FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wakuu hivi la masia ndo imepotea au nini. Maana ilisikika la masia ni academy iliosheheni vipaji vyenye kuja kuisaidia klabu pasina kutegemea kununua wachezaji. Hali ipoje hivi sasa
 
Kwahiyo unaafiki pjanic aje licha ya uzee...

Timu langu linakua timu la kiveterani hakuna mtu ameweza kuwagusa wale wazee ...setien kashashindwa kudadeki zake..

Wabrazili uwa hawakawii kudrop, nakupa miaka miwili tu kwa arthur anapotea hutaamini,,,Pjanic na uzee wake still mtamu na anaji2ma sana sema tu baada ya cr7 kwenda pare wakamuondolea majukumu kama freekik, cross n.k
 
Kikosi icho wadau, tusikose kumshuhudia Messi akiweka rekodi ya magoli 700
 
Attachments

  • Screenshot_20200623-195814.png
    Screenshot_20200623-195814.png
    225.7 KB · Views: 4
Unapoint
Wabrazili uwa hawakawii kudrop, nakupa miaka miwili tu kwa arthur anapotea hutaamini,,,Pjanic na uzee wake still mtamu na anaji2ma sana sema tu baada ya cr7 kwenda pare wakamuondolea majukumu kama freekik, cross n.k
 
Tunacheza vizuri ad sasa sema tunategemea maajabu ya mtu mmoja pale mbele yani assist atoe yeye, kufunga afunge yeye. Tunahitaji viungo wabunifu kwenye kutoa pass za mwisho na winga walau mbunifu anaejua kupunguza awatanue watanue uwanja.
 
Pjanic anakuja..mmeuza Arthur
 
Raktic ashaeka moja kwa mbinde sana. Leo hawa kajamaa walibana sana.
 
Nimejua leo kwanini Barca hawana shida ata akiondoka Arthur asee Yule mtoto Piug anajua sana. Leo kabadili sana mchezo, changamoto ya Arthur anamiliki mpira vizuri Ila pasi zake hazina madhara lakini huyu mtoto Piug Leo kaupiga mwingi mno na pass zake zinaenda mbele nanzina madhara sana. Huyu mtoto apewe nafasi Kwa l kweli.
 
Setien anazingua.. dogo anajua sana
 
Wakuu nisaidieni link ambayo haili mb nyingi per match.

HESGOAL imegoma kufunguka, na ndio link haina gharama kama zingine
 
Oyoo kikosi cha leo nimekipenda sana.. at last

Puig Na Fati ndani wanaanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom