GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Atletico ina shida kwenye ufungaji tu basi na majeruhi ila otherwise tupo solid kama kawaida kwenye defence na viungo.
Atleti ndio haswa inapitia transition maana tumefumua kikosi chote wachezaji zaidi ya 10 wamesepa wa senior team.
Mie nliwapongeza Athletic kushinda ww ndio ukaja na justification za kujitia moyo ila hakuna kilichomuuma. Yaani niumie kwa timu inayosajili bila direction au strategy?? Timu tulioizabua 3?? Hahhahaa ur kiddin bruhSawa sijui we kinakuuma nini fc barcelona kustruggle mzee pambana na Manyumbu Fc yako we umeona mwanabarcelona akikushobokea na timu yako mbovu usitake kumaliza machungu yako kwa matokeo ya timu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachotaka muunde timu sio kutegemea mtu mmoja kuwabeba mnaua soka tu la Hispania. Enzi hizo barca ilikua timu ya kuzalisha la liga players leo hii inasajili expensive flops, bado hamjamwaga €300 kwa Neymar ambaye nusu ya msimu atakua ICU!!Kwahiyo unataka tufanyaje?
Kwahiyo kwa akiri yako ulijua Messi atacheza miaka yote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachotaka muunde timu sio kutegemea mtu mmoja kuwabeba mnaua soka tu la Hispania. Enzi hizo barca ilikua timu ya kuzalisha la liga players leo hii inasajili expensive flops, bado hamjamwaga €300 kwa Neymar ambaye nusu ya msimu atakua ICU!!
Shitty Bartomeu!!
Atletico ina shida kwenye ufungaji tu basi na majeruhi ila otherwise tupo solid kama kawaida kwenye defence na viungo.
Barca si ndio nyie tumewapiga 3 hapa juzi kwenye Supercup!! Mnatoa wapi jeuri ya kuisema atletico??
I mean hatujawezekeza €500M kwenye flops kama nyie
Nyie mlitolewa na overDog?Atleti ndio haswa inapitia transition maana tumefumua kikosi chote wachezaji zaidi ya 10 wamesepa wa senior team.
So kufikia msimu ujao watakua na bond ya kueleweka kupambana for titles so washabiki hatukua na expectation yeyote.
Kituko huyo griezman kakimbilia huko abebe mataji mnaishua kutolewa na underdogs.
Okey asante kwa maoni yakoMie nliwapongeza Athletic kushinda ww ndio ukaja na justification za kujitia moyo ila hakuna kilichomuuma. Yaani niumie kwa timu inayosajili bila direction au strategy?? Timu tulioizabua 3?? Hahhahaa ur kiddin bruh
Hawa wote walisajiliwa kwa presha ya kuziba pengo la Neymer na tulipigwa vizuri sana Dembele hakua na thamani hata ya paund mil 50 ila kwakua tulikua na pupa na ni usajili wa gafla ikabidi tupigwe vizuri, usajili ambao sijauelewa mpaka leo ni usajili wa griezman kiukweli tumepoteza hela nyingiHii Barcelona sasaivi ni kichefuchefu, sajili hazieleweki, tunasajili wachezaji kwa gharama kubwa mno, lkn impact yao uwanjani imekuwa ndogo mno, sjui shida n nn? Mtu Kama Coutinho, Dembele, wote hawa na hasara kubwa kwa club.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu hakuwa na ulazima kiukweliHawa wote walisajiliwa kwa presha ya kuziba pengo la Neymer na tulipigwa vizuri sana Dembele hakua na thamani hata ya paund mil 50 ila kwakua tulikua na pupa na ni usajili wa gafla ikabidi tupigwe vizuri, usajili ambao sijauelewa mpaka leo ni usajili wa griezman kiukweli tumepoteza hela nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
| 21' | Real Betis | 1-1 | FC Barcelona |
| 26' | Real Betis | 1-1 | FC Barcelona |