namzingua mkuuMilano pale
Naangalia kwenye team ya wachambuzi wa Barca, more than 4 ppl huo si ushirikina 🤣
Nado nipo japo Inter wanaleta mambo ya kujuana kwenye kazi
Inzaghi ange rudi kuangalia second game ya Barca vs inter 2010, Mourinho ali maliza vipi kazi.Nado nipo japo Inter wanaleta mambo ya kujuana kwenye kazi
View attachment 3326479
Tunaenda extra2-2 matokeo nani anatoka?
Hakuna anayetoka tunaenda extra.2-2 matokeo nani anatoka?
Basi hapa yoyote anaweza fungwa kuanzia sasaHakuna anayetoka tunaenda extra.
Mi ndio maana nimeona ni chill tu home niangalie kwenye simuNaangalia kwenye team ya wachambuzi wa Barca, more than 4 ppl huo si ushirikina 🤣
Iki isha hivi hivi wana enda penalty, maana sheria ya extra time si ime futwa?Commentators wa SBS wana unyakyusa fulani hivi kila muda ambao Lamine anakuwa na mpira
biashara imeisha kaka 🤣 🤣 -- 90 min mzigo huu hakuna extra leoNaunga mkono hoja 🤣 😁