Umebaki kidogooo ufanane na
Scars maana yeye timu zake zote ni za hovyo. Simba, man U, Madrid, Portugal. Hana pa kuponea. Inabidi uhame yanga ili niwe nakukaanga vizuri wewe na scars.
Kiukweli hata mimi nilikua shabiki wa CR7 kabla sijamjua messi, reasons ni jojo na Magazeti. Ila alivyoenda Madrid tu nikamchukia mazima hadi leo. I like him as a person but not as footballer .
Unamuona wonderkid wenu🤣
View attachment 3656385
Siku moja Mourinho aliwahi kusema ni rahisi sana kuwa Messi kuliko kuwa Ronaldo.
Kuwa Messi utahitaji kipaji na support ya mfumo ambayo itakuwa inaku backup.
Ronaldo sio tu kipaji unahitaji vitu vingi extra ku maintain Quality yako kwasababu upo against Media na football systems.
Naamini pasingekuwa na social media tungekuwa tumedanganywa vya kutosha sana kuhusu Ronaldo. Tushukuru social media imesaidia ku expose baadhi ya mambo ambayo yangeweza kufichwa kwa lengo la kumlinda mtu.
Imagine timu anayochezea Ronaldo ikipoteza mechi, lawama zinaenda kwa Ronaldo utaskia "huyo jamaa anai cost timu ni mbinafsi sana, amechoka alipaswa kuwapisha vijana damu changa wacheze"
Na sometimes hayo maneno yamekuwa yakitolewa hata siku ambayo Ronaldo hajacheza.
Ni Ronaldo ambaye amefanya ionekane jambo gumu la kufunga lionekane ni rahisi kwasababu tu analifanya yeye
Lakini Messi amekuja kukosa penalti ya tatu mfululizo lakini media zipo kimya.
Messi kaenda mechi 5 bila ushindi, huku mechi moja tu ndio ameambulia sare, 4 zilizobaki ni vipigo.
Bado hukuti watu wakimsema kuwa amechoka, hukuti watu wakisema awapishe vijana.
Mind you, Ronaldo hajawahi kwenda mechi 5 bila ushindi.