FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Grienzmann mfumo wa 4:3:3 haumfai kama ikiwa Messi bado hajastaafu

Grienz mifumo ya kumuaccomodate 4:2:3:1 sana sana

Wameuza Coutinho ambae anafit vizuri sana kwenye 4:3:3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua mtanibeza ila ukweli messi anapaswa kuuzwa na mastaa wote wa zamani ili zije damu mpya...kwa mfumo ulivyo kila kocha lazima ataacha mifumo yake ili ajenge timu kupitia messi na ndo maana makocha wengi wanafeli bora auzwe timu ijengwe upya kitimu na si kupitia messi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu ya lete hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Abidal alisema kuwa kipindi valvede yupo wachezaji hawakuwa wanajituma makusudi tofauti na sasa..

Messi akajibu kuwa "taja hao wachezaji ambao unasema hawakuwa wKijituma kinyume na hapo unachafua taswira ya team nzima..

Juzi abidal akaitwa kikaoni na rais wake baurtomeu..
 
Najua mtanibeza ila ukweli messi anapaswa kuuzwa na mastaa wote wa zamani ili zije damu mpya...kwa mfumo ulivyo kila kocha lazima ataacha mifumo yake ili ajenge timu kupitia messi na ndo maana makocha wengi wanafeli bora auzwe timu ijengwe upya kitimu na si kupitia messi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio Messi tatizo ni mfumo Wetu umekuwa outdated huwezi kumchezesha griezman tik taka akaelewa. team zimeshatusoma tubadilishe
 
Kiukweli game ya jana nimeicheki mwanzo mwisho na mimi wala sipo kwenye taswira ya matokeo ya mwisho, mi napenda nizungumzie mechi nzima kwa ujumla kiukweli team imebadilika sana kama ni mashambulizi tulifanya sana ni vile bahati haikua yetu mana hata ukiangalia kwenye mashambulizi sisi tulikua na mashambulizi hatari sana kuliko Athletic Bilbao kifupi team ina improve kila mechi. Chini ya Valverde tulishindwa kupiga hata shuti 1 kwa wapinzani pindi tunapocheza mechi za ugenini ila kwa jana mechi ilikua nzuri sana yaan ilikua 50 kwa 50 ingawa kumtoa Ansu Fati na kumuacha Sergi Robert haikua sahihi mana Fati alikua anasumbua sana na kingine tumekosa wachezaji wa kumsapoti mesi kwenye kuwakimbiza defenders wa upinzani huku ukiwa unaumiliki mpira na jana messi alikabwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Mashabiki wa barca kuna muda tunazingua sana...

Tumeshasahau matatizo yetu yote.. tunasahau atuna natural 9, tunasahau kocha kaja na filosofi zake mpya kwenye timu kama sikosei ndio kwanza mechi ya 5, hana 11 wala system ya uhakika, tunasahau msntality ya away games, tunafumba macho hatuoni improvement ya wachezaji kwa mechi kama hizo.

Football sio kama draft.. Hata tukisema tutoe club de amigo wote (messi pique alba busi, suarez) still timu shindani haitojengwa kwa misimu miwili.

Barca wenzangu nashindwa kuwaelewa sometimes.. honestly
Logically fallacy hauwezi kusema unaimprove uku unafungwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom