Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Afadhali hata kuna watu kama wewe wenye jicho la tofauti.. wasiotumia mihemko kama mashabiki wenzangu wa barca.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli game ya jana nimeicheki mwanzo mwisho na mimi wala sipo kwenye taswira ya matokeo ya mwisho, mi napenda nizungumzie mechi nzima kwa ujumla kiukweli team imebadilika sana kama ni mashambulizi tulifanya sana ni vile bahati haikua yetu mana hata ukiangalia kwenye mashambulizi sisi tulikua na mashambulizi hatari sana kuliko Athletic Bilbao kifupi team ina improve kila mechi. Chini ya Valverde tulishindwa kupiga hata shuti 1 kwa wapinzani pindi tunapocheza mechi za ugenini ila kwa jana mechi ilikua nzuri sana yaan ilikua 50 kwa 50 ingawa kumtoa Ansu Fati na kumuacha Sergi Robert haikua sahihi mana Fati alikua anasumbua sana na kingine tumekosa wachezaji wa kumsapoti mesi kwenye kuwakimbiza defenders wa upinzani huku ukiwa unaumiliki mpira na jana messi alikabwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app