hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,042
- 13,663
Dogo ni pure talent.huyo ndio habari kuu duniani kwa sasa
Very promising player.
Tuombe majeruhi yasimuandame yakamuharibia future yake kama Ansufati.
Dogo ni pure talent.huyo ndio habari kuu duniani kwa sasa
Sio promising Tena lamine mkuu kashaanza kuamua game ngumu ndiyo itakuwa tabia yake dogo anajua mnoDogo ni pure talent.
Very promising player.
Tuombe majeruhi yasimuandame yakamuharibia future yake kama Ansufati.
Uzuri tumewapiga kipigo cha mwana ukome waache mazoea na sisi.Yani ATM banah anaamuaga kukaza sana kwa Barcelona, lakini akikutana na Timu ndogo anasumbuka kupata ushindi.
Kabisaaa.Uzuri tumewapiga kipigo cha mwana ukome waache mazoea na sisi.
Niko hapa naisubiriaCules.
Leo saa tano tuna kiporo chetu na osasuna.
Hii ni game ya kisasi na ni must win game ili tujikite kileleni vizuri.
Hii mechi kushinda ni muhimu sana.Niko hapa naisubiria
Pitia www.fullreplays.comNajuta kuacha kuangalia mechi Ile, nilipoona mpaka DK 60 tuko nyuma nikaamua nilale. Nakuja kuchungulia kitu 3, nikakimbia niwashe TV sasa shida ya DSTV mpaka iwake ikawa too late. Navizia sijui lini wataonyesha marudio lazima niangalie michomo ilivyokuwa.
Yamal ni Messi mtoto🔥🔥🔥
ShizniNaombeni mniambie jina la kipa wa Barca linatamkwaje.... Btw naona Raphina yupo nje sijaridhika
Sure walitutia aibu sana hawa watoto Leo lazima walipieHii mechi kushinda ni muhimu sana.
Kumbuka mechi ya mzunguko wa kwanza walitufunga 4 - 2.
Leo vijana wapambane tulipe kisasi.