FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii game tumeshinda ila lawama zote namtupia Hans.

Hii mara ya pili anawaacha nje wachezaji muhimu timu inaelemewa.

Unamuanzishaje Feran wakati Lamine yupo nje?

Anaanzaje Fermin wakati Olmo yuko nje?

Tungefungwa angebeba lawama zote kwa bad selection ya kikosi cha kwanza.
 
Muhimu zaidi tumeshinda.

Point 3 kibindoni top on la liga table.

The next is Mallorca.
 
Flicks kakiwasha kama wakali wa PES what a comeback

Barcelona trailed Celta Vigo 3-1 in the 62nd minute.

They won 4-3 with a penalty in the 98th minute 🍿
20250419_191957.jpg
 
Hizi point 3 za moto kwetu. Hawa mabeki watatuua
Kweli leo beki zilikuwa worse.

Lakini kocha kazingua.

Wakiwa wazima wa afya mtu kama Lamine na Olmo sio watu wa kuwaweka nje.

Barca bila ya Lamine inakuwa majanga sana.

Anapoanza unaona hata kujiamini kwa wachezaji wengine kunaongezeka.

Hansi hii mechi ya pili ana bet ingawa leo tumeshinda.
 
Binafsi sivutiwi na hizi offside trap anazozicheza Hansi Flick. mzunguko wa kwanza zilitulipa sana lakini round hii watoto wametuotea on how to dismantle us. halafu lijamaa halitaki kubadili tricks kabisa yani
 
Kweli leo beki zilikuwa worse.

Lakini kocha kazingua.

Wakiwa wazima wa afya mtu kama Lamine na Olmo sio watu wa kuwaweka nje.

Barca bila ya Lamine inakuwa majanga sana.

Anapoanza unaona hata kujiamini kwa wachezaji wengine kunaongezeka.

Hansi hii mechi ya pili ana bet ingawa leo tumeshinda.
Tatizo ni hizo games 2 kubwa zilizo mbele yetu
 
Dogo ana miaka 17 tu lazima apate mapumziko la sivyo yatamkuta ya Ansu Fati.
 
Tatizo ni hizo games 2 kubwa zilizo mbele yetu
Ni kweli tuna game ngumu sana kuanzia 26 Apr na Madrid fainali.

30 May tuna Inter first leg UEFA semi final.

Muhimu kocha awe mjanja atie full mkoko tutafute goli za kutosha then second half awapumzishe wachezaji muhimu.

Hii mambo ya kuwaingiza wachezaji muhimu kuja kufanya come back sio mda wote itatufaa.

Kuna muda game inakataa.
 
Kweli leo beki zilikuwa worse.

Lakini kocha kazingua.

Wakiwa wazima wa afya mtu kama Lamine na Olmo sio watu wa kuwaweka nje.

Barca bila ya Lamine inakuwa majanga sana.

Anapoanza unaona hata kujiamini kwa wachezaji wengine kunaongezeka.

Hansi hii mechi ya pili ana bet ingawa leo tumeshinda.
Labda hii match aliichukulia poa. Na anaikiria big match zinazo kuja.
 
Ni kweli tuna game ngumu sana kuanzia 26 Apr na Madrid fainali.

30 May tuna Inter first leg UEFA semi final.

Muhimu kocha awe mjanja atie full mkoko tutafute goli za kutosha then second half awapumzishe wachezaji muhimu.

Hii mambo ya kuwaingiza wachezaji muhimu kuja kufanya come back sio mda wote itatufaa.

Kuna muda game inakataa.
Leo aliwapumzisha kwa kazi hii.
 
Naunga mkono hoja
 
Labda hii match aliichukulia poa. Na anaikiria big match zinazo kuja.
Yeah.

Hata mechi na Dortmund second leg aliichukulia poa kwa kuwa tuna faida ya goli 4 za nyumbani.

Meisho wa siku guirassy kaondoka na mpira.

Leo bado kidogo watoto watukalie kooni.

Thanks for Dani Olmo.

Que regreso Que remontanda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom