unknown guy
Senior Member
- Aug 26, 2024
- 119
- 109
Bangi zako leo umevutia chooni eeh?Watoto wa miaka 17 ndio wakabebe uefa?? Unajua imemchukua Drogba King miaka mingapi kulibeba? Kamuulize Salah, kamuulize De Bruyne, munaleta utani kwenye vitu vya msingi matakataka ninyi hamuyiogopi Chelsea????
Nearly impossible.Inawezekana Lewa akabeba kiatu😅
Nina matumaini kama ya simba kuchukua ubingwa leoNearly impossible.
Kafanyaje?Mmemuona Dembele?
Kipa kutoka kwa adui zetu wenye vurugu alaf hawabeb makombeNaona dili la Joan Garcia linaweza kukamilika wakati wowote.
Huyu ni kipa wa espanyol.
Tukimsajili Stegen anauzwa.
Ila ana kiwango kizuri sana.Kipa kutoka kwa adui zetu wenye vurugu alaf hawabeb makombe
Naona nao arsenal wanamuwinda sanaIla ana kiwango kizuri sana.
Tukimpata atatusaidia kwenye kampeni yetu ya msimu mpya.
Assnal can not compete against Barca,Joan Garcia hivi karibun ni Mali ya Barca, Forca BarcaNaona nao arsenal wanamuwinda sana
Yule jamaa hatufai maana hawez kuendana na uchezaji wa barcaJaman Culers moja ya kitu ninachoomba ,Barca tusimsajili Luis Diaz ,yaan itakuwa ni ujinga kutoa the hefty amount kwa yule jamaa,bora tukomae na Nico Williams au Leao
iYule jamaa hatufai maana hawez kuendana na uchezaji wa barca maana sis hatupendelei mipira ya juu ambayo diaz anaotea
Lakin kwa N.williams bayern wameweka mpunga alaf atakuwa na uhakika wa kucheza kwa sabab bayern wanataka kuachana na SANEYaan Deco akimsajili yule jamaa nitamuona ni boya tu kama Abidal
i
Kabisa usajili wake siuelewi kabisa.Jaman Culers moja ya kitu ninachoomba ,Barca tusimsajili Luis Diaz ,yaan itakuwa ni ujinga kutoa the hefty amount kwa yule jamaa,bora tukomae na Nico Williams au Leao