FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

We are so relaxed we have to win tha game katikati tena kuna space nyingi sana hawa Madrididiots wanaziacha they are too weak and we have proved that tuna defence nzuri sana
 
Naipenda sana Barca, bora afungwe na timu yeyote ila lkn sio Madrid. Tatizo huyu kocha anaogopa game kubwa kama hizi, akiingia tu anaaza kuzuia badala ya kushambulia.
Ukishambulia unamchangnya mpizani wako na unamsababishia kufanya makosa.
Siko happy na huyu kocha
 
Yaan akishindwa kumfunga Madridogs ntakosa imani na kocha asee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom