Hahaha hatari sana huyo mtotoView attachment 3267158
Kwenye hii picha kuna mchezaji alibatizwa na Messi
Més que un clubHey cules.
Leo tuna game ngumu na vijana wa Simeone.
Hii game muhimu sana kushinda tuendelee kujikita kileleni.
Hope vijana watapambana tuondoke na point tatu.
Visca Barca.Més que un club