Mzee wangu utawapa hasira mabingwa wa UEFAHali ya sasa huko Bernabeu
View attachment 3326461
Ni kweli kwasababu hata hivyo vitu vinapata room ya kujadiliwa kimapana pale iwapo mechi imeisha kwa kupata matokeo mazuri.KUna ule msemo form is temporary, class is permanent Waka muulize haaland au Eden hazard ata waelewesha hilo.
Ni sawa na Madrid ya BBC na hii ya kina mbape inayo pewa hype kubwa, wana kosa Team na class mentality.
kupiga Chenga au faulo 2/3 haku amui mechi, ila kusimama Kama team ndio nguzo pekee.
HIyo ni ngumu sanaHizi game inaenda kuisha 2-3 Barcelona
Wee umerogwa weweHizi game inaenda kuisha 2-3 Barcelona
WamejichanganyaKila mtu alikuwa anafanya kazi ya kustudy high line akifika kucheza na Barca ukishindwa kuchomoa hiyo umefungwa
Nawaza Kama kunge kuwa na Ile Sheria ya goli la ugenini 🤣😂Ni kweli kwasababu hata hivyo vitu vinapata room ya kujadiliwa kimapana pale iwapo mechi imeisha kwa kupata matokeo mazuri.
Sasa mfano hapa second half wapigwe chuma 2 zingine mechi iishe 4-0 hivi kuna mtu atakuwa na muda wa kuanza kusifia chenga za Lamine?
Hiyo ingekuwa hatari sana kwaoNawaza Kama kunge kuwa na Ile Sheria ya goli la ugenini 🤣😂
Naziona 120Moja huko❤️💙