FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yeah ila left and right flank zijapendezwa nazo
Hivi kwanini huyu Alcacer asingeingizwa Dennis Suarez?
Nafikiri Right flank tuko vizuri. Na mimi nimewaza. Deniis ataupiga kuliko Paco. Timy yetu bado kali, na si kwamba betis ni wabovu. Hapana. Sisi wakali.
 
Hii midfield ya roberto nzuri sana. Inabidi roberto awe mbadala wa iniesta. Raki wawe wanapokezana na Paulinho.
 
Unachotakiwa kujua ni kwamba Ronaldo hakuondoka kihuni kama alivyofanya Neymar. Neymar left through a back door, wakati Ronaldo alikutanisha viongozi wa Madrid na Man u

Hata hivyo hakuna anayemchukia Neymar, ni maisha aliyochagua.......... Messi anagomba mwamba pale, almanusura apate goal
Ha ha ha umemsimulia vizuri sana in real time Messi kagonga mwamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom