FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FACT: Messi jana amepiga posts mara 3,ni mara ya kwanza katika career yake oooh so unlucky
 
Screenshot_2017-08-21-08-16-58-1.png

Huyu jamaa anazidi ku confirm jinsi gani hana discpline
Ni mara ya 18 Laliga na mara ya 23 Red card katika career yake
 
Screenshot_2017-08-21-06-57-33-1.png

Hadi Modric alishangaa kwanini anapewa yellow peke yake ,referee akampiga na red (ni straight red card in short)
 
We demu wako yule uliemzalisha ukamtelekeza anakurafuta

Mna wish sana kuiona the end ya Barca lakini wapi ....when you going high we rise
Mi sijamzalisha yule, alinisingizia. Kala hela yangu sana. Barca mshaishiwa, zitto akipewa uwaziri rudi jukwaa LA siasa uanze kumsifia. Huku thread hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom