Nimekuuliza swali.Si uko kwako, mabao unatanguliwa, wee unasawazisha, vipi kwao? Utaweza kuwamudu?
Wee subiri ufike San town, uone π₯π₯
ππππ
Sasa kama nimemudu kusawazisha ntashindwa kufunga kwao?Si uko kwako, mabao unatanguliwa, wee unasawazisha, vipi kwao? Utaweza kuwamudu?
Wee subiri ufike San town, uone π₯π₯
ππππ
Wana class hiyo ila kwa sasa hawana form nzuri kwenye ulinzi.Kuna team gan Ulaya saiv ana Defensive line nzuri kama inter....
Second leg nitakuwa na mfano mzuri wa picha kuliko yakoHujapona bado mkuu
View attachment 3321190
Italy timu zote jumla wana UefaCL 12,Inabidi saivi mbishane na Italy
Eti eeeh? Bas sawa, wacha tuone. Muda utasema.Sasa kama nimemudu kusawazisha ntashindwa kufunga kwao?
Hivi unajielewa kweli?
Poa, wacha tusubiri tuone.Nimekuuliza swali.
Kwani Liver alishinda wapi na PSG?
Kilichotikea kila mtu anakijua
Scars najua wewe tupo tupo kule kwenye thread yetu, ila hapa nipo na mtani kuna ule msemo ukimshindwa ungana nae.Barcelona hawezi kuvhukua hili kombe
Au mwenzetu dunia uliyopo wewe timu zenu za mpira kama timu ikisawazisha magoli nyumbani hiyo timu haiwezi tena kufunga ikienda ugenini?Eti eeeh? Bas sawa, wacha tuone. Muda utasema.
Naomba tufunge majadiliano, tukutane after match ya 2nd leg.Au mwenzetu dunia uliyopo wewe timu zenu za mpira kama timu ikisawazisha magoli nyumbani hiyo timu haiwezi tena kufunga ikienda ugenini?
Mpira wa ulaya ulishapita huko. Yaani unaweza kukandwa kwako tena goli za kutosha.Si uko kwako, mabao unatanguliwa, wee unasawazisha, vipi kwao? Utaweza kuwamudu?
Wee subiri ufike San town, uone π₯π₯
ππππ
Nawashangaa sana wanaosema Barca kashatoka.Sema Barcelona bwana.....
disadvantage ni kwamba wanaruhusu magoli sana
Advantage yao ni wako vizuri kwenye eneo la offensive na kwenye possession, wanajua kushambulia pia wanauwezo wakupata magoli tena opponent asipukia vizuri atakula nyingi
Fc Barcelona bado haijakaa vizuri ila naelewa ipo kwenye process yakujijenga π hopefully mbeleni itakua team tishio sana
Sawa.Naomba tufunge majadiliano, tukutane after match ya 2nd leg.
PoaaSawa.
Wachaa wee, πππππMpira wa ulaya ulishapita huko. Yaani unaweza kukandwa kwako tena goli za kutosha.
Kaa hapo hapo usubiri Jumanne wiki ijayo ujioneeWachaa wee, πππππ
Umemkuta inter form Mbovu bado anapata Goli tatu ugenini.Mzee acha utani.
Timu kama inter kukutangulia goli mbili na kuchomoa sio mchezo.
Ukiangalia goli zao mbili ni kushindwa vzuri kuicheza mipira ya kona.
Kinyume na hapo hawana cha maana wanachocheza.
Mpira kila mtu kauona.