Nimeangalia ile attacking line kule mbele kuna tisha.
Certified hater kwenye ubora wako. Vipi man U yakoNimeangalia ile attacking line kule mbele kuna tisha.
Raphinha ni katili sana kwenye goli, na hii inanipa taswira ya kuona msimu huu tena hamtakuwa na mpinzani kwenye Copa De Rey.
Barcelona kwenye hatua ya makundi