Hivi nini kimetokea penalty ikarudiwa nilikuwa naongea na Simu sijaonaDani Olmo.
Penati.
Chuma cha pili.
Barca 2 Osasuna 0
Kipa aliwai kutoka kwenye mstari.Hivi nini kimetokea penalty ikarudiwa nilikuwa naongea na Simu sijaona
Mechi ya Moto hii balaa, Mimi natumia DSTV hii michuano hawaonyeshi,. Wenzangu mnaangalizia wapi?Blaugranista wenzangu leo tuna kipengele na simeone semi final copa del ley.
Ingia hapa.Mechi ya Moto hii balaa, Mimi natumia DSTV hii michuano hawaonyeshi,. Wenzangu mnaangalizia wapi?