Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,762
- 23,442
Wacha tuone, naogopa hata kuangalia hi hi hiiiiSiwafichi PSG wanatugusa leo ndugu zangu đŸ˜‚
Na hivi wapo kwenye maandamano
Wacha tuone, naogopa hata kuangalia hi hi hiiiiSiwafichi PSG wanatugusa leo ndugu zangu đŸ˜‚
Na hivi wapo kwenye maandamano
Wacha tuone, na sisi hatupo vibaya. lets go, ila me sitaangaliaGame tough sana hii.
Kounde na Eric Garcia hawatokuwemo kwenye kikosi cha leo sababu ya majeraha.
Flick anaweza kumtumia De Jong kama beki wa kati.
Classico bila huyu jamaa mbona Madrid tunawapiga vizuri tu.Kakikimbia el clasico
View attachment 3688523
Hatari sana leo, hatukukutana nae kwenye finals ila awamu hii tunamtaka tumwoneshe kuwa ubingwa aliokuwa akibeba ni vile tu hakukutana na Barca. Nategemea Rafinha leo kukiwasha sana.
De Jong kukaa beki wa kati sio kweli mkuu.Game tough sana hii.
Kounde na Eric Garcia hawatokuwemo kwenye kikosi cha leo sababu ya majeraha.
Flick anaweza kumtumia De Jong kama beki wa kati.
CB sio nafasi ngeni kwa De Jong kashacheza timu ya taifa ya uholanzi pia na Ajax ya 18/19 aki pair na De light.De Jong kukaa beki wa kati sio kweli mkuu.
Kwanini cule mwenzangu?Wacha tuone, na sisi hatupo vibaya. lets go, ila me sitaangalia
Ondoa hofu game tunashinda hii.Wacha tuone, naogopa hata kuangalia hi hi hiiii
Yeah,Kwanini cule mwenzangu?
Game sio ya kukosa hii.
Naona ameanza benci De Jong.CB sio nafasi ngeni kwa De Jong kashacheza timu ya taifa ya uholanzi pia na Ajax ya 18/19 aki pair na De light.
Sio nafasi ngeni kwake anaweza kuicheza vizuri tu.
Tena kwa aina ya mpira wa PSG haitomsumbua kabisa.
Sio mbaya acha tuone game itakwendaje.Naona ameanza benci De Jong.
Niliwaambia ndugu zangu,Siwafichi PSG wanatugusa leo ndugu zangu đŸ˜‚
Na hivi wapo kwenye maandamano
Kosa la kwanza la Flick.Sio mbaya acha tuone game itakwendaje.
Naona Flick kaamua kuanza na Bernal kaamua kumuacha Rodri nje.