Umeniamini?sisi hua tunashinda humuNa kweli ndio hilo hapo. Kwisha habari yao.
Hatari sanaFc Barcelona, Daaadeek!!!!
Na walivyokuwa wamepanik hadi huruma. Viva Barca.Umeniamini?sisi hua tunashinda humu
We trust on our Team ,Madrid sio team ya kuifunga Barca
Mkuu kocha kipindi cha kwanza alizingua sana, Barcelona hatuwezi kucheza defensive gameUmeniamini?sisi hua tunashinda humu
We trust on our Team ,Madrid sio team ya kuifunga Barca
Kuna Messi10 mmoja tu Duniani. Kama Aliweza kuwafyatua bao huku akiwa na pamba mdomoni, je Leo angeshindwaje kuwa nanilii kwa mfano.....Messi apata mshtuko wa nyonga akishuka kwenye basi, ataanzia benchi.
FoxySports.
,
,
$####!!!!!hahahahahahahahahahahahaahahahahahahahaNa walivyokuwa wamepanik hadi huruma. Viva Barca.
Aisee wewe ni prophet mzuri kama cyo forecasting men.Ni kweli game ni ngumu ila kwa uchezaji huu wa majirani zangu mpaka sasa naona watakula nyekundu japo wanaweza wakatufunga.
Mpwa Koko.....kafie mbali dadadeeeekNyie Mbwa mkishinda nampiga muhindi 1.2 Millioni TZS
Madrid akishinda napiga 170k TZS.
Hakuna nachopoteza.