mmebebwa wazi wazi...
Pamoja na barca kasi yake kupungua lakini yaonyesha jinsi management ya real Madrid walivyoitumia ile break ya corona kuweka mikakati michafu ya kuhakikisha barca anaminywa kwa hali yoyote ile
Kwa aliyefuatilia game za karibuni za real Madrid na game za barca hatopinga hili ..leo tumeshuhudia kwa mara ingine goli assist ya Messi likikataliwa, pia goli zuri la suarez likikataliwa...
Kuna game ya last week goli la Messi pia lilikataliwa, siku hiyo ter stegen akaitoa penati refa akaamuru penati irudiwe ! Tukafungwa penati refa akaridhika
Haya ukitazama mechi za real Madrid kwanza huwa wanakamatwa sana pale sasa juhudi za waamuzi zinaonekana wazi, utashangaa wanapewa penati mfululizo