hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,450
- 14,805
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana.Mimi najiuliza Atletico walikosewa nini na Barcelona hadi wanawakunjia hivyo??
#FreeAlvalez
View attachment 3654505
Jamaa mbona hatuna noma nao.
Alvarez hata akibaki hawezi kujitoa kwa 100%.
Mashabiki wamemzomea sana game yao na Malaga ingawa hakuwepo uwanjani.
El Cholo anaulizwa kuhusu mashabiki kumzomea Alvarez anakwambia anawaheshimu sana mashabiki wao.