Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Fatigue mkuu watu wapo hoi mechi mashindano mengi kikosi kidogomImi naona Barcelona vijana wake hawana nguvu. Ile physic. We angalia Dimarco anavyomchezea Yamal kwa kutumia nguvu. Hata Cubasi na Martinez hiyo ni sawa na light weight vs heavy weight. Pia kule pembeni kwa Martin. Anapambana na Demfries. Ni shida.
Flinks afanye hivi. Amtie Cubasi amoandishe Arouja. Olmo aende bench apande Femini. Pia Martinez atoke aingie Gavi.
Inter Hii game watashindakwa kutumia nguvu zaidi kuliko uwezo.