FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mimi kwa current form yetu ukiachilia mechi na PSG naona tuko vizuri kuliko Madrid.

Madrid hawako vizuri kivile ila tusiwachukulie poa sababu mechi ni El clasico tukikaa vibaya watatufunga.

Ngoja tuone game itakwendaje.

Aleyn
 
Sio mbaya sana Mkuu Game ya PSG alishikwa sana Olmo. Leo kazi tunayo pale kati.
Kwenye kutawala dimba sina shida sana.

Ndipo strength ya Barcelona ilipo.

Dimba naamini tutalitawala vizuri.

Madrid wazuri sana kwenye wings zao wakiwatumia Mbappe na Diomande.

Acha tusubiri hiyo usiku tuone.
 
Hatimaye siku imefika.

Ni El clasico leo.

Mnaionaje mechi yetu leo?

Aleyn

Da vincci

Angel Nylon
Leo tunarudi kwenye zilezile goals zetu kuanzia 5 kwenda juu
0fee3c2363474759bd12844469d2dc86.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom