yakupigwa goli 5 kabisa sio ya kuiogopa hata kidogo
Playing defensive game in Barcelona is unnatural offence
Haikubaliki kabisa Velverde umetupunguzia magoli yetu first half we were not supposed to play that approach
 
Aachane kabisa na utaratibu huu, kocha bado anaogopa game kubwa. Si mnakumbuka hata tulivyo enda Juve tulicheza kwa defense sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom