FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Alvarez anashindwaje kwenye nafasi kama ile?

Mapema yake mwa Barca anataka kuigharimu timu huyu dogo
 
Lets gooo ATM
 
Atletico wakiendelea kucheza hivi hivi sioni namna ya Barva kuweza kupindua matokeo.

Atletico wamekuwa clinical karibia maeneo mengi. Kwanza wakipoteza mpira wanakaba kwa idadi kubwa na kuwafanya Barca wasitawale mpira.
 
Mechi ingeisha tu
Screenshot_20261108-232121.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom