FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Uchezaji wa mchezaji kama gerlad martin nimepatwa na mashaka sana na nilivyosikia lewa kukosekana na inter uchezaji wao ulivyo sijui tusubiri dakika 90
Gerlad Martin hayuko vizuri ila Balde atakuwepo kwenye first leg against Inter.

Uwepo wa Balde unamraisishia sana kazi Raphina upande wake.
 
Uchezaji wa mchezaji kama gerlad martin nimepatwa na mashaka sana na nilivyosikia lewa kukosekana na inter uchezaji wao ulivyo sijui tusubiri dakika 90
Lewa sio tatizo sana.

Lewa nafasi yake inaweza kuwa replaced na Ferran kwa muda na kusiwe na tatizo.

Muhimu tusiwakose Olmo Pedri Yamal Raphina Balde na Dejong at their full potential.
 
Mnalijua hili
 
Attachments

  • 1745313978238.jpg
    1745313978238.jpg
    280.1 KB · Views: 18
Mnalijua hili
Uongo mtupu.

Bila ya mchango wa Raphina Leeds angeshuka daraja in 2021/22 season.

Halafu nani kakwambia mchezaji akiwa flop kwenye ligi moja lazima awe flop kwenye ligi nyingine.

Japo Raphina hakuwa flop PL lakini hata kama alikuwa flop PL haina maana atakuwa flop La liga.

Halafu kuwa ballon dor contender aujipendekezi mchezaji mwenyewe unapendekezwa na stats zako ndo zitakazokubeba.

Stats za Raphina zinambeba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom