Ngapi ngapi hukoSema tena.
Mwaka huu tukikosa la liga tujilaumu sana.Madrid kadondosha point tatu kwa Anthony, asubiriwe mwenzake
KabisaMwaka huu tukikosa la liga tujilaumu sana.
Ushindi upoKikosi chetu na Benfica leo.
View attachment 3260459
Visca El Barca.Forca barca
Hivi camp Nou tunaanza kutumia liniVisca El Barca.
Mwezi wa 6 2026.Hivi camp Nou tunaanza kutumia lini
Sawa mkuuMwezi wa 6 2026.
Japo inawezekana tukaanza kuutumia uwanja Kabla ya tarehe hiyo.